Majibu haya ya Lissu kwa Lema juu ya ujio wake, yananifanye niwaze kuwa kuna Power of Nature iliyo nyuma ya Lissu ambayo hata yeye mwenyewe haielewi

I really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Hayo maneno kawaambie Lumumba wenzako. Eti mnajifanya mnampenda sasa na kumshauri abaki ulaya ili muendeleze ufedhuli wenu. Hapana, yaliyotokea Malawi lazima yatokee Tanzania mwaka huu. Na mpende msipende yanaenda kutokea.
 
Chadema wakimtosa lissu ndiyo mwisho wao walijue hilo
 
Well, mi ni pro-Magufuli kindakindaki.

Ila Lissu akirudi halafu serikali imdhuru au imkamate au imbugudhi kwa namna mmoja au nyingine nitawashangaa sana dola na nikiri wazi hii itatia doa image ya Magufuli niliyonayo kwake.
Kuna 'level' ya ukichaa inayoweza kuvumilka?

Beyond that, any level headed human will not tolerate.

Itaonekana wazi hatuna kiongozi, bali tuna shetani.

Kati ya yote haya yanayoendelea ndani ya nchi sasa hivi, halafu kiongozi afanye ushetani huu, yeye atakuwa anazo akili kichwani kweli?
 
I really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Kama Tundu Lisu atamatwa na vyombo vya dola au kufanywa lolote, nitaamini kuwa kweli ndani ya Serikali, kuna upungufu mkubwa wa watu wanaohitajika kuwa ndani ya Serikali. Hata mtu mwenye ujinga wa wastan, hawezi kufanywa hivyo.

Kuna wajinga watataka kumharibia Rais Magufuli huku wakijifanya wanampenda na kujipendekeza kwake. Watashangaa watakapoangukia pua. Rais amesema juzi kuwa Polisi wasiwabughudhi wanasiasa. Wawaache washindane alimradi hawavunji sheria.

Kama kuna mtu hakuelewa ujumbe ule, basi ana upungufu mkubwa.

Juzi TAKUKURU wameumbuka kwa kufanya mambo ya hovyo kwa nini ya kujipendekeza kwa Rais, Rais akawaumbua. Watakaofuatia watakuwa Polisi.

Rais Magufuli hatakubali wakati yeye akifua kanzu yake, wengine waipakaze kinyesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui ni kwanini Siku zote Mbwa hupenda sana Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia.
Message za aina peleka kwa wahutu wenzio kule Rwanda ndio wamezizoea, ila kwa kifupi nikijibu swali lako wataalamu wa hayo mambo wanasema chatu kawaida hutoa harufu flani nzuri akiwa katika mawindo yake, anaweza toa hata harufu ya kuku aliewiva vizuri, hivyo mbwa huwa anashindwa kujizuia.
 
I really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Huruma aliyonayo mtoto wa kike.
 
Nguvu hiyo ni uweza wa Mungu, ndiyo nguvu iliyomuepusha na kifo na ndiyo nguvu itakayomwezesha kuwa Rais wa awamu ya sita. Mungu akisema ndiyo hakuna mwanadamu awezaye kupinga.
 
Hili jambo la msiba mbona linakuzwa sana,kwani wiki hii ya maombolezo watu hawafanyi kazi,na lipi limetangulia ujio wa Lissu au msiba wa Rais mstaafu? Kwani watu si wanaomboleza ndani ya mioyo yao au kuna activity inayoonekana kwa macho inayoitwa maombolezo?
 
Chadema wakimtosa lissu ndiyo mwisho wao walijue hilo
Aliyekuambia wanamtosa ni nani, au unasikiliza umbea wa nguruwe wa Lumumba? Wanatamani wajue kinachoendelea ndani ya Chadema lakini wameshindwa ndiyo maana wanaleta mada chokonozi na Chadema wamewazimia simu wamebaki ku speculate tu.
 
Huyu jamaa maisha yamekuwa magumu ulaya ndio maana analazimisha kurudi nyumbani kumbukeni ya mwana mpotevu.
 
Kwani hata asingerudi angeishi ulaya milele? Hata wanaopanga njama zozote zile nao wataishi milele?
 
Hana lolote huyo hakuna hata mmoja anayehangaika naye tuko busy na maombolezo ya Rais Mstaafu Mkapa.
Wacha wafu wazikane,tunaenda Darisalama kumpokea Lissu.
Kwataarifa yako Singida mabasi ya kesho yamejaa hakuna nafasi.
Watu wanachangiama magari binafsi kwenda Dar kumpokea Mteule wa Mungu
 
Hana lolote huyo hakuna hata mmoja anayehangaika naye tuko busy na maombolezo ya Rais Mstaafu Mkapa.

Tuliomboleza kifo cha Mwl. Nyerere na maisha yaliendelea.

Tunaomboleza kifo na hatinaye mazishi ya Mpendwa wetu, lakini maisha ni lazima yaendelee.
 
Well, mi ni pro-Magufuli kindakindaki.

Ila Lissu akirudi halafu serikali imdhuru au imkamate au imbugudhi kwa namna mmoja au nyingine nitawashangaa sana dola na nikiri wazi hii itatia doa image ya Magufuli niliyonayo kwake.
Kumkamata inawezekana Ka sababu ana kesibmahakamani
 
Hana lolote huyo hakuna hata mmoja anayehangaika naye tuko busy na maombolezo ya Rais Mstaafu Mkapa.
Usiseme hivyo kuna watu humu watasema hii ni episode ya 5 baada ya kura za maoni, Covid 19 kuzuma shamrashamra za ujio wa mzee wa MIGA. Wengi huaminishwa matukio hutengenezwa kuzima matukio yanayomuhusu, mfalme wa FB
 
Lisu hana hekima hiyo eti azuie watu wasimpokee kwa maandamano.


Kwanza hao wanaompokea kwa maandamano ni kina nani?

Watu wamepigwa na kushuka kwa uchumi kwa sababu ya covid 19,Vitisho vya polisi kuwaweka ndani,na hofu ya ugonjwa bado ipo,wanawezaje kuandamana?
 
Hana lolote huyo hakuna hata mmoja anayehangaika naye tuko busy na maombolezo ya Rais Mstaafu Mkapa.
Basi msihangaike kumfuatilia, kunyweni bia mtuache sie malofa na wapumbavu tumpokee’The chosen one’.
 
Wanachadema , ninaweka kumbukumbu, kuwa tukisoma Between the lines ya hili bandiko la SS na Mazungumzo ya Lema kama alivyotueleza, inaonyesha kuna Jambo linatungwa na tunatayarishwa kiakili.

Tunajua Lissu maisha yake yote ya siasa amekipa taabu sana CCM na serekali yake, na ataendelea. Jee Lissu kwa huu uchaguzi wa CDM wa mpeperusha bendera amekuwa mwiba kooni mwa baadhi ya viongozi, na kuna mbinu inafanyika?
 
Tunampokea kama kiongozi wa chama kwanza, pili kama raia aliye nusurika kifo kwa risasi 16 mwilini mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…