Maji yameziba njia maeneo ya Kin'gori, hakuna kwenda Arusha wala Moshi

Najiulizagaa hivi kwann maji yakishafika huku chini ndio yanaleta shida? Mbona yakiwa huko juu mawinguni hayaleti shida? Uko mawinguni yanatulizwaje wenge?
Huko juu yanakuwa mbali mbali. Huku chini yanaungana
 
Huenda kulikuwq na changamoto hyo ila pale kia hapafai maji yanatiririka hatari japo mvua haijanyesha maneno hayo huko milimani kama Sanya, ngare, west huenda Kuna mvua kubwa sana.

Barabara ipo salama Sasa nipo boma
Nashukuru sana mkuu.wacha nianze safari.ubarikiwe
 
Kwenye kitimoto panaitwaje??

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wale waliokuwa wanashangiria maji yaliojaa mitaa dubai kule twiter wakisema ni laana baada ya dua za wa tz. Haya tuulize nayo ni laana kutoka kwa nani? Yule dada maria Sarungi ni mpuuzi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…