sasa si vijana mnawaza ajira tu hamtaki kua wagunduziMajeshi ya wenzetu wameyaboresha
Kisiasa linachukua watoto wa vigogo kwa vimemo humo wanaposua tofali kwa kichwa. Bali wasomi wabobezi wa mifumo ya kidigitali missile inarushwa mtu akiwa ofisini
Endelea kuish kwenye historia wakati dunia inasonga mbeleSisi tulianzia Mutukula hadi Kampala dadeki ๐ผ
IDF wanamtungua Mkuu wa Majeshi wa Iran chumbani mwake wakiwa ofisini Tel AvivEndelea kuish kwenye historia wakati dunia inasonga mbele
Teknolojia haiepukiki kwenye Majeshi yetu. Kufyeka nyasi, kukata michongoma na kupangisha Fremu/kumbi za harusi haiwezi kuwa ni mandate ya jeshiMleta mada utoto unakusumbua
Jeshi la Ardhini la Askari wa miguu liko pale pale
Hukuona hata Israel ikipigana na Gaza ? Hujaona vita ya urusi na ukraine askari wa ardhini wakipigana vita mistuni ana kwa ana? Lilianza jeshi la angani kurusha makombora halafu likaja la Ardhini .Hilo ardhini huhitaji watu wakakamavu hasa wawezao kupambana kwa kila silaha iwe ngumi
,matofali nk
Unavyoona wanapasua matofali sio tu kuonyesha tu ukakamavu lakini pia kukitoa adui kamrushia tofali kutaka kumpiga nalo aweze kulikabili
Tatzo nyie Vichadema kujiita makamanda wakati hata mgambo hamjawahi kanyaga
Kwani haipo kwenye jeshi? Umeshaona hata wakifanya mazoezi kijeshi au huwa huangalii? Umekalia tu tonetone?Pole
Teknolojia haiepukiki kwenye Majeshi yetu. Kufyeka na kupangisha Fremu/Jimbo za harusi haiwezi kuwa ni mandate ya jeshi
Zanzibar ndio wanasonga mbele Sisi tunaishi kwenye historia ya Tanganyika ๐๐๐ฎ๐ฑEndelea kuish kwenye historia wakati dunia inasonga mbele
Alafu unasikia mtu anasema msitupangie weeeeee wakati mpaka sample ya kila mtu wanayo yaaniVita vya kujifunika mimajani usoni na kujichimbia mahandaki vishapitwa na wakati.
Sasa hivi kushinda vita inabidi uwe na teknolojia ya kuzuia makombora yasitue nchini mwako.
Majeshi ya Afrika bado wanafanya training za vita za ujima. Kubeba magogo migongoni na mizigo mizito. Eti ndio ukomandoo!!
Hebu tupe mchango wako kuhusu majeshi yetu ya Africa,huko hakutusaidii chochote na hata hawakujui ili siku hivyo vimondo vikitua kwetu tujue namna ya kuvizuiamda ni saa 5 usiku wa kurusha vimondo
pakej ya kutosha inakuja, endeleeni kuweka ADs nyuma ya majengo ya kiraia eeh
Wamepewa na UrusiIngawa Iran itashindwa, ila teknolojia ya kurusha bomu akiwa kwake na kwenda kushambulia nchi nyingine, hii inaonyesha ni akili kubwa.