Kudukua taarifaBora hio teknolojia hatuna mana ingetumika vibaya
Wewe vita ziko za angani,msituni,majini ,chini ya ardhi kwenye tunnelsSisi huku ingekuwa tunapambana kuvuka border huko mistuni
Je Equatorial guinea inayoo makomboraa? Au yale ya kujikinga na makombora au ni mwendo wa ngumu jiwe na kutambaa kama nyokaHujui vita
Wewe vita ziko za angani,msituni,majini ,chini ya ardhi kwenye tunnels
Sio kote unatumia makombora au ndege tu mjinga wewe
Huwajawaona askari wa urusi na ukraine wanatembea kwa miguu maporini,na ku ku craw na silaha na kuchimba mahandaki maporini?
Hujaangalia hata mazoezi ya kivita kati ya pamoja kati ya majeshi ya marekani na Tanzania yaliyofanyika porini?
Tatizo lenu utoto hamuangalii hata vita zenyewe zinavyopiganwa kihalisia
Nenda youtube kaangalie Israel alivyopigana na Hamas
Askari wa miguu wa ardhini wa Israeli walichokuwa wakifanya
Wewe utakuwa mtoto wa mama usije kanyaga jeshini umetepeta sana kama kutembea kukata mapori kwa miguu huwezi jeshi huliwezi.Kikosi chaweza vamiwa ukafa kizembe sababu utakaa wima tu kama bwege huwezi anguka chini uka craw kwa spidi ya mwewe wasikuone usalimishe tu hata makalio yako tu yasidungwe risasi na bunduki
Ukitaka kumpiga adui ambaye Yuko kilometers 2000 utatumia mbinu gani kama sio technology ya makombora ya masala marefu ambayo ni mifumo ya ictUongo kaangalie vita ya Urusi na Ukraine wanavyopigana porini
-capacity ya askari wa Russia, Israeli unadhani ni ya mchezo?Hujui vita
Wewe vita ziko za angani,msituni,majini ,chini ya ardhi kwenye tunnels
Sio kote unatumia makombora au ndege tu mjinga wewe
Huwajawaona askari wa urusi na ukraine wanatembea kwa miguu maporini,na ku ku craw na silaha na kuchimba mahandaki maporini?
Hujaangalia hata mazoezi ya kivita kati ya pamoja kati ya majeshi ya marekani na Tanzania yaliyofanyika porini?
Tatizo lenu utoto hamuangalii hata vita zenyewe zinavyopiganwa kihalisia
Nenda youtube kaangalie Israel alivyopigana na Hamas
Askari wa miguu wa ardhini wa Israeli walichokuwa wakifanya
Wewe utakuwa mtoto wa mama usije kanyaga jeshini umetepeta sana kama kutembea kukata mapori kwa miguu huwezi jeshi huliwezi.Kikosi chaweza vamiwa ukafa kizembe sababu utakaa wima tu kama bwege huwezi anguka chini uka craw kwa spidi ya mwewe wasikuone usalimishe tu hata makalio yako tu yasidungwe risasi na bunduki
unafahamu majukumu ya komando kwenye uwanja wa vita?Vita vya kujifunika mimajani usoni na kujichimbia mahandaki vishapitwa na wakati.
Sasa hivi kushinda vita inabidi uwe na teknolojia ya kuzuia makombora yasitue nchini mwako.
Majeshi ya Afrika bado wanafanya training za vita za ujima. Kubeba magogo migongoni na mizigo mizito. Eti ndio ukomandoo!!
Anaongelea maswala ya jeshi unaiingiza chadema au ni mwehuKwani haipo kwenye jeshi? Umeshaona hata wakifanya mazoezi kijeshi au huwa huangalii? Umekalia tu tonetone?
Yeah sure huyo ni mjinga,hapa hatuko kwenye ccm Wala chademaAnaongelea maswala ya jeshi unaiingiza chadema au ni mwehu
Kweli ingetumika isivyo sahihiBora hio teknolojia hatuna mana ingetumika vibaya
Hayupo sawa nimeona kila reply analeta mada ingine badala ajibu hoja kwa hoja zenye uhusiano.Yeah sure huyo ni mjinga,hapa hatuko kwenye ccm Wala chadema
mda huu tushatuma vimondo ila rudisheni internetIngawa Iran itashindwa, ila teknolojia ya kurusha bomu akiwa kwake na kwenda kushambulia nchi nyingine, hii inaonyesha ni akili kubwa.
Hii technology iko sana tu hata north KoreaIngawa Iran itashindwa, ila teknolojia ya kurusha bomu akiwa kwake na kwenda kushambulia nchi nyingine, hii inaonyesha ni akili kubwa.
Jeshi letu lichukuwe watoto watundu wa IT wafundwishwe kutengeneza mifumo ya kisasa ya kijeshi ikiwemo na utengenezaji wa drones, wapewe nafasi ya ubunifu, watengeneze satelite yetu ya kijeshi tuirushe itusaidie katika kufanya military surveillance na kukusanya taarifa za siri toka nchi mbalimbali na kutengeneza mfumo wa tahadhari huku tukitafuta marafiki wa kushirikiana nao katika nyanja ya utafiti na utengenezaji wa silaha mpya badala ya kutegemea manunuzi ya silaha kila siku ambazo ni gharama zisizokuwa na kikomo.Unashauri vipi sasa mkuu? ndio mada iliyopo tupe mchango wako achana na ya mashariki ya kati na ushabiki maandazi wakati huku kwetu mtoa mada anasema tunavunja tofali tu, wewe unasemaje?
Uwanja wa vita unaleta ukomandoo, Utatungua drones kwa ukamondoo ulionao au teknolojia uliyonayo?unafahamu majukumu ya komando kwenye uwanja wa vita?