Maji ya baraka ya (RC) vs maji ya upako ya (Mwamposa)

Kiranga anapinga uwepo wa Mungu, lakini atakubaliana nami kuwa kuna kanuni zinazoendesha ulimwengu.Mfano kani ya uvutano na mambo mengine mengi.

Sayansi inazieleza vizuri kanuni hizi bila kutuambia zimetoka wapi?Suala la kuamini au kutokuamini uwepo wa Mungu linabaki kuwa maamuzi binafsi.

Baba wa Sayansi Kama Isaac Newton aliamini uwepo wa Mungu halafu mtu mmoja alnapinga?!

Mwenye masikio na asikie
 
Newton aliamini katuka alchemy, wewe pia unaamini katika alchemy kwa sababu Newton aliamini hivyo?

Kuna mambo mangapi yamegundukiwa baada ya Newton kufa? Kwa nini bado unaishi katika ulimwengu wa kale wa Newton?

Sayansi kutoweza kukuambia kanuni zinazoendesha ulimwengu zinatoka wapi ndiyo uthibitisho kwamba Mungu yupo?
 


Yote fake.
 
Mkuu yaani katika sayansi Newton ana mchango mkubwa Sana, mpaka leo Kwenye Fizikia na hisabati utamsoma.

Kama unapinga "credibility " ya Newton basi, nitakuwa na kazi kubwa kukuelewesha.

Ukiona mtu hamuamini Mungu kipo anachokiamini. Pengine unaamini Sayansi au filosofia au hekima yako mwenyewe lakini vyote hivi huwezi kuvilinganisha na Mungu.
 
Mtume Meshach wa UKWELI ministry, Amiel Katelela, Mwakasege, Mch Misholi, Mch Maghembe, Askofu Gwajima, Mch Gamanywa , nk nk.

Pia usisubiri kutajiwa, wapo wengi, Muulize Roho mtakatifu atathibitisha.
Gwajima nna mashaka nae , simwamini
 
Duh
 
...unajua mapapa wa catholic siwaelewag au nyie mnawaonaje...
 
Mkisto hasa unatakiwa uamini kwa kusikia na kusadiki neno la Mungu, ila kwa Sasa watu wanataka kuishililia Imani kwa kuona na kushika vitu.
Ekaristi mi sio mkatoliki lakini naamini maana ni fundisho kwenye biblia issue ya maji ya baraka Sina uelewa WA kutosha .
Hayo ya mafuta na chumvi vinaweza kuwa na spiritual meaning lakini sijui kwa upande WA kikrosto maana nna rafiki yangu mshitikina alikua ananyunyiza chumvi ya mawe eneo lake kwa Imani kwamba inazuia wachawi.
 
Hapana kama unamini Mungu yupo lazima wapi watumishi wake WA kweli otherwise usiamini kabisa uwepo WA Mungu. No matter how things are messed up wapo waaminifu.
Mimi naamini Mungu yupo ila mwamposa gwajima na the likes ni wapigaji kama wapigaji wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…