Kuhusu refresher course hii inatolewa hata kama wanaoshiriki vita husika watakuwa ni Jwtz peke yake kwahy hilo umefeli,,,,alafu kupigwa refresher sio kwamba uaskari wako unakuwa na mashaka,hapana! Mfano kwenye mission za nje umakuta Jeshi la Ufaransa ama Us wanawapiga refresh askari kutoka nchi za Afrika kwhy hilo nalo ni kwamba majeshi hayajui kitu!!!? Kuhusu kuzifahamu vyema kazi ambazo wamekabidhiwa Jwtz hilo nalo sio hoja yenye mantiki kwa sababu Hata jwtz hawawezi kuzifahamu kazi za polisi kwa 100 % mpaka wapigwe refresh,,hivyo hivyo kwa Magereza Jwtz hawawezi kujua kazi zao bila kuwa refreshed,,,
Ulipokuja kuharibu nkaona unaleta ligi flani ambayo ipo cku zote kati w/ulinzi na w/ndani ni pale ulipoanza kuzidharau special forces ambazo ziko chini ya Magereza na Polisi,,hivi unafikiri kuwa mstari wa mbele kila siku kupambana na majambazi wenye silaha nzito ni mchezo na wengine ni askari waliofukuzwa au kuacha kazi huko huko jwtz lkn wanadhibitiwa ipasavyo na polisi hawa hawa,,,,Kumdhibiti mfungwa unadhani ni kazi nyepesi !!!? Kumbuka gerezani wahalifu ambao wengine ni makomandoo ambao wametoka huko huko jwtz ila wafanye ila wakifanya fyoko fyoko watasimulia jaramba watakalo kutana nalo
Kuhusu Mtwara mbona polisi walipiga kazi iliyotukuka na wale magaidi wakakimbia !!? Na pale iliunganishwa nguvu kutoka vyombo vyote sasa unaposema jwtz ndo walifanya kazi peke yao nakushangaa,,,,,Vipi kibiti napo hukuona kazi ya polisi kweli!!!?
Kuhusu kupigana vita hata raia anaweza kusonga front kumbuka vita ni ujasiri wala siyo mbwembwe,,,,kwhyo naamini hata Polisi na Magereza wakikabidhiwa jukumu la ulinzi wa Mipaka wanaliweza watakachohitaji ni uwezeshaji tu lkn kuhusu mafunzo msingi ya kijeshi wako fit tena sana
Walioko Jwtz ni watoto wetu tunawafahamu hawana maajabu yoyote yale,,,Sema tu dhamana na heshima waliyoibeba dhidi ya nchi hatunabudi kuwasema vizuri kama ilivyo kwa majeshi mengine ya Nchi,,,Wengine hata mimi raia najipigia vizuri tu hawana chochote ni bakabaka tu na crown ya nchi ndo tunaviheshimu sana kama ilivo kwa sare na crown za majeshi mengine