Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

Umechanganya mambo,kiswahili hakina msamiati wa kutosha,sie tukisema mwanajeshi tunamaanisha "member from army)sio police force,kwanza hata mafunzo yao ni tofauti,sasa wanakuaje Sawa?
Kule USA Kuna kitu kinaitwa "militarization of police force"yaani kufsnya polisi watende kama wanajeshi(army),sasa kama polisi ni Sawa na mwanajeshi,sasa kwanini Kuna kuifanya polisi iwe kama jeshi kivitendo?
Maelezo yako yatie kwenye lugha ya malikia utaona ulivyochemka.
 
Polisi bana!!
 
Refresher course inamaana ya kumpa vitu vinavyoendana na majukumu muhusika.
Sisi hapa tunavyo kwambia Jwtz ni jeshi la dunia ya kwanza,tunamaanisha hakunaga jeshi linalokujaga kutupiga refresher course, hivyo kwa maana nyingine tuko full kila idara, na siku ukiona wamekuja majeshi wa nchi rafiki/ wahisani. Humaanisha either mazoezi ya pamoja/kubadilishana ujuzi/Kuna mafunzo ya zana/silaha mpya zikizo ktk prosses ya kununuliwa au tumepewa kadhaa Kama msaada,ili tuzinunue.Hivyo jw hakunaga refresher kutoka hizo nchi zote unazo zijua wewe, Mission za amani kipo chuo chetu KISUNGURA, Special force nazani unajua tunavyo vinne vya hiyo Taaluma, Terrorist nafikiri uzoefu wetu haukupi shida hata kujua kua,ndugu zetu wamozambique waliogopa baada ya kupewa brief ya operation na ukizingatia ujirani.

Pia ujue msumbiji wanaamini ikishindikana kabisa hao jamaa nchi ya mwisho ya funga kazi. Ni kuikabidhi hiyo ardhi kwa TZ/Jwtz.

Hao vijana wenu wa Pk walienda tu Kama first choice ndio maana hata SA walianza kukataa kwa sababu za kiusalama,Hapa ilizingatiwa kuwa muingiliano wa radio ( Radio wave) kwani lazma mpeane uelekeo ili kuepusha kushambuliana wenyewe kwa wenyewe au makosa ya makusudi kua tulijihami tukihisi Ni adui Alie valia mavazi rasmi. pamoja na operation code. Ndio maana wenzetu waligoma maana ilifikirika kua Banyamulenga wangejikita katika kufatilia masasiliano ya wenzao maana lazma mpeane wave, kwa lengo la kupew a tabia na mwendo wa adui,uamrishaji na usambazaji wa huduma,Ugawaji na usambazaji wa silaha "Watu wa systems mtakua mnanielewa hapa". Pia usisahau silaha ya kwanza kwa adui yako ni taarifa Kisha masasiliano ndio zinakuja zana za kivita.

Hapo nafikiri unanielewa vzuri. Na ili kukuhakikishia Hilo mambo yandani ktk joint operation wameweka kambi mbili zilizo full equipment lkn bado wameomba kuwe na detachment ya Jwtz jirani nao ktk kila kambi. Na kambi hizo zimewahusisha Crt,Kmkm, CID,Ffu nafikiri na stpu. Kwaajili ya ufatiliaji. Na bado mnaogopa. Shida Nini nyinyi si wanajeshi Tena kwa Aina ya Askari mlio peleka jeshi lingesema linapeleka vijana namna hyo Basi hiyo ingekua Ni battalion ya special force.

Pamoja na hayo nafikiri huwa unaelewa mudagani Jwtz linachukuaga mamlaka ktk operation yeyote ile. Kumbuka Task force ya Hon Jakaya M Kikwete. Ilikua kwamba ishu ikiwa ngumu ndio muda was kuomba watoto wa baba waende wakaliokoe jahazi. Unakumbuka mlivyokua mnakula makofi Mkiru mlipokua mnafanya harassment kwa raia.😂😂😂.

Naomba nikukumbushe jeshini lipo somo la kareti lakini sio kila my analitilia maanani. Siku huko mtaani mkipiga vijana wa Maroon ballet au dark blue ndio mseme mmepiga wanajeshi. Ikiwezekana fanyeni kbsa sherehe. Ila huko vikosini wengine Ni mafundi,radar,ndege, plumber, welding, electrical, mechanics, weapon technician, filter mechanics, teachers,nawengine wengitu. Sasa nenda ukakutane na walio dhamilia kujua namna ya kuua mtu. Au hata walimu wa jkt/recruiters huku ndio utajua hujui. Sio mnatupigia warevi na wapenda madem mnasema mmepiga wanajeshi. Pia kumbuka jeshini watu hufundishwa kwa unit ukisha lijua Hilo basi utakua na adabu na walinzi wako.

Seniority must follow.

Ukiwa na swali niulize. Tupo hapa kurekebishana Kaka.
 
upo sahihi mkuu
 
Kumbuka Adamoo la Lingwenya wamedakwa na kuteswa na Kingai tena kwa uonevu,,nakukumbusha Adamoo na Lingwenya ni makomandoo wa jwtz walioshiriki mission kibao lkn walidakwa na kingai tena akiwa na bastola tu
 
Kumbuka Adamoo la Lingwenya wamedakwa na kuteswa na Kingai tena kwa uonevu,,nakukumbusha Adamoo na Lingwenya ni makomandoo wa jwtz walioshiriki mission kibao lkn walidakwa na kingai tena akiwa na bastola tu
Sahihi hiyo ilikua ni kutii mamlaka, na haimaanishi kuzidiwa kiuwezo. Pia kumbuka wale tayali wako ktk Xfile huko ktk brigedi ya vikosi maalum/ LFC)MMJ, Tena wana onyo la kutofanya vulugu yeyote ile, Huku wakitoa taarifa za kila wabadilishapo anuani.
Kumbuka na Hilo.
 
Askari mgambo nae ni mwanajeshi!!?
 
Askari mgambo nae ni mwanajeshi!!?
Ni militia. Mgambo anafanya kazi kijeshi ila jeshini thamani yake nikubwa kuliko Polisi. Kwasababu Polisi tayali ana upolisi akilini mwake hivyo anajihisi yeye ni bora au ni sawa na mwanajeshi.

Ila msingi wa hoja kitaaluma Mgambo na Polisi wapo ktk kundi la reserve force/ paramilitary. Na ukija wito wote hupelekwa RFC
 
Hata jwtz uwa anajitambulisha"mimi ni Askari" sio "mimi mwanajeshi"
 
Afande
Askari
Mjeda
Mjeshi
Mwanajeshi
Poti
Soldier
Polisi
Agent


Wewe nawe unatuchanganya tu kwanza umeshaingiza maneno "kama sikosei" maana yake huna uhakika au hujui kabisa. Sasa unapotaka uulizwe maswali huoni ndio kabisa utazidi kutuingiza chaka?
 
Hivi ukiulizwa general wa jeshi la Tanzania utaanza kustasta bila kumtaja afande Gen. V. S. Mabeyo?

Yaani labda umtaje IGP Simon Sirro?

Tuna jeshi moja tu ambalo ni JWTZ pekee lenye kamandi zake

Lina silaha za kivita za ulinzi wa mipaka

Wanajeshi hupatikana ndani ya JWTZ pekee,

Tambua hii; wanajeshi wote ni askari ila si kila askari ni mwanajeshi.

Hao wengine wabaki kuhakikisha vibaka hawasumbui!

Polisi ni idara ya huduma za kiraia ambayo ndani yake kuna huduma mpka za ustawi wa jamii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

A soldier = mwanajeshi

Police officer = askari polisi


Huwezi kumuita polisi kuwa ni "soldier"
 
Kwann anaitwa raia mkakamavu?je kwnn rais upendelea kuvaa combat na c idara zngine za ulinzi?
 
Polisi sio mwanajeshi na mwanajeshi ni askari vita
Polisi/magereza/uhamiaji/wanyamapori "game" hizi zote ni taasisi za kutolea huduma
 
Ila we polisi mbona umeongea kwa uchungu mwingi sana sana? Jeshi la wananchi litabaki kuwa la wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…