Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ina maana lab yao hawana quality control akaona hii tofauti kubwa ya ladha?UKWELI NI HUU
-Maji ya Kilimanjaro yanayozalishwa Moshi kwenye kiwanda cha Bonite ndiyo "natural" na yenye ladha ileile ya zamani na haya yanauzwa au yanapatikana hasa mikoa ya kaskazini .Maji mengine ya Kilimanjaro yanazalishwa na kiwanda cha CocaCola apa Dar (yaani wanatumia formula ileile kuzalisha na ndiyo hayo yenye chumvi na ladha tofauti).Haya yanayozalishwa Dar ndiyo yanasambazwa kwa wingi huko mikoani (ukitoa mikoa ya kaskazini)
Sawa sawa.Hongera sana. Kupitia comments zako nimeona una kipaji kikubwa cha muziki wa mwambao yaani TAARAB. Mwone Isha Mashauzi akuunge kwenye kundi lake.
UwongoNabisha siku hizi wanazidisha chemicali zinakuwa chungu sana . Hadi ukiyazidisha kuyanywa unapata kichefu chefu
Sawa uinavyo ww kwangu is to muchUwongo
HainaSiamini kama maji yote ya Kilimanjaro yanatoka Shree Matunda Moshi, kuna Mchina hapo ameshaingia kati, halafu kashusha bei, lita moja anauza 500 mimaji haina ladha kabisa.
🤣🤣🤣 mie sio jini na pia napendaga kusema ukweli so sina muda wakudanganya mwezako kilimanjaro tokea nimezaliwa ndio maji yangu@sweetcandy badala ya kuharibu biashara za watu bila sababu ya msingi ungeatumia ya Mo tu. Kwani lazima unywe kilimanjaro.?
Waambie waliokutuma Kilimanjaro hawataiweza.
Niuze maji yapi mie siwezi uza maji hapa tanzania sorry . Niache kufanya mambo ya maana nije nikauze maji hapanaKati ya maji ambayo ni mazuri na natural nchini ni Kilimanjaro. Acha kuongopea watu ili uuze maji yako ambayo hayana viwwngo
Okay , mkiua watu zaidi ya mmoja kwa chemicali ndio mtaelewa punguzeni madawa kwenye maji ya kilimanjaro wstu wengi watagundua na mtaachwa namaji yenuWatu wa Hill water mna matatizo mengi sana. Huwezi kukua kwa kumkandamiza mwenzako. Utafeli tu
Ndio yalikuwa my flavourate waterKwani umelazimishwa kunywa hayo maji?
Wameanza kusambaza hata huku yaani nimepata hadi shida kwa haya majiUKWELI NI HUU
-Maji ya Kilimanjaro yanayozalishwa Moshi kwenye kiwanda cha Bonite ndiyo "natural" na yenye ladha ileile ya zamani na haya yanauzwa au yanapatikana hasa mikoa ya kaskazini .Maji mengine ya Kilimanjaro yanazalishwa na kiwanda cha CocaCola apa Dar (yaani wanatumia formula ileile kuzalisha na ndiyo hayo yenye chumvi na ladha tofauti).Haya yanayozalishwa Dar ndiyo yanasambazwa kwa wingi huko mikoani (ukitoa mikoa ya kaskazini)
Kaka vipi mbona umepanick? Kila tone la maji ya Kilimanjaro linapimwa na idara ya uhakiki wa ubora. Siyo kama maji yenu. Jipambanieni, acheni bidhaa ambayo imefikia ubora wa kimataifaOkay , mkiua watu zaidi ya mmoja kwa chemicali ndio mtaelewa punguzeni madawa kwenye maji ya kilimanjaro wstu wengi watagundua na mtaachwa namaji yenu
Watanzania akili ni wachache wanayo , mkiambiwa kuna tatizo jirekebisheni sio mkimbilie kusema huu si ushindani malalamiko yametokea unapeleka idara husika sio unapigana na wateja . Tokea 2000 mie mteja wenu hadi leo haya maji sijanywa leo . So ujinga hebu acheni tatueni matatizoKaka vipi mbona umepanick? Kila tone la maji ya Kilimanjaro linapimwa na idara ya uhakiki wa ubora. Siyo kama maji yenu. Jipambanieni, acheni bidhaa ambayo imefikia ubora wa kimataifa
SijajaribuKwa uchunguzi wangu maji mazuri ni HILL, PANGANI NA UDZUNGWA