Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
- Thread starter
- #81
Mkuu unaomgea sana haya link hiyo hapo niombe msamaha kwa kuniita muongo.Nionyeshe taarifa ya israel kukwama kwenye tope mbona kijana anayebeba mtoto akiwa amekufa anamtoa kwenye maji mbona wanaonyesha?
Onyesha ni wapi habari zinasema jeshi la israel limekwama kwenye tope?
Wewe upo hapa habari unaletewa unahakikisha vipi israel imekwama?
Photos: Harsh weather adds to hardships for Palestinians displaced by war
Strong winds, torrential rain, and flooding have further complicated the lives of displaced people.