Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Huenda kulikuwq na changamoto hyo ila pale kia hapafai maji yanatiririka hatari japo mvua haijanyesha maneno hayo huko milimani kama Sanya, ngare, west huenda Kuna mvua kubwa sana.Sasa mleta uzi ameitolea wapi hii habari?
Barabara ipo salama Sasa nipo boma