Heshima wakuu
Naomba nitoe maoni yangu machache juu ya mjadala mzima wa Issue ya comoro.
1.Nimecheck picha moja hapa+historia+makundi ya kidini(wakristo2%na waislamu98%)+local language ya hawa watu ni swahili yenye vionjo vya kiarabu na geographical postion.Namini hii ni sababu moja iliyomsukuma mhusika kutuma majeshi huko comoro.Kibinadamu hili ni jambo jema sana.Ila naomba mhusika wa oparesheni ajaribu kutuletea MAONI YA WAKRISTO WAISHIO COMMORO JUU YA UTAWALA WA BAKARI NA KIONGOZI MWINGINE YEYOTE hapo commoro.Ni vema tuangaangalia na kulisaidia kundi hili la 2% kwani kwa utafiti wa harakaharaka inaonesha kuwa nchi hii haina historia ya kutawalia na kiongozi mkristo na huenda hata viongzi wooote toka vyama na serikali hamna hata mmmoja amabye ni mkristo.Nasema hivi nikiwa na maana njema tuuu,political instabillit hii ya mapinduzi ya 19times huenda kuna ubaguzi fulafulani ambao MUNGU anataka kuwafundisha kitu hapa wenzetu hawa.Kwa wnaotaka kuivalidate idea hii wapendekeze tuu ina la mkrsito mwenye uwezo awe leader hapo,nadhani atawezatestify vema.Pia nashauri tena nashauri si jambo zuri kwa nchi ambazo ni republic kama tz kuwa na serikali(mfano zanzibar)ambayo viongozi wake woooote ni waislamu wakati kuna kundi kubwa tu la wakrsito na wapagani waishio hapa zanzibar.Hivi hawa wakristo wanafanya nini hapa zenj?au wao ni wasindikizaji?waongozwa?ni vipofu?hawawezi kuongoza?yapo mengi ya kuhoji juu ya hili swala,ila tukae tukaavyo kila mtu ana zake,wacomoro hawalali usingizi leo kwa kukosa amani na utulivu,naaamini haya yote ni matunda ya utawala uliopo awali ulivyolemea upande mmoja.Si vema na si busara hata kidogo,huku hawahawa waongozwa bado wanachangia kodi zao ktk pato la Taifa.Kwanini wasitengwe na huko kulipa kodi?nauliza na ile kasheshe ya sungusungu kuingia kanisani nakukatisha ibada ya ndugu zetu ilishia wapi?hivi ni lini na wakati gani sungusungu waliiingia msikitini na kukatisha swala?hivi hatuoni haya?ni madogo eeeeeeee.anyway..................kesho tutajadili zaidi
2.Nashauri kunaoukuwa na ushiriki wa majeshi yetu ktk majeshi ya Muungano kama haya,ni vema watu wetu wawe wamejipanga na kujiandaa sawia,kwan kuonesha madhaifu yeyote yale ni hatari sana,kwani ktk MUNGANO huohuo wapo wengine ni matraitors.Wataaluma naamini mnapata kitu hapa..........scroll down kwa maelezo zaidi.
Mwisho Tanzania hoyeeeeeeeeeeeeeeeee.