Majeshi ya Kisiasa -Israel-Iran wanapigana vita wakiwa ofisini

Majeshi ya Kisiasa -Israel-Iran wanapigana vita wakiwa ofisini

Sasa jeshi linakuwepo kuwapiga Raia wake? Duuh Veggies mnatia huruma
Nakuhakikishia ikitokea vita hata Na rwanda tu hapo pamoja na udogo wa nchi yao ila tutachakazwa. Sisi Majeshi yetu yamejaza watu incompetence wao kiguvu tu kubeba kilo 100+ ndo ushujaa na kutumia ndege chakavu. Polepole alisema huwezi kua askari eti huna kadi ya CCM siasa siasa
 
Sisi makomandoo wetu wa jwtz wakienda huko Irani watakuwa wanadaka makombora na kuyavunjavunja kama wanavyopasua matofali
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣✋✋✋✋✋✋✋✋
 
IDF wanamtungua Mkuu wa Majeshi wa Iran chumbani mwake wakiwa ofisini Tel Aviv
Kweli jamaa wako mbali saana,nilisikia mahala chombo cha habari, wanasema kwasasa kuna drones zenye AI ndani yake,hizo ni habari balaa,zinapewa tu maelekezo kwenda kulipua mahala kwa ustadi mkubwa sana,,zipo za kujilipua kama bomu na zipo za kupiga na kurudi zilikotoka,dizaini hizo ni kama zile zilitumiwa na Ukraine ndani ya urusi,zikaharibu ndege vita za urusi.,hizo AI ndani yake ni mbadala wa GPS,hivyo ni vigumu kugundulika kwa adui.
 
Mleta mada utoto unakusumbua

Jeshi la Ardhini la Askari wa miguu liko pale pale
Hukuona hata Israel ikipigana na Gaza ? Hujaona vita ya urusi na ukraine askari wa ardhini wakipigana vita mistuni ana kwa ana? Lilianza jeshi la angani kurusha makombora halafu likaja la Ardhini .Hilo ardhini huhitaji watu wakakamavu hasa wawezao kupambana kwa kila silaha iwe ngumi
,matofali nk
Unavyoona wanapasua matofali sio tu kuonyesha tu ukakamavu lakini pia kukitoa adui kamrushia tofali kutaka kumpiga nalo aweze kulikabili

Tatzo nyie Vichadema kujiita makamanda wakati hata mgambo hamjawahi kanyaga
Umeandika upuuzi tofali kuvunja na modern Army za sikuizi mbona hamna logic, au unaenda kwenye Maji Maji war
 
Kumwagilia bustani
Kwa hiyo askari kusipokuwa na vita anatakiwa akeshe bar na kulala nyumbani? Akisubiri vita?

Kusipokuwa na vita hufanya shughuli za kiraia .Hiyo humsaidia pia mfano umeteka nchi adui kasalimu amri inabidi usaidiane na raia shughuli zao za kiraia kama bustani nk wajue kujitegemea nk

Bunduki inakuwa ha8hitajiki tena

Askari wa Jeshi sio bunduki tu
 
Umeandika upuuzi tofali kuvunja na modern Army za sikuizi mbona hamna logic, au unaenda kwenye Maji Maji war
Hakuna logic? Mjinga wewe ingia mtaani wahuni wakutupie tofali tuone kitakochokukuta

Sababu mtaani hawana risasi hasa mijini hata mawe hamna dawa yako wewe kupigwa kipande cha tofali tu na wahuni mtaani ndio utajua logic
 
Kwa hiyo askari kusipokuwa na vita anatakiwa akeshe bar na kulala nyumbani? Akisubiri vita?

Kusipokuwa na vita hufanya shughuli za kiraia .Hiyo humsaidia pia mfano umeteka nchi adui kasalimu amri inabidi usaidiane na raia shughuli zao za kiraia kama bustani nk wajue kujitegemea nk

Bunduki inakuwa ha8hitajiki tena

Askari wa Jeshi sio bunduki tu
Bustani ndo shughuli za kiraia? Bora hata wangefanya matunzo ya kutengeneza codes au tatizo Ngumbaru?
 
Bustani ndo shughuli za kiraia? Bora hata wangefanya matunzo ya kutengeneza codes au tatizo Ngumbaru?
Codes raia watakula codes mfano hata umepindua nchi jeshi likashika raia wanahitaji codes? Kuishi ?
 
Hakuna logic? Mjinga wewe ingia mtaani wahuni wakutupie tofali tuone kitakochokukuta

Sababu mtaani hawana risasi hasa mijini hata mawe hamna dawa yako wewe kupigwa kipande cha tofali tu na wahuni mtaani ndio utajua logic
Athari za kujaza lasaba na form four failed kwenye majeshi ndio hii sasa, mtu anatetea kuvunja matofali ndio ubora wa jeshi aisee tunasafari ndefu
 
1. Majeshi ya wenzetu wameyaboresha (Jeshi dogo, teknolojia kubwa).

2. Tofauti na Majeshi ya kisiasa yaliyojaa Ubabe wa kipuuzi, Timu za Mpira, canteen na fremu za maduka na kumbi za harusi. Kupata kazi humo lazima uandikiwe vimemo ili ukapasue tofali kwa kichwa.

3. Bali wenzetu wasomi wabobezi wa mifumo ya kidigitali missile inarushwa mtu akiwa ofisini inaelekezwa chumbani kwa Mkuu wa Majeshi wa nchi (anakutwa wamejifungia wanaume wawili tu)?
Siku hz, hatuna jeshi, vijana wa, jwatz hawana tofauti na vibaka, au panyaroad na ubabe wao, kila kitu kwao ni maguvu tu, hata sehemu ya busara, wao, wanataka wananchi wawaogope kisa wamevaa Kombat! So, stupid,
Yaani nilishangaa kuona luten mzima,anaandaa press conference, kutoa taarifa ya kuandaa mission ya kunyanganya watu mavazi yanayofanana na ya jeshi! Wale kenge kwa umaskini wao, wakapita, kwenye mitumba, wana chukua mabegi,
Wanajibinafshia wao,
Mtu aliyekuwa kilaza secondary akapata div 4 ya mwisho, ndio anakuwa maana jeshi, siku moja nipo dar, asubuh naona wanafanya mazoezi ya kutembea alfajiri, pale makongo na kawe, wanaleta jam tu, unawaangalia unaona hakuna tofauti Yao na mgambo wa jiji,
Hv kutembea kutoka jkt kawe mpaka kituo cha kwa mwalimu, kuna leta tija gani katika stamina! So fucking stupid
 
Vita gani unaongelea wewe? Vita za teknolijia juu hutumika nchi zilizoendelea zikipigana zenyewe kwa zenyewe .Sababu uchumi wao huweza himili hizo gharama za teknolojia

Kombora moja mfano la masafa marefu bei yake la chini kabisa ni dollar milioni moja sawa na shilingi trilioni moja za Tanzania .Tena la kawaida sana ya juu yanafika hadi dola milioni 10 ambazo ni sawa na hela za Tanzania shilingi trioni 10 kwa kombora moja tu bila launcher zake

Unaongea kama bwege Kwa uchumi upi wa kuhimili hizo gharama.Kwa hizi vita za maskini kupigana sijui na jirani maskini mnayepakana naye kwa nchi za kiafrika?

Vita ya maskini kwa maskini hawahitaji teknolojia kubwa

Sisi majeshi yetu hayajipangi kupigana na Israel wala Marekani huo mpango haupo
Lakini sisi waafrika lwa waafrika tunawezana

Usi copy tu na ku paste kwa kuangalia vita za nchi zenye uchumi mkubwa ukadhani waweza copy kile walichonacho na wewe ukawa nacho .Huna pesa hizo za kununua hiyo teknolojia

Teknolojia hazigawiwi bure kama kondomu.Unanunua .Zinauzwa.
Dollar million 1 sio sh trillion 1,ni sawa na tsh.sh bilioni 2.6
 
Tununue YUTONG au missiles za kutosha kuwafyatua CHADEMA wakizingua?
 
1. Majeshi ya wenzetu wameyaboresha (Jeshi dogo, teknolojia kubwa).

2. Tofauti na Majeshi ya kisiasa yaliyojaa Ubabe wa kipuuzi, Timu za Mpira, canteen na fremu za maduka na kumbi za harusi. Kupata kazi humo lazima uandikiwe vimemo ili ukapasue tofali kwa kichwa.

3. Bali wenzetu wasomi wabobezi wa mifumo ya kidigitali missile inarushwa mtu akiwa ofisini inaelekezwa chumbani kwa Mkuu wa Majeshi wa nchi (anakutwa wamejifungia wanaume wawili tu)?
Sisi kwenye maonyesho tunabeba mabegi makubwa na kuchapana fimbo na muda mwingine kupasuliana matofali kifuani 😀😀😀..... inawezekana sisi siyo dunia ya tatu labda ya nne
 
Back
Top Bottom