Majeshi ya Kisiasa -Israel-Iran wanapigana vita wakiwa ofisini

Majeshi ya Kisiasa -Israel-Iran wanapigana vita wakiwa ofisini

Hebu tupe mchango wako kuhusu majeshi yetu ya Africa,huko hakutusaidii chochote na hata hawakujui ili siku hivyo vimondo vikitua kwetu tujue namna ya kuvizuia
huko Africa mmeendekeza ngono, kukomesha nyuchi za wanawake na kumeza ARV tu
 
Pole

Teknolojia haiepukiki kwenye Majeshi yetu. Kufyeka na kupangisha Fremu/Jimbo za harusi haiwezi kuwa ni mandate ya jeshi
Uwekezaji wa teknolojia jeshini utatumia fedha nyingi za kigeni huku wao wakiwa hawazalishi fedha za kigeni
 
Kwani wewe huko uliko una nini cha maana unachofanya? Unekuwa bilionea kuwashinda waafrika akina No Dewji na Bakheresa na Dangote? Lofa mkubwa wewe
ubilionea unakujaje tena hapo ? au kwakuwa saa 5 inakaribia ndugu ?
 
huko Africa mmeendekeza ngono, kukomesha nyuchi za wanawake na kumeza ARV tu
Unashauri vipi sasa mkuu? ndio mada iliyopo tupe mchango wako achana na ya mashariki ya kati na ushabiki maandazi wakati huku kwetu mtoa mada anasema tunavunja tofali tu, wewe unasemaje?
 
Unashauri vipi sasa mkuu? ndio mada iliyopo tupe mchango wako achana na ya mashariki ya kati na ushabiki maandazi wakati huku kwetu mtoa mada anasema tunavunja tofali tu, wewe unasemaje?
huko kwenu bakini na mnachofanya vyema, nacho ni kukomoa nyuchi za wanawake na kumeza njugu
 
Vita vya kujifunika mimajani usoni na kujichimbia mahandaki vishapitwa na wakati.

Sasa hivi kushinda vita inabidi uwe na teknolojia ya kuzuia makombora yasitue nchini mwako.

Majeshi ya Afrika bado wanafanya training za vita za ujima. Kubeba magogo migongoni na mizigo mizito. Eti ndio ukomandoo!!
Basi wakishakupanda hzo yutong vingora mji mzima kila sku ya mungu wanaharaka wao huku wamevaa matrak suti
 
Mleta mada utoto unakusumbua

Jeshi la Ardhini la Askari wa miguu liko pale pale
Hukuona hata Israel ikipigana na Gaza ? Hujaona vita ya urusi na ukraine askari wa ardhini wakipigana vita mistuni ana kwa ana? Lilianza jeshi la angani kurusha makombora halafu likaja la Ardhini .Hilo ardhini huhitaji watu wakakamavu hasa wawezao kupambana kwa kila silaha iwe ngumi
,matofali nk
Unavyoona wanapasua matofali sio tu kuonyesha tu ukakamavu lakini pia kukitoa adui kamrushia tofali kutaka kumpiga nalo aweze kulikabili

Tatzo nyie Vichadema kujiita makamanda wakati hata mgambo hamjawahi kanyaga
Hata kula kwa mkono kuko "mumo kwa pale" ingawa siyo lazima.
 
Vita vya kujifunika mimajani usoni na kujichimbia mahandaki vishapitwa na wakati.

Sasa hivi kushinda vita inabidi uwe na teknolojia ya kuzuia makombora yasitue nchini mwako.

Majeshi ya Afrika bado wanafanya training za vita za ujima. Kubeba magogo migongoni na mizigo mizito. Eti ndio ukomandoo!!
Na ule upuuzi wa six weeks za mkesha unaboa sana.
Kweli Mwafrika ni bado sana
 
Back
Top Bottom