Majibu haya ya Lissu kwa Lema juu ya ujio wake, yananifanye niwaze kuwa kuna Power of Nature iliyo nyuma ya Lissu ambayo hata yeye mwenyewe haielewi

Majibu haya ya Lissu kwa Lema juu ya ujio wake, yananifanye niwaze kuwa kuna Power of Nature iliyo nyuma ya Lissu ambayo hata yeye mwenyewe haielewi

Well, mi ni pro-Magufuli kindakindaki.

Ila Lissu akirudi halafu serikali imdhuru au imkamate au imbugudhi kwa namna mmoja au nyingine nitawashangaa sana dola na nikiri wazi hii itatia doa image ya Magufuli niliyonayo kwake.
Naamini hii kitu haitokuwepo ,muhimu huo ujio ubalance na huu msiba

Maana naona Kunaweza kuwa na muingiliano mkubwa wa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well, mi ni pro-Magufuli kindakindaki.

Ila Lissu akirudi halafu serikali imdhuru au imkamate au imbugudhi kwa namna mmoja au nyingine nitawashangaa sana dola na nikiri wazi hii itatia doa image ya Magufuli niliyonayo kwake.
Kwa uhuni aliofanya kwa miaka hii mitano bado image yake haina doa kwako ?
 
I really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Kwani Lissu ni msaliti wa nchi ?
 
I really wish angebaki ulaya,labda hataki kuonekana amekua msaliti wa nchi yake kwa kubaki ulaya...anatoa sadaka usalama wake ili tu asionekane msaliti... very sad..
Rebecca 83, usaliti kwa kitu gani ?!. Yaani waliomtwanga zaidi ya risasi 38 ndiyo wazalendo ?!.

Kama ni usaliti ni hawa viongozi watawala wa sasa walioliingiza taifa hili kwenye mikataba ya hovyo. Na Lissu tangu ujana wake amelipigia kelele !!.

Kuja kufia au kuuliwa nyumbani ni sahihi zaidi kuliko kusubiria kifo ugenini . Kwani mwisho wa siku lazima mtu afe. Leo Mzee Mkapa ni marehemu (RIP).
 
Kifo ni fumbo kubwa, binadamu kulingamua fumbo hilo maana yake anakula sahani moja na Mungu...
Kwa wanaofuatilia vitabu na au mafundisho ya dini, mtakubali kuwa Mungu siku zote huwaadhibu watawala wasio sikia sauti yake ndani yao ( rejea linki hii ujue nini Mungu anazungumzia kuhusu bad leadership: What Does the Bible Say About Bad Leadership? )
Kifo cha BWM - mshauri Mkuu wa JPM ni simple tu, Mungu kamuita, ili JPM apate mshauri Mwingine atakaye mshauri kutowaumiza watoto wa Mungu...apate mshauri wa haki, wema na Upendo...na awatendee watoto wa Mungu vema impendezayo Muumba wetu sote...kabla hamjanilukia, niseme wazi, sijaongea na Mungu lakini sauti yake na tafsiri hiyo naisikia ikimaanisha hivyo...
Kwa ufupi: someni hapa
Leviticus 24 : 17 -21 , Mungu anatoa adhabu ya kifo alipokuwa anaongea na Musa:
quoted the Lord instructing Moses in words that uphold the death penalty and include the phrase, "If anyone injures his neighbor, whatever he has done must be done to him: fracture for fracture, eye for eye, tooth for tooth."
Asikiaye na asikiye- asiyetaka asije sema hakuambiwa; hakujua wala hakusoma..
 
Lisu hana hekima hiyo eti azuie watu wasimpokee kwa maandamano.

Kwanza hao wanaompokea kwa maandamano ni kina nani?

Watu wamepigwa na kushuka kwa uchumi kwa sababu ya covid 19,Vitisho vya polisi kuwaweka ndani,na hofu ya ugonjwa bado ipo,wanawezaje kuandamana?
Wewe aliyekuambia kuwa kuna maandamano ni nani? Mkivimbiwa mataputapu mnajitungia tungo zenu za kijuha.
 
Kwa hizi siasa chafu za TANZANIA kuitoa CCM madarakani ni kujisumbua tu ... Ni sawa na kioo kutaka kuuvunja mwamba

Wapinzani wa nchi hii walipaswa kujipanga vyema kabla ya uchaguzi miaka miwili au mmoja nyuma nakuleta mapinduzi ya kudai katiba mpya .tume huru ya uchaguzi na sera inayotaka mihimili mitatu iwe inajitegemea Kivyake " Yaani serikali iwe inajitegemea "mahakama ijitegemee " bunge pia lijitegemee " Wangefanya kampeni ya kuamsha bongo za wananchi kwa nguvu zote Ili wananchi waingie bara barani nchi nzima waanze kudai Katiba mpya na Hivyo vipaumbele nilivyo viorodhesha hapo Juu ----------------- kama hayo hayatowezekana katika taifa hili basi macho yetu yajiandae kuendelea kuona CCM ikitawala miaka 3000 ijayo " na issue kubwa sio lazima CCM issue iondoke madarakani issue ni Taifa la TANZANIA kuwapata viongozi bora Wenye mlengo wa kulikomboa taifa wenye mlengo wa kutawala kwaajili ya maslahi ya taifa na wananchi wake " Viongozi wenye maono ya kutufikisha katika kilele cha mafanikio ya kiuchumi na kuwafanya watanzania wote wafaidike na rasilimali za nchi yao bila ya kuangalia matabaka ..viongozi wa kulifanya taifa liwe nchi tajiri kama jinsi ilivyo leo Qatar .UAE. etc ...... Endapo taifa likiwa na katiba mpya ambayo ni katiba bora yenye mlengo wa kulikomboa taifa na kila mtanzania Kisha tukafanikiwa kufanya kila muhimili ujitegemee Basi hata kama taifa hili lita tawaliwa na hao CCM na imani pindi viongozi hao watakapo diriki kwenda kinyume na katiba itakuwa ni rahisi kwetu kuwa wajibisha "

Kubwa zaidi na la mwisho usalama wa taifa wa nchi endapo wakiamua kutofungamana na chama cha mboga mboga na wakafanya kazi kwaajili ya maslahi mapana ya taifa " HAYO YOTE NILIYO YATAJA HAPO JUU YANAWEZEKANA

Mungu ibariki TANZANIA
 
.....Please Moderators delete this post. I have tried to delete it in vain.
 
We jamaa hayo yote wangefanyaje?wakati walikataliwa mikutano ya hadhara,mikusanyiko na hata wakati mikutano ya ndani yenyewe walikuwa wanakataliwa.

Watanzania ndiyo wanahitaji nani awe Rais, si majirani zetu ama watu wang'ambo ndiyo washike kidedea kuhitaji fulani awe rais wetu. Hauhitaji nguvu ya jirani ama watu wa ng'ambo ili kuwania kuwaongoza watanzania. Watanzania wenyewe watakuhitaji na watakuunga mkono kuwa kiongozi wao.

Ukijipima ukaona bila nguvu za majirani ama watu wang'ambo huwezi kuwa na ushawishi wa kuwafanya watanzania wakuunge mkono ili uwaongoze ujue hufai hata kuwaza kuwania urais wa nchi hii.

Nikirudi kwa Lissu. Huyu atakaporudi atueleze alikuwa anakusudia nini kuuambia ulimwengu " watanzania tufungiwe kidiplomasia, kisiasa, kiuchumi, kijamii na dunia itutemee mate!!". Kwa mawazo yake haya dhidi yetu watanzania anapata wapi utashi wa kuwaza kuwa rais wa nchi hii!?

Muelezeeni pia kuwa TUJITEGEMEE anamshukuru Mungu kwa kupona kwake maana ndilo lilikuwa ombi langu kwa Mungu. Ombi lililenga Lissu akipona aje ajionee Tanzania aliyoitaka itemewe mate na Dunia inavyostawi kwenye nyanja zote. Mwambie namkaribisha Tanzania.

====
Tupo kwenye msiba mzito kama Taifa kwa kuondokewa na kiongozi wetu shupavu na mstaafu. Mzee B. W. Mkapa. Mungu amuweke mahala pema peponi. Amen.
 
We jamaa hayo yote wangefanyaje?wakati walikataliwa mikutano ya hadhara,mikusanyiko na hata wakati mikutano ya ndani yenyewe walikuwa wanakataliwa.
Walipaswa kuja na solution .... Kwahiyo kama walikatazwa basi ndio ikawa wamekubaliana na changamoto zinazo wakabili ...wewe jamaa bwana .. Wenzao kina mandela walikuwa wanakutana na changamoto nzito zaidi ya hizi wanazopitia wao ...lakini walipambana dhidi ya makaburu mpaka waajikomboa
 
Nilimuuliza haugopi?akajibu siogopi!Nikamwambia,wanaweza kukupiga risasi tena au ukafungwa kwa hila,akajibu NIKO TIYARI kwa lolote.Mungu ni mwema,Kamanda Tundu Lissu kurudi nyumbani kwa mapambano tena ni muujiza wa Mungu mwenyewe.Nitakuwepo Dar es Salam kumpokea siku ya jumatatu-Godbless Lema on twitter.

Maoni yangu
:
Nikisoma katikati ya mistari,napata hisia kuwa, wasiwasi au mashaka haya ya Lema juu ya usalama wa Lissu, si tu ni mashaka ya Lema peke yake,bali pia yatakuwa pia ni mashaka walioyonayo viongozi wengine wa CHADEMA, na Lema kaamua kuweka wazi hili ili umma ujue kuwa Lissu kaamuaa mwenyewe kuja na si kwa kushawishiwa au kushurutishwa na viongozi wenzake katika chama(kuna watu wanaweza kuwaza hivyo).

Kwa mtazamo wangu,pengine jambo kubwa hapa ni kuwa,kuna nguvu kubwa inayomsukuma Lissu na ambayo hata Lissu mwenyewe atakuwa haielewi, na ili malengo yatimie,ni lazima Lissu apite katika hatua alizopita na pengine kuna hatua zingine atapaswa kupita kabla ya kutimia yaliyopangwa kutimia kupitia Lissu iwe ni leo,kesho,keshokuwa au vinginevyo.

Ni hisia zangu pia kuwa, hata katika ngazi ya familia, watakuwa wamejadili hili jambo, ila bado naamini ni nguvu hiyo ndio ili-prevail na ku-influence uamuzi kuwa Lissu arudi.

Hint:Tukumbuke wengi walikuwa hawaamini kama Lissu anaweza kurudi, ila ndio hivyo anarudi.

Let's wait and see how this Power works/influence things.
urejeo wa Lissu watu ni jambajamba tu kuanzia huku baharini hadi Chamwino!
 
Back
Top Bottom