Hapo hakuna mshindi bali kudhoofishana kijeshi na kiuchumi.1. Majeshi ya wenzetu wameyaboresha (Jeshi dogo, teknolojia kubwa).
2. Tofauti na Majeshi ya kisiasa yaliyojaa Ubabe wa kipuuzi, Timu za Mpira, canteen na fremu za maduka na kumbi za harusi. Kupata kazi humo lazima uandikiwe vimemo ili ukapasue tofali kwa kichwa.
3. Bali wenzetu wasomi wabobezi wa mifumo ya kidigitali missile inarushwa mtu akiwa ofisini inaelekezwa chumbani kwa Mkuu wa Majeshi wa nchi (anakutwa wamejifungia wanaume wawili tu)?
Bila military Advance huwezi kukalia ardhi ya adui.