rafael mkumbos
Member
- Sep 12, 2024
- 87
- 175
Umenena vema,mleta Uzi kauleta kishabiki.Kiongozi, watanzania tuna shida sana. Balile amejitahidi sana kuwa professional anajitahidi asiegemee upande wa chama chake ili kutengeneza credibility ya mahojiano, kumbe tena sisi tunataka alumbane?
Kwa maoni yangu amejitahidi kuwa fair, maswali mengi ameuliza yako objective ili kuset tone pamoja na kumpa uwanja Mhe TAL kuuza sera yake na chama chake. Ni maswali ambayo baadhi ya wananchi na wafuasi wanajiuliuza.
What else did we expect kutoka kwa mwanahabari? Je tulitaka amshinde TAL? Then What?
Tatizo ni kwamba anakua ameaandaa marking scheme kabisa ya majibu na maswali apendayo kuulizwa,
ukimuuliza kivingine tu anapoteamo kabisa na ndipo tone yake inabadilika na ubishi unapandishwa mori 🐒
Lissu hapendi kuulizwa maswali magumu, kwa kifupi alichofanya ni kumkatisha katisha Balile na kutoa maelezo nje ya maswali ya Balile. Nimeshtushwa sana kama akiwa mwenyekiti wa chama hapendi kuulizwa akiwa kiowa rais itakuaje? Jamaa ni diktetaNaangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣
Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.
Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!
Hapana.Lissu hapendi kuulizwa maswali magumu, kwa kifupi alichofanya ni kumkatisha katisha Balile na kutoa maelezo nje ya maswali ya Balile. Nimeshtushwa sana kama akiwa mwenyekiti wa chama hapendi kuulizwa akiwa kiowa rais itakuaje? Jamaa ni dikteta
Lissu anapenda sana kusoma vitabu Kuongeza ufaham na akili ,ni kama mch.Msigwa ,,mtu anayeweza kudeal na Lissu ni Msigwa walau ,,ila kina Nape,makonda, Makala,au Babu yetu Wassira ni uongoNiliwahi kusema hapa kwamba unaweza kumuuliza Lissu swali kabla ya kulijibu swali akaanza kuchambua uhalali wa swali kwanza.
Mkuu Lord Denning ni mfuasi wa TL kakimbilia mbio humu kuleta ushabiki.Kiongozi, watanzania tuna shida sana. Balile amejitahidi sana kuwa professional anajitahidi asiegemee upande wa chama chake ili kutengeneza credibility ya mahojiano, kumbe tena sisi tunataka alumbane?
Kwa maoni yangu amejitahidi kuwa fair, maswali mengi ameuliza yako objective ili kuset tone pamoja na kumpa uwanja Mhe TAL kuuza sera yake na chama chake. Ni maswali ambayo baadhi ya wananchi na wafuasi wanajiuliuza.
What else did we expect kutoka kwa mwanahabari? Je tulitaka amshinde TAL? Then What?
Kikao gani?Nenda Youtube kikao kinaendelea
Global TV live
Kiongozi,Hapana.
Mbona wamejibu maswali yote ya msingi kama hawataki kuulizwa maswali?
Walikuwa wanauliza maswali ya kijinga na mengine hata bila kuwa na data sahihi!
Ndo mana Lissu akawa anamfundisha kabisa. We unajua katiba inasema hivi alafu unaisitiza mabadililo ya Sheria. Tangu lini Sheria ikawa juu ya Katiba?
Hapo mwandishi unajionesha kabisa kuwa we ni kilaza.
Nawewe nadhani uchawa ni mwingi kichwani hivi kama mtu anaulizwa kwa mfano uhalali wa kikatiba au kisheria uko wapi pale ambapo kwa mf. Idadi ya uwakulishi mbunge Moja anachaguliwa na wapiga kura laki nne huku bara halafu kwa idadi kama hiyo wanawakilishwa na wabunge hamsini Sasa Mh.lisu anasema kisheria kilichotakiwa ni uwiano siyo uwakulishi wa nchi na nchi hapa akaenda mbali kuwa hakuna uwiano hata huku bara akatoa mf.wa mkoa wa Dsm na mikoa mwingine. Sasa Bwana balile anajaribu kutoka Lisu kwenye hoja kwa kumuuliza chadema Ina sera Kani juu ya serikali mbili au serikali ngapi wanasimamia,Sasa Lisu anamwanbia hoja iliyoko ni mfumo wa uchaguzi na kwamba kuhusu Hilo asubiri atamwita siku nyingine hivyo Lisu Yuko stable.kwahiyo huyo tapeli anataka kuulizwa maswali kulingana na anavyotaka yeye right?
kwamba akiulizwa swali tofauti na majibu ya marking scheme aloiandaa mfukoni, itakua soo sana, right?🐒
unaustable gani hadi anakataa kuulizwa swali kadiri aonavyo muandishi, mpka analazimisha uulizwe kulingana na marking scheme ya majibu ulonayo?Nawewe nadhani uchawa ni mwingi kichwani hivi kama mtu anaulizwa kwa mfano uhalali wa kikatiba au kisheria uko wapi pale ambapo kwa mf. Idadi ya uwakulishi mbunge Moja anachaguliwa na wapiga kura laki nne huku bara halafu kwa idadi kama hiyo wanawakilishwa na wabunge hamsini Sasa Mh.lisu anasema kisheria kilichotakiwa ni uwiano siyo uwakulishi wa nchi na nchi hapa akaenda mbali kuwa hakuna uwiano hata huku bara akatoa mf.wa mkoa wa Dsm na mikoa mwingine. Sasa Bwana balile anajaribu kutoka Lisu kwenye hoja kwa kumuuliza chadema Ina sera Kani juu ya serikali mbili au serikali ngapi wanasimamia,Sasa Lisu anamwanbia hoja iliyoko ni mfumo wa uchaguzi na kwamba kuhusu Hilo asubiri atamwita siku nyingine hivyo Lisu Yuko stable.
yaani hapo mashindano ya mbingu na ardhi yanatoka wapi kwa mfano gentleman?Huyu dawa anachekesha sana tulisha sema hapa huwezi mshinda Lissu kwenye hoja . Sasa machawa wanavuliwa nguo
Inawezekana kabisa ukiwa m.kiti kikao chako kitakoka baada ya siku Wala siyo masaa, hivi wewe unaweza ukawa unafindisha somo la kidato Cha kwanza halafu wakati huohuo unaendelea na masomo ya chuo kikuu kwa wanafunzi hao hao? Hebu same time fikiria rasilimali muda na umuhimu wa kutoka elimu katika jambo ambalo ulikusudia kulielewesha.Na Mimi naamini hakuna jambo ambalo Lisu Hana majibu nalo na msimamo wake unajulikana kuhusu muundo wa serikali na hata wewe unakumbuka rasimu ya jaji Warioba wananchi wengine walisema nini.sasa kitendo Cha Balile kutaka kuchanganya mada alilikataa Mh.Lisu ana akamwambia akitaka hili atawaita Tena wanadili that's over.unaustable gani hadi anakataa kuulizwa swali kadiri aonavyo muandishi, mpka analazimisha uulizwe kulingana na marking scheme ya majibu ulonayo?
mtu anababaika hana majibu ya maswali magumu, mwingine anakurupuka ati muandishi anapelekeshwa na aneastahili kujibu maswali 🐒
yaani hapo mashindano ya mbingu na ardhi yanatoka wapi kwa mfano gentleman?
yaani unahojiwa na huku imejipanga kushindana? kivipi sasa?🤣
ni muhimu kujibu maswali kwa umahiri bila kua na marking scheme ambayo muuliza swali akienda tofaut na majibu yako unaanza kumrejesha aulize swali kulingana na majibu ya kwenye marking scheme 🐒
Hawajajifunza kwa yule kanjanja wa clouds uvccm alivyotokwa jasho siku ile, lisu sio wa kwenda kwake mzimamzima, balile akajikague pichu lake lisiwe limebeba choo baada ya mkutano.Naangalia kikao cha Jukwaa la Wahariri na Lissu.
Ushauri tu, kama kuna mtu anaweza kwenda kumtoa Balile akamtoe pale. Anapelekwa na kuchezeshwa sere na Lissu kama Mwanasesere🤣🤣🤣
Yaaani Lissu anamwelekeza hadi kuhusu maswali aliyouliza kuwa hayako sahihi!🤣🤣🤣
Niliwaambia humu. Mkitaka kumuhoji Lissu muwe mnajipanga na kusoma kweli. Oneni sasa mnahadhirika hadi mbele ya watoto wenu.
Muwe na Jumapili njema
Ramadhan Mubarak!