Mkuu unaomgea sana haya link hiyo hapo niombe msamaha kwa kuniita muongo.Nionyeshe taarifa ya israel kukwama kwenye tope mbona kijana anayebeba mtoto akiwa amekufa anamtoa kwenye maji mbona wanaonyesha?
Onyesha ni wapi habari zinasema jeshi la israel limekwama kwenye tope?
Wewe upo hapa habari unaletewa unahakikisha vipi israel imekwama?
Subiri utapata taarifa . Yule ninja wa hamas kuanzia mida ya jioni huwa anatoa taarifa.Nionyeshe taarifa ya israel kukwama kwenye tope mbona kijana anayebeba mtoto akiwa amekufa anamtoa kwenye maji mbona wanaonyesha?
Onyesha ni wapi habari zinasema jeshi la israel limekwama kwenye tope?
Wewe upo hapa habari unaletewa unahakikisha vipi israel imekwama?
Naona ujajibu nilichouliza.Subiri utapata taarifa . Yule ninja wa hamas kuanzia mida ya jioni huwa anatoa taarifa.
Mkuu,
Mimi habari zako huwa nazipenda ila nashangaaa ni kwanini unaanza kuwa muongo
Mkuu unaomgea sana haya link hiyo hapo niombe msamaha kwa kuniita muongo.
Photos: Harsh weather adds to hardships for Palestinians displaced by war
Strong winds, torrential rain, and flooding have further complicated the lives of displaced people.www.google.com
Naona ujajibu nilichouliza.
Yaani ulikuwa unamsapoti mwenzako kwamba israel imekwama kwenye tope sasahiv unasema subiri jioni!
Mkuu nikuelewe na lipi?
Mbona unakua ndumila kuwili?
Haya endelea na habari zako kwanza siyo muungwana umeniita muongo zaidi ya mara 3 nimeletea data unajifanya kama ujaona ngoja niendelee kuwapa watu wa JF dataUkweli ni kwamba suluhu hili liliombwa na Israel kutoka Marekani kwa dharura ili iweze Kuwaondoa wanajeshi wake na magari kutoka kwenye matope yaliyoangukia leo katika mitaa ya Gaza, ambapo walipata hasara kubwa huko. magari na maisha...
Si wewe uliyesema maneno hayo?
Tazama video, tazama hio habari ya aljazeera nionyeshe hayo maneno uliyosema hapo juu?
Unakichwa kigumu sana maada yako ilikuwa inasema hivi;Haya endelea na habari zako kwanza siyo muungwana umeniita muongo zaidi ya mara 3 nimeletea data unajifanya kama ujaona ngoja niendelee kuwapa watu wa JF data
Kama habari zangu za uongo zipuuze wala hamna tatizo au ukiona post yangu piga kimya usijiumize bure na kupoteza muda wako kuandika.😂Leonardo Harold mkuu Nashangaa sana huyu jamaa kuwa muongo!
Bado namuambia anionyeshe wapi hizo taarifa anazipata wapi hasemi.
Yaani Leo nimemshangaa sana ni muongo vibaya
Baada ya kumbana kaamua kutwist topic ambayo ni tofauti na aliyoileta.
Hatutaki propaganda, israel inafanya maafa na netanyhau kasema lazima aendelee hata akikosa international support
Aljazeera haiachi kitu
Propaganda tupu, picha za AI
Hali ya Israel si nzuri kwenye vita hii, tutabishana ila vita ni vita tuAsee nimeshangaa sana nilijua wayahudi peke yao ndio waongo kumbe hata suppoters wa HAMAS ni waongo.
Hii habari imechafuliwa na picha ya ndugu yetu Ritz kusema ni ya jana wakati ndugu Alwaz aliiweka tangu jumatatu asubuhi.
Unamwamini huyo FaizaFoxy?Wao walikua wanaharibu miundo mbinu wakitegemea nini? Walishindwa vipi kupigana bila kuharibu makazi na barabara wacha wakome wapambane na hali yao
Mkuu sijakataa,Hali ya Israel si nzuri kwenye vita hii, tutabishana ila vita ni vita tu