Nazani hapo tutatoka nje mada.....anzisha thread kuhusu elimu ya Nape! Hapa ni kuhusu tuhuma za Mnyika kudanganya kwamba ana elimu ya Chuo Kikuu wakati hana!
NAPE:
Alienda kusoma india lakini hakumaliza degree kutokana na ukilaza na pia ulafi wa kukimbilia madaraka Tanzania, akarudi na kuja kutafuta umaarufu kwa kumvaa Lowassa na jengo la UVCCM. Amefanikiwa kumaliza elimu yake ya kuunga unga mzumbe kibabe babe kama kiongozi, sio kwa nidhamu kama wanafunzi wengine wa kawaida.
RIDHIWANI:
Kijana huyu wenye kujua zaidi habari zake ni IMMA advocates. Kwa kifupi, hana uwezo wowote darasani, chuo alifanyiwa mitihani na IMMA advocates kwa kushirikiana na waadhiri fulani fulani. Pia mwaka 2004 alipelekwa uingereza kusomeshwa na IMMA advocates kutokana na ukaribu wa IMMA na Lowaasa. Hapa uingereza, akafeli kozi chuo cha kwanza, IMMA wakampeleka kwingine, huko pia akafeli kwani nchini UK hakuna kuhonga au kufanyiwa mitihani, akarudi nyumbani, na ni IMMA advocates ndio wamemsaidia mpaka akapata uwakili, again kwa kufanyiwa mitihani. Ridhiwani ni kilaza, hata kiingereza chake ni kichekesho.
Kwa kifupi, mtoto wa mtanzania wa kawaida/Mkulima - Mzee Mnyika amezaa kichwa (john) kuliko viongozi wa CCM ambao walikuwa na nafasi zote za kuwafanya watoto wao kuwa exemplary students - Kikwete (Ritz), Mnauye (Nape). Angalau kina Makamba, Lowassa, Warioba, Mwinyi, Malecela (ukimtoa kilaza William), na wengineo, watoto wao wapo vizuri sana kichwani, kama kuna matatizo, basi ni mengine, sio kichwa.
John Mnyika, kwa mtazamo mdogo tu kila mtanzania anaelewa jinsi gani ulivyo kichwa, wala hauna haja ya kujitetea.
Mhyika jihadhari na huyu mtu anaweza akakudhuru kwenye giza hasira zake na wewe ni zaidi ya tujuavyo wewe hujaona sisi tumeona mchango wake hutamfika kamwe na wivu wako wa kike ulishapoteza fursa na hutaipata kamwe na udumila kuwili na sura mbili ulizonazo,masalia mkubwaHapo Mkuu unacheza na maneno tu. Hiyo representation ni kutekeleza ahadi alizotoa na anafanya hivyo kama mwakilishi wa wananchi. Kumbuka kuwa wabunge huchaguliwa kutokana na kile wanachosema wakati wa kampeni.
Pili anapotoa ahadi hawezi kusema hajatekeleza kwa sababu ya serikali. Kumbuka jamii zetu zina uwezo mkubwa ambao kiongozi akiwa mzuri anaweza kuuorganise uwezo wa jamii wakafanya jambo kubwa. Swali ambalo unatakiwa kujiuliza ni je, wakati mbunge anatoa ahadi fulani alikuwa naive kiasi kwamba hakujua kuwa kuna vikwazo? Na kama alijua kuwa kuna vikwazo lakini akaona atoe ahadi inakuwaje leo aseme sio jukumu lake?
Vilevile jiulize, je, katika kampeni za uchaguzi unaokuja atatoa ahadi nyingine? na atategemea watu wachukulie ahadi zake serious?
Kumbuka kuwa hata yule mtu anayemkataa mbunge aliye madarakani hamkatai kwa sababu yeye eti amevaa shati la rangi fulani, humkataa kwa sababu maneno yake na vitendo haviendani. Ahadi zake atekelezi. matumaini anayowapa wananchi yanaenda in vain.
Unaposema mbunge ni machachari jiulize:
Kuna sheria gani amefanikisha itungwe ili kusaidia watu wake?
Kuna kipengele gani cha bajeti amefanikisha kiboreshwe ili kuwafaa watu wake?
Kuna jinsi gani watu wake walikuwa hawapati huduma wanayostahili amehakikisha kuwa wanaipata?
Nakukumbusha tu kuwa almost doest count. Kama mbunge alikuwa almost there katika kutatua lakini mpaka mwisho tatizo bado lipo hapo anakuwa hajawafaa watu wake.
TEKELEZENI AHADI ZENU...
Umebaki wewe unayemwona Ridhiwani ni Kitu watanzania wengi tunajua hana mchango wowte kwenye nchi hii nadhani Mnyika amemuweka kwenye kona kumuonyesha kwamba bila rafiki wa baba yake kuwa mkuu wa kitengo leo asingekuwa mwanasheriaMkuu, ulisema Mnyika akijibu hii hoja atakuwa amedhihirisha kuwa yeye ni nini?
Kumbe ulikuwa hujui kuwa anagoja kuulizwa na Ridhiwani!!! hahahahahahahahahahahaha...
Munamjaza maneno kinywani ,lsasa degree ya shonza,mwampamba nape zimesaidia nini kuboresha maisha ya nchi hii you will never pull him down never ,masalia yamesambaratishwa na kikagula aka matunguri head wa matunguri mbunge wa kigoma kasikazini mmaliza mapanya kama alivyojitangaza hapa JF Kwa jina lake anaenjinia ujinga kwa sababu hana hadhi tena kama ya Mnyika kwenye nchi hii ,Ridhiwani siku babaye akimaliza yeye na baba ye wote the hagueAcha porojo,
Hoja ya akina Shonza ni kwamba Mnyika hana degree na hapa imedhihirika elimu yake ni ya Kidato cha Sita na sio ya Chuo Kikuu!
Alidanganya wapi kuwa ana elimu ya chuo kikuu, ama unawasikiliza akina nape, shonza na ridhwani ambao hata kujieleza kunawapiga chenga.
Munamjaza maneno kinywani ,lsasa degree ya shonza,mwampamba nape zimesaidia nini kuboresha maisha ya nchi hii you will never pull him down never ,masalia yamesambaratishwa na kikagula aka matunguri head wa matunguri mbunge wa kigoma kasikazini mmaliza mapanya kama alivyojitangaza hapa JF Kwa jina lake anaenjinia ujinga kwa sababu hana hadhi tena kama ya Mnyika kwenye nchi hii ,Ridhiwani siku babaye akimaliza yeye na baba ye wote the hague
alimaliza form 4 na 6 mwaka gani tu-googleDah! Kumbe division 1 yangu bado kwa Mnyika ni dhaifu. Nape alipata 4 pale Nsumba. Bogus
Aiseee!! Kula "Like" basi!mashudu km si pumba