Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

aliyekudanganya kuwa rais havai gwanda lenye cheo nani?

je ulishawahi kuona kwenye shingo ya jezi ya rais kuna kitu gani? na je hicho kitu huwa kinavaliwa na kila mwanajeshi?

je kofia anayovaa unajua imeandikwaje?na je ulishawahi kumuona mwanajeshi yeyote akiwa amevaa kofia yenye kufanana na hyo?
 
Upo sahihi
 
Nnachoona hapa ni Polisi kujitutumua kushindana na JWTZ
Na kitu ambacho naona ni ushamba wa kiafrika huu. JWTZ wana kazi zao na Polisi wana kazi zao.
Mashindano yanatokea wapi?? Kishindana ni ushamba tu. Kila mmoja amaajukumu yake na afanye vema huko kwenye majukumu yake.

Lakini wakati mwingine sisi raia ndio tunawachonganisha hawa jamaa, nasi pia ni kwasababu ya ushamba wetu tu.

Tuache ushamba.
 
Kwa kawaida mazoea hupunguza thamani, wakazi wa ngerengere wanawaona makomando ni kama wakulima wenzao tu, wakati hali ni tofauti na wanaoishi mbali na watu hao, wakisikia neno komando huvuta picha ya kina schwarzeneger.

Nimeongea kiujumla sana.
 
Hakuna cheo kinaitwa RSM katika jeshi lolote duniani.
 
Hakuna cheo Cha RSM Ila Kuna madaraka ya RSM
 
mtahangaika sana hakuna komparizon ya vyeo ktk idara mbili tofauti zenye shughuli mbili tofauti.hakuna mkubw awala mdogo kila mtu ni mkubw aakiwa kazini kwake.i.c konstebo shati tupu ana uwezo wa kumsimamisha birigedia jenero na kumuelekeza,pia PC ana uwezo wa kusimamisha msafara wowote wa kijeshi au kiongozi lakin hakuna mwanajeshi aneweza kusimamisha hata gari la raia .vyeo vya Jeshi ni vikubwa kwa wanajeshi wakiwa kambin ila vyoe vya polisi ni vikubwa n akuheshimika jeshin na mtaan. over
 
mtu yeyote anaweza kutumia silaha yeyote.katika mafunzo(depo) kinachofundishwa ni ethics za jeshi husika uvumilivu umoja na utendaji,suala la utaalamu linakuja mbele ktk kozi za kujiendeleza utakuta specializashen kama CDO, Mizinga n.k vivyo ivyo kwa polisi magereza n.k. ndo maana majambazi wapo na wanaweza kuyumia silaha na mbinu yeyote ile hata ww ukigugo utaweza kupiga batalian mota.
 
Point
 
Hili tango labda sababu ya lugha ila jeshi kwa kingereza ni army au defensive forces, jeshi kazi yake ni kulinda mipaka na majukumu mengine endapo CinC ataona inafaa...sasa polisi na Magereza tangia lini ni defensive forces?
 
Nyongeza ikitokea vita hao polisi na magereza pia wanachoma ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…