Majeshi ya Kisiasa -Israel-Iran wanapigana vita wakiwa ofisini

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,414
Reaction score
11,252
1. Majeshi ya wenzetu wameyaboresha (Jeshi dogo, teknolojia kubwa).

2. Tofauti na Majeshi ya kisiasa yaliyojaa Ubabe wa kipuuzi, Timu za Mpira, canteen na fremu za maduka na kumbi za harusi. Kupata kazi humo lazima uandikiwe vimemo ili ukapasue tofali kwa kichwa.

3. Bali wenzetu wasomi wabobezi wa mifumo ya kidigitali missile inarushwa mtu akiwa ofisini inaelekezwa chumbani kwa Mkuu wa Majeshi wa nchi (anakutwa wamejifungia wanaume wawili tu)?
 
Vita vya kujifunika mimajani usoni na kujichimbia mahandaki vishapitwa na wakati.

Sasa hivi kushinda vita inabidi uwe na teknolojia ya kuzuia makombora yasitue nchini mwako.

Majeshi ya Afrika bado wanafanya training za vita za ujima. Kubeba magogo migongoni na mizigo mizito. Eti ndio ukomandoo!!
 
Mleta mada utoto unakusumbua

Jeshi la Ardhini la Askari wa miguu liko pale pale
Hukuona hata Israel ikipigana na Gaza ? Hujaona vita ya urusi na ukraine askari wa ardhini wakipigana vita mistuni ana kwa ana? Lilianza jeshi la angani kurusha makombora halafu likaja la Ardhini .Hilo ardhini huhitaji watu wakakamavu hasa wawezao kupambana kwa kila silaha iwe ngumi
,matofali nk
Unavyoona wanapasua matofali sio tu kuonyesha tu ukakamavu lakini pia kukitoa adui kamrushia tofali kutaka kumpiga nalo aweze kulikabili

Tatzo nyie Vichadema kujiita makamanda wakati hata mgambo hamjawahi kanyaga
 
Pole

Teknolojia haiepukiki kwenye Majeshi yetu. Kufyeka nyasi, kukata michongoma na kupangisha Fremu/kumbi za harusi haiwezi kuwa ni mandate ya jeshi
 
Vita vya kujifunika mimajani usoni na kujichimbia mahandaki vishapitwa na wakati.

Sasa hivi kushinda vita inabidi uwe na teknolojia ya kuzuia makombora yasitue nchini mwako.

Majeshi ya Afrika bado wanafanya training za vita za ujima. Kubeba magogo migongoni na mizigo mizito. Eti ndio ukomandoo!!
Alafu unasikia mtu anasema msitupangie weeeeee wakati mpaka sample ya kila mtu wanayo yaani
 
mda ni saa 5 usiku wa kurusha vimondo

pakej ya kutosha inakuja, endeleeni kuweka ADs nyuma ya majengo ya kiraia eeh
Hebu tupe mchango wako kuhusu majeshi yetu ya Africa,huko hakutusaidii chochote na hata hawakujui ili siku hivyo vimondo vikitua kwetu tujue namna ya kuvizuia
 
Back
Top Bottom