Majeshi ya Ethiopia yajikusanya katika mpaka wa Kenya na Somalia, yakijiandaa kwa mashambulizi

Majeshi ya Ethiopia yajikusanya katika mpaka wa Kenya na Somalia, yakijiandaa kwa mashambulizi

when cornered you result to insults[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Childish tantrums as usual.
I repeat again. stop your stupidity, you must be stupid. I have posted a video which proves the invasion of Somalia army in Kenya territory following request from Tony254, do you what to deny the invasion of Somalia army to Mandera?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Did you watch or listen to the clip you posted ?.....narudia tena stop spreading half-truths and propaganda .
 
The main aim of this thread is to spread propaganda of how Ethiopia will fight Kenya on behalf of Somalis.😂😂
Apparently according to the foolish Tanzanian poopfugee Ethiopia will fight Kenya and they are already deploying troops.
 
The main aim of this thread is to spread propaganda of how Ethiopia will fight Kenya on behalf of Somalis.[emoji23][emoji23]
Apparently according to the foolish Tanzanian poopfugee Ethiopia will fight Kenya and they are already deploying troops.
How can Ethiopia army fight with weak and disorganized army, what Ethiopia army can do, is just to get in and out of Kenya territory as they wish.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna vita hapo, Uhuru Kenyatta sio mjinga kiasi hicho, anajua uwezo wa jeshi la Ethiopia, hawezi kuruhusu walevi wa KDF kupigana na jeshi la Ethiopia, ndani ya wiki moja, Nairobi itakuwa mikononi mwa wahabeshi.[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini Ethiopia itaporomoka vibaya sana kama Kenya ikiamua nadhani asilimia kubwa ya bidhaa zinazokwenda kwao zinapitia Mombasa.

Au ikoje hii Mr MK254
 
This is what's happening on the ground.The Ethiopians were handed control of Abdirashid janaan airport which is located on the Ethiopian Somalian border but on the somali side .
250px-Dolow_District.png

EToKvTwXkAE4LM8.jpeg

EToKvI9X0AIwcMr.jpeg

The said Ethiopian troops were moving to secure this Airport. It's part of a larger operation " jubaland capitol operation " by Amisom .
The goal is to dislodge Shabaab from its HQ in Middle Jubba and free Jubalands capitol Bu'ale.
 
Lakini Ethiopia itaporomoka vibaya sana kama Kenya ikiamua nadhani asilimia kubwa ya bidhaa zinazokwenda kwao zinapitia Mombasa.

Au ikoje hii Mr MK254
Hakuna hata kilo moja ya mzigo wa Ethiopia unaopitia bandari ya Mombasa, kwanza utapitia wapi?, Hakuna barabara upande wa Ethiopia kuunganisha na Kenya, pili sehemu yote ya kaskazini mwa Kenya kuungana na Ethiopia, na Kusini mwa Ethiopia mpakani mwa Kenya, usalama sio mzuri kabisa, mapigano ya mara kwa mara hutokea, hakuna mfanyabiashara atakubali kutumia hiyo route

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini Ethiopia itaporomoka vibaya sana kama Kenya ikiamua nadhani asilimia kubwa ya bidhaa zinazokwenda kwao zinapitia Mombasa.

Au ikoje hii Mr MK254

Ethiopia kwa sasa hivi hawezi kutafuta ugomvi na Kenya, kuna sehemu nilisoma anaomba uungwaji mkono na Kenya kwenye ugomvi wake na Misri kuhusu mto Nile, hivyo anatafuta sana marafiki maana Waarabu wameungana dhidi yake na kuunga mikono Misri.
 
According the chief propagandist these armoured vehicles marked with AU signs were heading towards Kenya .
ETkac35XsAE9Vn-.jpeg

ETkac3pWoAA9Y7F.jpeg

ETkac3pWoAA9Y7F.jpeg
 
According the chief propagandist these armoured vehicles marked with AU signs were heading towards Kenya .
View attachment 1397356
View attachment 1397357
View attachment 1397358
Wewe utakua na matatizo ya akili, wewe sio mzima, kila kitu hiyo article imeandika waziwazi, wakazi wa Mandera wanatoa ushuuda wa kuona majeshi ya Ethiopia yanajikusanya kilometa chache kutoka walipo, kama huamini kwanini usipige Simu ili kuwauliza wakazi wa Mandera Kama hicho kilichoandikwa ni uongo au kweli?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna hata kilo moja ya mzigo wa Ethiopia unaopitia bandari ya Mombasa, kwanza utapitia wapi?, Hakuna barabara upande wa Ethiopia kuunganisha na Kenya, pili sehemu yote ya kaskazini mwa Kenya kuungana na Ethiopia, na Kusini mwa Ethiopia mpakani mwa Kenya, usalama sio mzuri kabisa, mapigano ya mara kwa mara hutokea, hakuna mfanyabiashara atakubali kutumia hiyo route

Sent using Jamii Forums mobile app
Is this true Buddy MK254
Kwamba Ethiopia hawatumii bandari ya Mombasa?

Alafu Joto la jiwe Ethiopia kapakana na Eritrea ambaye alikuwa na uadui nae miaka na miaka Djibouti ni mbali sana na Adsis Ababa anapitishia wapi mizigo yake sasa?
 
Kaka, Ethiopia wameshajenga rail, tena ya umeme kuunganisha na Bandari ya Djibouti, mzigo wote wa Ethiopia 100% unapitia Djibouti, kumbuka kwamba lazima watumi hii reli yao ili kurudisha deni la mchina.

Umbali wa Adis Ababa hadi bandari ya Djibouti ni Kama 750Km, wakati kutoka Adis hadi Mombasa ni zaidi ya 1000Km. Upande wa kaskazini mwa Adis kuelekea Djibouti ndio kuliko na Economic zone, usalama na ardhi yenye rutuba, wakati kusini mwa Ethiopia ni sawa na Kaskazini mashariki mwa Kenya, ni kukame, hakuna barabara wala shughuli za kiuchumi zaidi ya wafugaji ambao hupigana mara kwa Mara, usalama ni zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameweka wanajeshi kupambana na coronavirus
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kaka, Ethiopia wameshajenga rail, tena ya umeme kuunganisha na Bandari ya Djibouti, mzigo wote wa Ethiopia 100% unapitia Djibouti, kumbuka kwamba lazima watumi hii reli yao ili kurudisha deni la mchina.

Umbali wa Adis Ababa hadi bandari ya Djibouti ni Kama 750Km, wakati kutoka Adis hadi Mombasa ni zaidi ya 1000Km. Upande wa kaskazini mwa Adis kuelekea Djibouti ndio kuliko na Economic zone, usalama na ardhi yenye rutuba, wakati kusini mwa Ethiopia ni sawa na Kaskazini mashariki mwa Kenya, ni kukame, hakuna barabara wala shughuli za kiuchumi zaidi ya wafugaji ambao hupigana mara kwa Mara, usalama ni zero.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kumaanisha kuwa hata miundo mbinu ya hizi Nchi mbili zikiwa sawa Ethiopia itazidi kutumia port Djibouti kwa kigezo Cha distance?
 
ha ha Watanzania wanalala wakiota Kenya iporomoke...
Ethiopia kwa sasa hawawezi jaribu kuvamia Kenya,
Ethiopia itaporomoka kama karatasi.. Ethiopia ambayo ilishindwa kudhibiti Eritrea ??
 
Fungua huo uzi hiyo notice ya kufutwa kazi ilikuwa tar.20 halafu jamaa ujumbe kauandika tar.22 inaonekana alifutwa kazi two days before... Usiwe unaokota okota kila kitu kama mtoto mchanga... Focus kwenye mada.
Nimesoma huo uzi, hakuna "notice ya kufukuzwa kazi" mtu yeyote. Kuna tangazo tu la my kupigwa (ban) ya kuweka michango (contributions) ,(kimaandishi) yake kwenye gazeti.

Mfano wewe au mimi uongozi wa JF uamue kutokuonesha michango yetu (ya kimaandishi)humu ina maana wametufukuza kazi?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom