Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

Mleta uzi any update..
Nime login kwa ajili ya huu uzi maaana niko moshi na ninategemea kusafiri saa kumi na mbili jion ya leo na nimeshakata ticket[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Ahirisha safari mama
 
Najiulizagaa hivi kwann maji yakishafika huku chini ndio yanaleta shida? Mbona yakiwa huko juu mawinguni hayaleti shida? Uko mawinguni yanatulizwaje wenge?
 
Daaah kin'gori hapo ni tatizo kubwa la mda mrefu na linaojulikana.hapo ni kusubiri hadi yapungue.ukiweza chukua namba ya mtu uwe unamcheki akujulishe yatapopungua.kasikilizie pale boma kuna dada mmoja anatengeneza kitimoto safi sana yuko ndani ndani hivi kidogo kutoka main road
 
Nipo king'ori hapa Hali shwari magari yanapita bila shida tena ukifika panone n vumbi tupu labda huko mbele ngoja tuone
 
Najiulizagaa hivi kwann maji yakishafika huku chini ndio yanaleta shida? Mbona yakiwa huko juu mawinguni hayaleti shida? Uko mawinguni yanatulizwaje wenge?
Wakati wenzako wanasoma Geography kuhusu circle ya formulation ya mvua ulikuwa bize kula kamasi
 
Back
Top Bottom