Majeshi ya Israel yamekwama kweye tope Gaza hali tete

Nilitaka kuuliza kwanini unadanganya?
Nitaamini vipi maada yako wakati umedanganya umma hapa?
Kwanini unadanganya picha ni ya leo kumbe ni ya muda?
Nimedanganya nini? Soma uzi wangu huenda ujasoma mimi sijasema hiyo picha ya jana nimeweka watu waone kichapo Gaza, uzi wangu unaeleza mvua za gaza zimeleta matope jeshi la Israel hawana pakwenda wanashambuliwa kwa kustukizwa.

Hiyo picha ni muda au hupendi kuona hizo maiti za Wanajeshi wa Israel picha latest ni hizi hapa za juzi

View: https://x.com/aryjeay/status/1734819789028171885?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Source uliyoweka inaonyesha picha ni dec13 sasa kwanini hiyo source inasema picha ni ya jana wkati tangu jumatatu ilishapostiwa.

Mkuu labda hatujaelewana nipo hapa natazama watu walivyofukiwa na vifusi hizo stori za israel hawana pakwenda unazitoa wapi mkuu mbona mimi sioni?

Naipenda al jazeera sababu haifichi kitu wewe stori za israel kunasa unazipata wapi?
 
onyesha wapi hiyo picha nimesema ya jana? Narudia tena soma uzi nilichoeleza pia hiyo picha wala sijajadili nimeleza mvua gaza tope hali ipo hivi hiyo picha ina muda tunapenda kuipost kama ushahidi wa vifo za Israel,
Hoja yangu majeshi Israel yamekwama Kwenye tope tujikite hapo.

View: https://x.com/kahlissee/status/1735000697215574096?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
NArudia tena picha ulipoast inaonyesha dec13 imepostiwa inaonekana jana.

Ina maana al jazeera haijapata taarifa ya israel kukwama kwenye matope?mbona hakuna hio habari? Wewe unazipata wapi?
 
1702542751843.png
 
BREAKING:

⚡️ Israeli "Haaretz":

The serious incident in which nine officers and soldiers from the Golani Brigade and Rescue Unit 669 were killed in the Shujaiya neighborhood in #Gaza shows little of the reality of the war in the Strip.
 
Ukweli ni kwamba suluhu hili liliombwa na Israel kutoka Marekani kwa dharura ili iweze Kuwaondoa wanajeshi wake na magari kutoka kwenye matope yaliyoangukia leo katika mitaa ya Gaza, ambapo walipata hasara kubwa huko. magari na maisha.
Kinachonishangaza ni hii taarifa
 
Back
Top Bottom