Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Majeshi yetu Comoro: Who is responsible?

Status
Not open for further replies.
I think this is good for our soldiers! Kuna baadhi yao wamejoin jeshi miaka 40 iliyopita hawajawahi kuua hata inzi! na kuna uwezekano wakaishia kustaafu bila kufyatua risasi, matokeo yake ndio wamekuwa wakija ku practise mafunzo yao mitaani kwa kuwapiga raia kwenye maugomvi ya wanawake kwenye mabaa na kwenye kugombea siti za daladala!Hawa wanajeshi-they needed something to keep them busy,hawana kazi, most of the time wako idle tuu, what do they do? Wanahitaji real practical kidogo, leo hii hata tukipigana na ka nchi kadogo kama Rwanda au Burundi itakuwa ni aibu tupu.Kwa upande mwingine pia natamani hizi zingekuwa zila enzi za 'lazima kwenda jeshini' ili nione kama JK angethubut kumpeleka Ridhiwani huko.
 
......Kwa upande mwingine pia natamani hizi zingekuwa zila enzi za 'lazima kwenda jeshini' ili nione kama JK angethubut kumpeleka Ridhiwani huko.

Nadhani angempeleka tu huko jeshini! Mwalimu Nyerere akiwa Rais watoto wake walipitia JKT, na wawili kati yao walikuwa JWTZ ambao ni Capt Charles Makongoro Nyerere na yule rubani (nimesahau jina lake), na tena basi walikwenda mstari wa mbele kupigana vita vya Kagera. Hata huku UK Prince Harry ni askari katika jeshi la UK na majuzi tu alikuwa mstari wa mbele huko Afghanistan.
 
mbalamwezi majeshi yetu yamekwenda kule kama miaka 3 iliopita ndugu yangu,,ukisem achini yamendate ya AU ,,,SIKUBALIANI maana ndugu(JK) yetu kapeleka juzi kama AU majeshi yake je majeshi ya AU yalianzanza kwenda toka lini uko????????bado tujieulize nini wanachokimbilia kule na kwanini wasimkimbilie ""COMRADE MUGABE""
waone cha moto na MAJESHI YAKE YAMESHASEMA HAKUNA MWINGINE ZAIDI MUGABE ,,,,kazi ipo?????

Mkuu hebu eleweka tafadhali!!!
 
Quick question, majeshi yetu yameenda kule lini...? Kwa sababu nina taarifa zinazokinzana.

Labda kwa kujazia swali juu ya swali, nani ana mamlaka ya juu kupeleka majeshi yetu kunako vita? Ni bunge? Ni Raisi (sirikali)? Ni wote bunge na sirikali?
 
It is too late for dialogue... the only way now is to use force Wajeshi wetu wakitua katika undisclosed location moja ya viwanja vya ndege vya Comoro.

_44499344_troops_afp203b.jpg
 
Picha za wanajeshi wetu wakiwasili Fomboni jana asubuhi, wengine hao wenye kofia nyekundu ni wasudan
610x.jpg

610x.jpg

610x.jpg

610x.jpg


Hii picha ya Last week wakati wanatua Moroni
340x.jpg
 
Nadhani angempeleka tu huko jeshini! Mwalimu Nyerere akiwa Rais watoto wake walipitia JKT, na wawili kati yao walikuwa JWTZ ambao ni Capt Charles Makongoro Nyerere na yule rubani (nimesahau jina lake), na tena basi walikwenda mstari wa mbele kupigana vita vya Kagera. Hata huku UK Prince Harry ni askari katika jeshi la UK na majuzi tu alikuwa mstari wa mbele huko Afghanistan.

kijana wa mwalimu aliyekuwa kwenye AIR FORCE front line alikuwa fighter craft pilot...captain ANDREW NYERERE ....siki hizi yupo tuuu..

captain makongoro NYERERE alikuwa frontline as artillery men in infantry..tena kabisa maana alienda vitani mara tu baada ya kutoka JKT na alikuwa hajawa afisa..nadhani mnajua vita hupiganwa na ma koplo...akiwa mstari wa mbele hata baba yake alikuwa hajui na hata alipokuja fahamu alimuambia aendelee...baada ya vita yeye alikaa zaidi kutoa mafunzo kwa askari wa ugganda alihamia arusha ...mwaka 1982...ambako muda mfupi baadaye alichukua uofisa monduli..then chuo kikuu cha kijeshi RUSSIA [artillery and tanks]..then he came back to become a millitary instructor at officers college....he retired from millitary miaka miwili baada ya baba yake kustaafu as ccm chairman.......
 
Acheni wapigane maana hiyo ni moja ya practical trainning nzuri sana ya wanajeshi wetu,tena wao ukiwauliza wanapenda hasa,yani wana usongo ila sisi tusio wanajeshi huku tunawaonea huruma sana bse most of us are coward,kikubwa pale ambapo pana good cause ya kwenda vitani twende,sio mwanajeshi unajiunga na jeshi hadi unastaafu hujawahi kwenda mstari wa mbele vita unaiskia tu.Halfu eti tunasema tuna jeshi jeshi gani vita unaisoma theory tu,siku tukivamiwa hapa utaona tunavyopukutika kama siafu,hao wanaokwenda peace keeping na kurudi ni hazina ya taifa wakati wowote tukivamiwa.Kwa kukosa kazi ndio maana wanajeshi wetu huko songea wanaamua kupiga raia,kuwa walevi kupindukia,na hapa dar kupambana na raia wafanyakazi wa dawasco na wengine kuingia katika ujambazi.Hakuna kazi kule kambini wakienda wanapiga gwaride asubuhi,wengine wanaingia kufyeka nyasi saa tano tu wamemaliza hao,siku imepita.
 
Halfu eti tunasema tuna jeshi jeshi gani vita unaisoma theory tu,siku tukivamiwa hapa utaona tunavyopukutika kama siafu,hao wanaokwenda peace keeping na kurudi ni hazina ya taifa wakati wowote tukivamiwa.Kwa kukosa kazi ndio maana wanajeshi wetu huko songea wanaamua kupiga raia,kuwa walevi kupindukia,na hapa dar kupambana na raia wafanyakazi wa dawasco na wengine kuingia katika ujambazi.Hakuna kazi kule kambini wakienda wanapiga gwaride asubuhi,wengine wanaingia kufyeka nyasi saa tano tu wamemaliza hao,siku imepita.

Mimi nakubaliana na wewe mkuu. Ni kweli kuna wanajeshi wengi sana wanaingia jeshini hadi wanastaafu hawajawahi kusikia sauti ya maguruneti zaidi ya mafunzo wanayoyapata kule Monduli.. Kama kuna Maslahi kama nchi waache waende bwana.. wamekuwa wakila na kunywa kwa kodi zetu bila ya kufanya kazi matokeo yake wanaamua kufanyia mazoezi kwa wananchi tena kwa vitu visivyokuwa na msingi kama ulevi, wanawake nk... Let them go to get more practice.. wakifa ni sehemu ya maisha wanaweza wakapata ajali hata hapa TZ wakafa hata 60 kwa pamoja. Hakuna mwenye mkataba na Mungu... Mimi naunga mkono kwa hoja kuwa wanafanya kwa maslahi ya taifa na pia wapo kwenye mazoezi
 
Nyuso zao zimebadilika sana ,zimejawa na khofu na inaonekana kama hawakwenda kwa ridhaa yao na wanalolifuata halijulikani ,wamevuka mipaka ya nchi yao ,wanakwenda kufanya kitu gani je walipoandikishwa waliweka saini kwa makubaliano ya kulinda na kuokoa nchi nyengine ,nakumbuka yule mpiganaji wa marekani Muhammed Ali Clay alikataa kwenda kupigana Vietnam sijui kama hawa wakwetu wanayo haki ya kukataa kwenda huko ??? Katika hizo picha nimeona mmoja tu amekenua ,yaani akiulizwa anafurahia kitu gani sijui atajibu nini ???
 
wazalendo we have to accept the fact that we are fighting a proxy war for ameriKKKa. we all know ameriKKKa sees that corner of africa as a strategist post for the war on terror campaign. pia tusisahau ya kuwa comoro produced one of the FBI's most wanted al qaeda suspect fazul abdullah mohammed who is still on the run (presumably in one of the islands) after being accused of involvement in the bombings of the embassies in kenya and tanzania. lastly, the said rebel colonel bacar is being backed by the french and the south afrikans. sasa kazi ipo na yaliyowakuta wahabeshi hapo somalia sasa yatatukuta sisi. kuna vitabu 2 warfare by other means- peter stiff and on south africa secret service- riaan labuschagne vinaelezea vizuri sana vita vilivyokuwa vinatokea kule reunion, comoro and seychelles na pia involvement of south afrika, tanzania and france.
 
Wanadai wanafanya mazoezi ya kuimarisha ujeshi wao.

Kwa nini wasiende Kenya hapa karibu kuzuia wenzetu hawa wasichinjane wanakwenda Comoro?

MH Kikwete lazima atuambie ukweli,hii nguvu ya kwenda comoro iko backed up na Marekani.

Nijiavyo mimi muungano wa Zanzibar ulipikwa na CIA na Nyerere kuuziwa kwa bei poa autekeleze ili kuondoa uwezekano wa Zanzibar kuchulikuliwa na Wacommunist.

Usione pengine kwa siri karuhusu Marekani ijenge kituo chake,AFRICOM, kisiwa cha Mafia kwa ahadi ya kuwabeba SISIEMu kutawala milele.

Kalagabaho
 
Wanadai wanafanya mazoezi ya kuimarisha ujeshi wao.

Kwa nini wasiende Kenya hapa karibu kuzuia wenzetu hawa wasichinjane wanakwenda Comoro?

MH Kikwete lazima atuambie ukweli,hii nguvu ya kwenda comoro iko backed up na Marekani.

Nijiavyo mimi muungano wa Zanzibar ulipikwa na CIA na Nyerere kuuziwa kwa bei poa autekeleze ili kuondoa uwezekano wa Zanzibar kuchulikuliwa na Wacommunist.

Usione pengine kwa siri karuhusu Marekani ijenge kituo chake,AFRICOM, kisiwa cha Mafia kwa ahadi ya kuwabeba SISIEMu kutawala milele.

Kalagabaho

Unajua saizi kikwete is stuck in limbo!! Advisors wake wamfanya ajisikie kama amesave kenya kumbe kenyans saved themselves..he is trying to create a legacy kama Nyerere in my eyes..U knw Uganda overthrow of AMin..sasa naona Comoro ndo Uganda yake..anachosahau ni kwamba he can build a legacy in Tanzania, Africa and Beyond by showing how corrupt his government is and start a whole new campaign for a new tanzania..too bad he cant do that (corruption is wot got him in there)...i feel sorry for him...Maji yaliyo mwagika kweli hayazoleki
 
Picha za wanajeshi wetu wakiwasili Fomboni jana asubuhi, wengine hao wenye kofia nyekundu ni wasudan
610x.jpg

610x.jpg

610x.jpg

610x.jpg


Hii picha ya Last week wakati wanatua Moroni
340x.jpg

Ila Bling-bling zimekubali. Zinang'aa. Nimeona vifaa blog fulani, kumbe tunavifaa vya vita sopu sopu.
 
......imawezekana kelele zetu jf za kuondoa usiri unaotawala hii operation zimepata sikio...leo picha za awali za vijana wakiwa comoro zimeanza kurushwa na tv stations...pamoja na kuwa wamechagua picha moja au mbili..huu ni mwanzo..tungependa tuoneshwe live namna vijana wanavyoingia anjuan ...kama nchi nyingine zinapowapa wananchi fursa ya kuona wanajeshi wao.....wasiwabane waandishi!!!!..na waandishi waliopo huko wajue wana jukumu la kuwapa ukweli wananchi...tunavyoadvance ,au ku re treat....,kama kuna casualities au mobility ..waseme wazi!!!
 
fighting insurgency sio mechi ya mpira...!


MAENDELEO kwenye mfumo wa habari...yapo juu..ukiangalia cnn na aljazeera huwa unaona nini..kuna tofauti kati ya live news coverage na live sports coverage.....

live news coverage lazima iendane na ethics za vyombo vyua habari..ikiwemo kuondoa script ambazo zipo kinyume na sera husika..lakini mwisho wa siku habari inawafikia watu!!..kumbuka hata cnn huwa hawaoneshi maiti za kutisha za askari hasa askari wao ....ila mara kwa mara huonesha mapambano mstari wa mbele.....na unaonesha pale unaposhambulia tu,ukipigwa huwezi kuonesha..thats a duffrent na mpira ambako hata ukifungwa unaonesha!!!!
 
MAENDELEO kwenye mfumo wa habari...yapo juu..ukiangalia cnn na aljazeera huwa unaona nini..kuna tofauti kati ya live news coverage na live sports coverage.....

live news coverage lazima iendane na ethics za vyombo vyua habari..ikiwemo kuondoa script ambazo zipo kinyume na sera husika..lakini mwisho wa siku habari inawafikia watu!!..kumbuka hata cnn huwa hawaoneshi maiti za kutisha za askari hasa askari wao ....ila mara kwa mara huonesha mapambano mstari wa mbele.....na unaonesha pale unaposhambulia tu,ukipigwa huwezi kuonesha..thats a duffrent na mpira ambako hata ukifungwa unaonesha!!!!

Transparency is needed on this matter .Wanaenda kupambana na insurgency so mengi tutayaona ikiwa ni kupoteza maisha ya vijana wetu .Ukweli utawale na hili tutali uliza mwaka 2010 wakati wa kampeni za Urais na Ubunge .So wakae tayari .Tumepigana kuikomboa Africa sana na sasa Watanzania ni masikini na Nchi yao tajiri lakini wanakufa kwa kukosa hata dawa .
 
phillemon mikael ....... mi nilikuwa namaanisha ya kuwa we are takin fighting insurgency utadhani we are goin to comoro for a football match. manake serikali inatuambia itawaachukua 3 months wakati tumeona yaliyowatokea wahabeshi hapo somalia who went there thinkin the same way and til today they are still there and dyin everyday.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom