Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 363
I think this is good for our soldiers! Kuna baadhi yao wamejoin jeshi miaka 40 iliyopita hawajawahi kuua hata inzi! na kuna uwezekano wakaishia kustaafu bila kufyatua risasi, matokeo yake ndio wamekuwa wakija ku practise mafunzo yao mitaani kwa kuwapiga raia kwenye maugomvi ya wanawake kwenye mabaa na kwenye kugombea siti za daladala!Hawa wanajeshi-they needed something to keep them busy,hawana kazi, most of the time wako idle tuu, what do they do? Wanahitaji real practical kidogo, leo hii hata tukipigana na ka nchi kadogo kama Rwanda au Burundi itakuwa ni aibu tupu.Kwa upande mwingine pia natamani hizi zingekuwa zila enzi za 'lazima kwenda jeshini' ili nione kama JK angethubut kumpeleka Ridhiwani huko.