Mwana Taaluma
JF-Expert Member
- Oct 21, 2019
- 705
- 1,662
Umewahi kuwa Zanzibar kipindi Cha uchaguziHakuna Afisa/Askari anaeweza kuvaa vazi la Jeshi Jingine.
Acheni kulishana upropaganda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kuwa Zanzibar kipindi Cha uchaguziHakuna Afisa/Askari anaeweza kuvaa vazi la Jeshi Jingine.
Acheni kulishana upropaganda.
Elezea uhalisia ulivyokuwa bila kujali uwepo wangu ama lah.Umewahi kuwa Zanzibar kioindi Cha uchaguzi
aliyekudanganya kuwa rais havai gwanda lenye cheo nani?Mkuu, mwananchi Omutontozi, kwa mantiki hiyo unataka tumuone amiri jeshi mkuu, akiwa ndani gwanda, za magereza, za polisi, za mgambo, za kikosi cha usalama wa raisi(PSU), za wanasalama barabarani, za JKT, za uamiaji, za zima moto, za wanyama pori, za wanamaji, za wanaanga na kadhalika, baadala ya kuonekana kutinga za jeshi la wananchi(JWTZ) pekee. Ili kuleta usawa katika kuwakilisha, hadhi ya majeshi hayo katika uso wa jamii, kwani kila moja lina umuhimu wa kwa taifa na kwa nchi kiujumla. Swali langu ni, hili, je amri jeshi mkuu, anapokuwa kavaa sare ya jeshi husika bila nyota hata moja, kwa maana ya kuwa afisa, na badala yake kuonekana kama askari wa kawaida, je maafisa wa jeshi hilo, ni sawa kupigia saruti sare, wanayo izidi cheo kimamlaka(kijeshi)?
Asante nimependa unaenda na fact.Elezea uhalisia ulivyokuwa bila kujali uwepo wangu ama lah.
Upo sahihialiyekudanganya kuwa rais havai gwanda lenye cheo nani?
je ulishawahi kuona kwenye shingo ya jezi ya rais kuna kitu gani? na je hicho kitu huwa kinavaliwa na kila mwanajeshi?
je kofia anayovaa unajua imeandikwaje?na je ulishawahi kumuona mwanajeshi yeyote akiwa amevaa kofia yenye kufanana na hyo?
Na kitu ambacho naona ni ushamba wa kiafrika huu. JWTZ wana kazi zao na Polisi wana kazi zao.Nnachoona hapa ni Polisi kujitutumua kushindana na JWTZ
Kwa kawaida mazoea hupunguza thamani, wakazi wa ngerengere wanawaona makomando ni kama wakulima wenzao tu, wakati hali ni tofauti na wanaoishi mbali na watu hao, wakisikia neno komando huvuta picha ya kina schwarzeneger.Na kitu ambacho naona ni ushamba wa kiafrika huu. JWTZ wana kazi zao na Polisi wana kazi zao.
Mashindano yanatokea wapi?? Kishindana ni ushamba tu. Kila mmoja amaajukumu yake na afanye vema huko kwenye majukumu yake.
Lakini wakati mwingine sisi raia ndio tunawachonganisha hawa jamaa, nasi pia ni kwasababu ya ushamba wetu tu.
Tuache ushamba.
Watu wakiona hamna cha kupinga ndiyo huwa wanauliza maswali kama haya 🤣🤣🤣🤣Kwa hiyo tukusaidieje labda?
Id yako tu inakueleza wewe ni naniWatu wakiona hamna cha kupinga ndiyo huwa wanauliza maswali kama haya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa KonsteboSoldier ni Askari,,Mwanajeshi unakuwa ume brend maneno mawili mwana+ jeshi ambayo kwa kiingeza ni member of armed force
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo tukusaidieje labda?
Hakuna cheo kinaitwa RSM katika jeshi lolote duniani.Kumekuwa na watu wengi tena wasomi na wengine ni viongozi wa serikali wanajua kwamba Ukisema mwanajeshi ni yule wa Jwtz ila ukisema askari ni wale wa mambo ya ndani yaani Magereza,polisi nk,,,,sasa twende pamoja uelimike na wewe uelimishe
Mwananajeshi ni muunganiko wa maneno mawili yaani
Mwana+jeshi=Mwanajeshi
Sasa basi hapa Tz tuna majeshi mbalimbali kila jeshi na majukumu yake yaani Jwtz,polisi,Magereza nk
Katika hali hiyo utakutana na Mwanajeshi wa Jwtz,Mwanajeshi wa jeshi la polisi,Mwanajeshi wa jeshi la Magereza nk (Hawa wote ni wanajeshi)
Elewa kwamba hakuna utambulisho wa askari KATIKA jeshi lolote wa kuitwa mwanajeshi bali wote katika Majeshi yote huitwa "ASKARI"
ISIPOKUWA askari hawa huko majeshini kwao hutenganishwa kwa kuitwa MAAFISA/ASKARI
Kwa maana Maafisa ni wale wenye single star na kuendelea
Na askari ni wale wenye kuanzia Private/constable/wdr mpaka RSM kama sijakosea
Nahitimisha kwa kusema kwamba majeshi yoooote yana askari
Na majeshi yoooote yana Wanajeshi wake.Naomba kuhitimisha mwenye swali karibu sana
Kwa msaada zaidi unaweza kusoma katiba Ibara 147 na ibara zake ndogo zote
Hakuna cheo Cha RSM Ila Kuna madaraka ya RSMKumekuwa na watu wengi tena wasomi na wengine ni viongozi wa serikali wanajua kwamba Ukisema mwanajeshi ni yule wa Jwtz ila ukisema askari ni wale wa mambo ya ndani yaani Magereza,polisi nk,,,,sasa twende pamoja uelimike na wewe uelimishe
Mwananajeshi ni muunganiko wa maneno mawili yaani
Mwana+jeshi=Mwanajeshi
Sasa basi hapa Tz tuna majeshi mbalimbali kila jeshi na majukumu yake yaani Jwtz,polisi,Magereza nk
Katika hali hiyo utakutana na Mwanajeshi wa Jwtz,Mwanajeshi wa jeshi la polisi,Mwanajeshi wa jeshi la Magereza nk (Hawa wote ni wanajeshi)
Elewa kwamba hakuna utambulisho wa askari KATIKA jeshi lolote wa kuitwa mwanajeshi bali wote katika Majeshi yote huitwa "ASKARI"
ISIPOKUWA askari hawa huko majeshini kwao hutenganishwa kwa kuitwa MAAFISA/ASKARI
Kwa maana Maafisa ni wale wenye single star na kuendelea
Na askari ni wale wenye kuanzia Private/constable/wdr mpaka RSM kama sijakosea
Nahitimisha kwa kusema kwamba majeshi yoooote yana askari
Na majeshi yoooote yana Wanajeshi wake.Naomba kuhitimisha mwenye swali karibu sana
Kwa msaada zaidi unaweza kusoma katiba Ibara 147 na ibara zake ndogo zote
navowajua polisi hawana mda wa kushindania majeshi labda kushindania rushwa na kuonea raiaNnachoona hapa ni Polisi kujitutumua kushindana na JWTZ
mtu yeyote anaweza kutumia silaha yeyote.katika mafunzo(depo) kinachofundishwa ni ethics za jeshi husika uvumilivu umoja na utendaji,suala la utaalamu linakuja mbele ktk kozi za kujiendeleza utakuta specializashen kama CDO, Mizinga n.k vivyo ivyo kwa polisi magereza n.k. ndo maana majambazi wapo na wanaweza kuyumia silaha na mbinu yeyote ile hata ww ukigugo utaweza kupiga batalian mota.Hapana hapo Chini nakupinga sisi tuliopita JKT tunaelewa... Huwez linganisha coarse ya Askari wa polisi na JWTZ[emoji23][emoji23][emoji23]... Mkuu hapo haupo sahihi Askari polisi anaishia kupata mafunzo Machache Sana ya kimedani na utumiaji silaha... Kuna silaha tukizipeleka polisi za kivita watashindwa kabisa kuzitumia..kwene course ya upolisi hufundishwi Sana mafunzo ya kimedani.... Na kaa ukijua hakuna jeshi lenye uweledi kimafunzo, kikamavu, kimkakati, na rasilimali zaidi ya jeshi la ulinzi
PointRefresher course inamaana ya kumpa vitu vinavyoendana na majukumu muhusika.
Sisi hapa tunavyo kwambia Jwtz ni jeshi la dunia ya kwanza,tunamaanisha hakunaga jeshi linalokujaga kutupiga refresher course, hivyo kwa maana nyingine tuko full kila idara, na siku ukiona wamekuja majeshi wa nchi rafiki/ wahisani. Humaanisha either mazoezi ya pamoja/kubadilishana ujuzi/Kuna mafunzo ya zana/silaha mpya zikizo ktk prosses ya kununuliwa au tumepewa kadhaa Kama msaada,ili tuzinunue.Hivyo jw hakunaga refresher kutoka hizo nchi zote unazo zijua wewe, Mission za amani kipo chuo chetu KISUNGURA, Special force nazani unajua tunavyo vinne vya hiyo Taaluma, Terrorist nafikiri uzoefu wetu haukupi shida hata kujua kua,ndugu zetu wamozambique waliogopa baada ya kupewa brief ya operation na ukizingatia ujirani.
Pia ujue msumbiji wanaamini ikishindikana kabisa hao jamaa nchi ya mwisho ya funga kazi. Ni kuikabidhi hiyo ardhi kwa TZ/Jwtz.
Hao vijana wenu wa Pk walienda tu Kama first choice ndio maana hata SA walianza kukataa kwa sababu za kiusalama,Hapa ilizingatiwa kuwa muingiliano wa radio ( Radio wave) kwani lazma mpeane uelekeo ili kuepusha kushambuliana wenyewe kwa wenyewe au makosa ya makusudi kua tulijihami tukihisi Ni adui Alie valia mavazi rasmi. pamoja na operation code. Ndio maana wenzetu waligoma maana ilifikirika kua Banyamulenga wangejikita katika kufatilia masasiliano ya wenzao maana lazma mpeane wave, kwa lengo la kupew a tabia na mwendo wa adui,uamrishaji na usambazaji wa huduma,Ugawaji na usambazaji wa silaha "Watu wa systems mtakua mnanielewa hapa". Pia usisahau silaha ya kwanza kwa adui yako ni taarifa Kisha masasiliano ndio zinakuja zana za kivita.
Hapo nafikiri unanielewa vzuri. Na ili kukuhakikishia Hilo mambo yandani ktk joint operation wameweka kambi mbili zilizo full equipment lkn bado wameomba kuwe na detachment ya Jwtz jirani nao ktk kila kambi. Na kambi hizo zimewahusisha Crt,Kmkm, CID,Ffu nafikiri na stpu. Kwaajili ya ufatiliaji. Na bado mnaogopa. Shida Nini nyinyi si wanajeshi Tena kwa Aina ya Askari mlio peleka jeshi lingesema linapeleka vijana namna hyo Basi hiyo ingekua Ni battalion ya special force.
Pamoja na hayo nafikiri huwa unaelewa mudagani Jwtz linachukuaga mamlaka ktk operation yeyote ile. Kumbuka Task force ya Hon Jakaya M Kikwete. Ilikua kwamba ishu ikiwa ngumu ndio muda was kuomba watoto wa baba waende wakaliokoe jahazi. Unakumbuka mlivyokua mnakula makofi Mkiru mlipokua mnafanya harassment kwa raia.[emoji23][emoji23][emoji23].
Naomba nikukumbushe jeshini lipo somo la kareti lakini sio kila my analitilia maanani. Siku huko mtaani mkipiga vijana wa Maroon ballet au dark blue ndio mseme mmepiga wanajeshi. Ikiwezekana fanyeni kbsa sherehe. Ila huko vikosini wengine Ni mafundi,radar,ndege, plumber, welding, electrical, mechanics, weapon technician, filter mechanics, teachers,nawengine wengitu. Sasa nenda ukakutane na walio dhamilia kujua namna ya kuua mtu. Au hata walimu wa jkt/recruiters huku ndio utajua hujui. Sio mnatupigia warevi na wapenda madem mnasema mmepiga wanajeshi. Pia kumbuka jeshini watu hufundishwa kwa unit ukisha lijua Hilo basi utakua na adabu na walinzi wako.
Seniority must follow.
Ukiwa na swali niulize. Tupo hapa kurekebishana Kaka.
Hili tango labda sababu ya lugha ila jeshi kwa kingereza ni army au defensive forces, jeshi kazi yake ni kulinda mipaka na majukumu mengine endapo CinC ataona inafaa...sasa polisi na Magereza tangia lini ni defensive forces?Kumekuwa na watu wengi tena wasomi na wengine ni viongozi wa serikali wanajua kwamba Ukisema mwanajeshi ni yule wa Jwtz ila ukisema askari ni wale wa mambo ya ndani yaani Magereza,polisi nk,,,,sasa twende pamoja uelimike na wewe uelimishe
Mwananajeshi ni muunganiko wa maneno mawili yaani
Mwana+jeshi=Mwanajeshi
Sasa basi hapa Tz tuna majeshi mbalimbali kila jeshi na majukumu yake yaani Jwtz,polisi,Magereza nk
Katika hali hiyo utakutana na Mwanajeshi wa Jwtz,Mwanajeshi wa jeshi la polisi,Mwanajeshi wa jeshi la Magereza nk (Hawa wote ni wanajeshi)
Elewa kwamba hakuna utambulisho wa askari KATIKA jeshi lolote wa kuitwa mwanajeshi bali wote katika Majeshi yote huitwa "ASKARI"
ISIPOKUWA askari hawa huko majeshini kwao hutenganishwa kwa kuitwa MAAFISA/ASKARI
Kwa maana Maafisa ni wale wenye single star na kuendelea
Na askari ni wale wenye kuanzia Private/constable/wdr mpaka RSM kama sijakosea
Nahitimisha kwa kusema kwamba majeshi yoooote yana askari
Na majeshi yoooote yana Wanajeshi wake.Naomba kuhitimisha mwenye swali karibu sana
Kwa msaada zaidi unaweza kusoma katiba Ibara 147 na ibara zake ndogo zote
Nyongeza ikitokea vita hao polisi na magereza pia wanachoma ndaniKuna silaha ziko jeshi la Us zikiletwa jwtz hamuwezi kuzitumia,,,Je! Tuseme jwtz ni dhaifu kwa kutokujua silaha flani!!?Kwani JKT mlijifunza nini zaidi ya AK-47,SMG,LMG na tuliopita zamani jkt tuligusa RPG na G3 pia, hizi silaha ukienda polisi wanajifunza pia