Naomba kuuliza,haya maji ya kuuoshea maiti,ni maji Dawa au ni yale maji yanyokusanywa baada kuoshea maiti na kuhifadhiwa?Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakitokea kanda ya ziwa jambo ambalo linapelekea serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini kanda ya ziwa...
Ungesema Dawa za kuhifadhia maiti na siyo maji,mwanza samaki waliohifadhiwa kwenye majokofu hazina wateja,Sababu ni jirani na ziwa hivyo wateja hupenda kununua samaki asubuhi na jioni waliotoka kuvuliwa mida hiyo hiyo.Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakitokea kanda ya ziwa jambo ambalo linapelekea serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini kanda ya ziwa...
Story za vijiweni zinamsumbuaUngesema Dawa za kuhifadhia maiti na siyo maji,mwanza samaki waliohifadhiwa kwenye majokofu hazina wateja,Sababu ni jirani na ziwa hivyo wateja hupenda kununua samaki asubuhi na jioni waliotoka kuvuliwa mida hiyo hiyo.
Hivyo waadhirika wakubwa ni wateja wa mikoani.
Watu wanayatumia kufanya nini hayo maji ya maiti?Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakitokea kanda ya ziwa jambo ambalo linapelekea serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini kanda ya ziwa...
Kweli kabisa.Story za vijiweni zinamsumbua
Tena wengine wanasema maji wanaooshea maiti waislamu huwa wanayahifadhi !! Tangu lini maji ya kuoshea maiti yanahifadhiwa ?? Anayefanya hivyo labda ni mchawi !!Hhahaha.....wajuba wanamwingiza Vice President chaka, eti maji ya kuoshea maiti......seriously!!??
Hii kitu kama ni kweli tutakufa wengi,wapo baadhi ya watu pindi wakila samaki familia yote inaona madhara kwenye ngozi, majipu yasiyoeleweka,pengine najaribu kukuelewa pamoja tatizo la Kansas kuwa kubwa Kwa baadhi ya maeneo.Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakitokea kanda ya ziwa jambo ambalo linapelekea serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini kanda ya ziwa...
Watu wanaenda kumpa makamu wa rais story za kwenye vijiwe vya kahawa, bongo ni shida sana......Tena wengine wanasema maji wanaooshea maiti waislamu huwa wanayahifadhi !! Tangu lini maji ya kuoshea maiti yanahifadhiwa ?? Anayefanya hivyo labda ni mchawi !!
Utakuwa huelewi kinachofanyika! Ukweli ni kwamba hawatumii maji ya kuoshea maiti bali wanatumia formalin kuhifadhia samaki ili wasichine!Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakitokea kanda ya ziwa jambo ambalo linapelekea serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini kanda ya ziwa...
Watu wanaenda kumpa makamu wa rais story za kwenye vijiwe vya kahawa, bongo ni shida sana.....
Sasa mkuu kama wanatumia formalin kuhifadhi samaki, kwa nini tatizo lisiwe kubwa huku Dar na mikoa mingine iliyo mbali na kanda ya ziwa ambako ndo tunategemea watumie samaki waliohifadhiwa?Utakuwa huelewi kinachofanyika! Ukweli ni kwamba hawatumii maji ya kuoshea maiti bali wanatumia formalin kuhifadhia samaki ili wasichine!
Kama wateja wa hiyo ni wenye maduka ya dawa za asili,na waza kuwa huenda Kuna walakini pia kwenye dawa za maumivu ya meno japo zinasifika kuwa ni nzuri,ila upo uwezekano wa hii kitu kuwa Moja ya malighafi ya kuzitengenezea.Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa saratani wamekuwa wakitokea kanda ya ziwa jambo ambalo linapelekea serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini kanda ya ziwa...
Tuachane na samaki wa Mwanza tuKhaaaa jamani!!!!