Majibizano kati ya Balile na Lissu: Nini maoni yako?

Yaani Mimi nimefurahi sana Balile kuchezeshwa hivyo. Lissu ni mhuni, Mropokaji na Kichaa. Sasa kama una akili timamu unawezaje kuhojiana na mtu kama huyo? Kiherehere chake Balile kimemponza.


Wewe mtoto taahira, usidhani humuwapowatu wanaofanana na wewe. Waambie wazazi wakupeleke hospitali zinazowasaidia watoto wenye utindio wa ubongo, inaweza kukusaidia kiasi.

Pole sana kwa hayo maradhi ya akili.
 
kumbe ufinyu wa IQ ni tatizo kubwa kiasi hiki kwenye mambo haya dah 🤣
 
Wewe mtoto taahira, usidhani humuwapowatu wanaofanana na wewe. Waambie wazazi wakupeleke hospitali zinazowasaidia watoto wenye utindio wa ubongo, inaweza kukusaidia kiasi.

Pole sana kwa hayo maradhi ya akili.
Ahahahahaha!
 

Taarifa ya REDET chini prof Mkandala, ilithibitisha kuwa wanahabari wote ni machawa ya ccm.

hata maswali waliokuwa wakiuliza hao wanahabari yalithibitisha hilo, walionesha walikoegemea
 
Washazoea mikutano yao ambako wanapewa maswali na kuuliza.
In short waandishi wa habari Tanzania ni janga! Imekaa makanjanja wengi sana
 
Lissu hapendi kuulizwa maswali magumu, kwa kifupi alichofanya ni kumkatisha katisha Balile na kutoa maelezo nje ya maswali ya Balile. Nimeshtushwa sana kama akiwa mwenyekiti wa chama hapendi kuulizwa akiwa kiowa rais itakuaje? Jamaa ni dikteta
Kwahiyo na Samia ni dikteta? Angalau Lissu akubali kuulizwa ila Samia hajawahi hata kuita waandishi wa habari.
 
Najua ndio maana nasema elimu yako ni duni we nzi wa kijani
Tuma 'tone' ndugu watu wasomeshe watoto ubelgiji, habari za elimu achana nazo kwani hakuna chochote ukijuacho kuhusu elimu na hiyo elimu yenyewe Iko mbali mno na wewe!!
 
We kula kulala utamuweza Lissu?
Kwani anambeba? Lissu debe tupu machadomo tumewazowea weupe sana mnachojua ni maneno ya shombo, Jambo zuri mwenyekiti wenu ameomba msamaha swhain kabisa.
 
We jamaa una ugonjwa wa akili. Unahitaji tiba ama utaokota makopo.
Kinacho nishangaza mimi ni kukuona wewe ukiwa mgonjwa zaidi ya huyo unaye msema hapa. Mshangao wangu unazidi kuwa mkubwa kwa kushindwa kujuwa huu ugonjwa ulikuingia lini, maanake kumbukumbu zangu za muda mrefu ni kuwa 'Lusungo' hakuwa hivi alivyo sasa.
 
Mimi sio mfuasi wa TL. Mie ni mfuasi wa Haki na Utawala Bora.

Hata wewe ukitumia akili yako vizuri kutetea Haki na Utawala Bora nitakuunga mkono.
huna lolote we hayawani kama sio Lissu mwenyewe basi nanii yake
 
Mna utoto mwingi sana!! Kichaa kinawanyemelea!!
 
balile ameshakuwa mwijaku
 
Hata Pascal Mayala kaeleza kuwa Balile ameburuzwa na Lissu
 
Mna utoto mwingi sana!! Kichaa kinawanyemelea!!
Tatizo lako unadhani kila anaye ingia JF anaingia kufanya ngonjera, ndiyo maana unajumuiasha watu bila kujuwa huyo unayemhusisha na sifa hizo anao msimamo gani. Hata kuelewa nilicho kudokeza hapo juu unashindwa, badala yake unarukia "utoto mwingi" bila hata ya kumbukumbu yoyote juu ya huyo unaye mjibu.
 
Balile analeta habari za sheria mpya iliyounda kile CCM wanachohadaa wananchi kuwa ni tume huru ya uchaguzi, Lissu anamwambia kuwa katiba ya sasa bado inatambua muundo wa tume ya zamani ya uchaguzi, kwa hiyo kwa kuwa katiba ndiyo sheria mama, basi hiyo sheria mpya ya sasa ni useless.
 
Akili zao ziko CCM, nimeona nikacheka sana sana, nawashauri hawa waandishi uchwara wakienda kwa Lissu wawe wamelewa ili baadae wailaumu pombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…