Mkuu chama,
Msome vizuri kwenye ili bandiko lake ndiyo utajua upuuzi wa John Mnyika,
Anajisifia kuwa alikuwa mwanafunzi bora Dar es Salaam nzima, waliomchagua ndiyo hao hao anawaita wapuuzi.
John Mnyika, anaulizwa elezea elimu yako anasema amesoma Chuo Kikuu miaka mitatu, ananikumbusha siku moja naangalia Fox News alikuwa anahojiwa Bill Gates kuhusu elimu yake alisema wazi sikumaliza chuo.
Hakuna sehemu aliyosema nimesoma Harvard Univesity miaka mitatu.
Kuna upuuzi mwingi sana kaandika Mnyika.
Mbona unaongea vitu ambavyo havi-make sense ? Hivi kama mwanafunzi amekuwa wa kwanza analazimika kuwasifia waliotamka yeye ni wa kwanza ?.....Yeye amefanya vizuri mtihani wake na baada ya matokeo kuwa processed akaonekana ni wa kwanza. Sasa unataka walioprocess matokeo wasifiwe !?...Wametimiza wajibu wao na wanalipwa mishahara kwa kufanya hivyo, mwanafunzi amepeform na amepewa haki yake. Kwa mfano kama mimi nimefanya vizuri na kufaulu mitihani yangu ya chuo kwa mfano, halafu wakufunzi wangu wakanipa marks nzuri (hawawezi kuwa na choice nyingine kama ni waadilifu), siku wakifanya upumbavu (in future) nisiwaseme kwa sababu tu walinipa stahiki yangu !?
Halafu kama Bill Gates amesoma miaka mitatu halafu hataki kuisema hiyo miaka yake aliyokuwa chuo, sasa unataka Mnyika amuige Bill Gates i.e. aangalie kwanza Bill Gates amesemaje kuhusiana na swala hilo halafu na yeye aige !..Ina maana ungekuwa wewe ndio ungefanya hivyo !?....Mnyika na Bill Gates ni watu wawili tofauti, wote wanafanana(kwa maana kwamba hawakumaliza elimu ya chuo kikuu), lakini kila mmoja anaichukulia hali hiyo tofauti (kwa mfano Mnyika ana mpango wa kusoma in the future wakati Bill Gates nadhani hana)...Sasa kama Mnyika ameamua kusema kwamba alisoma chuo miaka mitatu (na ni ukweli) tatizo lake nini !...Besides, kama ulimwona Bill Gates siku hiyo kwenye hiyo interview moja na hakutaja huko kusoma kwake chuo, una uhakika gani kwamba in the past hakuwahi kuitaja hiyo miaka aliyosoma chuo ? Halafu kwenye hiyo interview umesema Bill Gates amesema hakumaliza chuo, hivi kama huyo aliyekuwa anamfanyia interview angemuuliza kwa mfano, "Havard ulisoma miaka mingapi ?" wewe unafikiri angejibuje kama asingetaja miaka aliyosoma Havard !
Mkuu Ritz
Umeua kabisa ikiwa Bill Gates kaweka wazi hakumaliza chuo huyu Mnyika anaficha kitu gani au anataka kujifananisha na nani? Hapo ndio nashindwa kuelewa watu wanakwenda chuo kikuu kusoma na kuhitimu walichosoma sasa kama kupita nayo ni sifa basi wangejinadi wengi!
Kamanda hapa hatumpingi Mnyika tunawelemisha nyie wajinga wachache ambao mpompo tu kihasarahasara yaani mmeshindwa kutumia hata chembe moja ya bongo zenu!
Mkuu chama,
Kukata mzizi wa fitina kama John Mnyika, ni msomi ana BA/MA/PhD, au na maneno matupu.
Nimecheka sana anasema ataendelea kusoma siku Chadema watakapochukuwa nchi.
Kwanza anatakiwa kufahamu hawezi tena kurudi bungeni labda kwa viti maalum.
I see things beyond your reach that's why I don't dance songs played by fools!
Ridhiwani na huyo shoga yako chama nyie wote ni wapuuzi....mh.jj mnyika hakusema amemaliza chuo....kusema amesoma chuo miaka 3 si kuwa amesena alimaliza.wewe ridhiwani na kumaliza kwako chuo lakini kichwani ni mweupe na mtupu kama baba yako.wewe na baba yako hata muunganishe akili zenu bado hamuwezi kuwa na akili kama mh.jj mnyika.nyie ndio wapuuzi #1 hapa Tanzania. ...wajinga kabisa.Mkuu Ritz
Umeua kabisa ikiwa Bill Gates kaweka wazi hakumaliza chuo huyu Mnyika anaficha kitu gani au anataka kujifananisha na nani? Hapo ndio nashindwa kuelewa watu wanakwenda chuo kikuu kusoma na kuhitimu walichosoma sasa kama kupita nayo ni sifa basi wangejinadi wengi!
Ridhiwani na huyo shoga yako chama nyie wote ni wapuuzi....mh.jj mnyika hakusema amemaliza chuo....kusema amesoma chuo miaka 3 si kuwa amesena alimaliza.wewe ridhiwani na kumaliza kwako chuo lakini kichwani ni mweupe na mtupu kama baba yako.wewe na baba yako hata muunganishe akili zenu bado hamuwezi kuwa na akili kama mh.jj mnyika.nyie ndio wapuuzi #1 hapa Tanzania. ...wajinga kabisa.Mkuu Ritz
Umeua kabisa ikiwa Bill Gates kaweka wazi hakumaliza chuo huyu Mnyika anaficha kitu gani au anataka kujifananisha na nani? Hapo ndio nashindwa kuelewa watu wanakwenda chuo kikuu kusoma na kuhitimu walichosoma sasa kama kupita nayo ni sifa basi wangejinadi wengi!
Kamanda naona povu linakutoka unaropoka ovyo, mie sina uhusiaono wowote na Rais Kikwete, hizo ni fikra zako.Ridhiwani na huyo shoga yako chama nyie wote ni wapuuzi....mh.jj mnyika hakusema amemaliza chuo....kusema amesoma chuo miaka 3 si kuwa amesena alimaliza.wewe ridhiwani na kumaliza kwako chuo lakini kichwani ni mweupe na mtupu kama baba yako.wewe na baba yako hata muunganishe akili zenu bado hamuwezi kuwa na akili kama mh.jj mnyika.nyie ndio wapuuzi #1 hapa Tanzania. ...wajinga kabisa.
Unawazimu sana; kuna mkoa unaongoza kwa kununua mitihani kama Dar? huyo kama angekuwa nguli basi angetoka na div 1 ya point 3; A level; hebu niwekee hiyo research paper aliyofanya Mnyika; Mlugo ni zaidi ya Mnyika anagalu yeye Mlugo amemaliza elimu yake ya chuo kikuu; Mnyika kama angekuwa na IQ ya kutosha angemaliza chuo hilo nalo unataka tuwafundishe?
Kamanda naona povu linakutoka unaropoka ovyo, mie sina uhusiaono wowote na Rais Kikwete, hizo ni fikra zako.
Ningekujibu lakini nahofia kuwakosea heshima wazazi wako.
Tujadilieni kwa nidhamu na heshima.

Naona povu linazidi kukutoka kamanda umehamaki mpaka akili imehama, usilazimishe nimekuambia mimi ni Ritz, wa JF sina mahusiano yeyote na Rais wetu kipenzi Kikwete.Huna lolote muongo mkubwa wewe. ..nani asiyejua kuwa wewe ni ridhiwani kikwete? Hata ulivyomjibu mh.j mnyika hapo juu ni jibu tosha kuwa wewe ni ridhiwani.na kugraduate kwako chuo kikuu na shoga yako mohamed jamalee yule mhindi mwenye maduka k'koo bado kichwani wewe ni mweupe pee kama karatasi..hata kuongea English huwezi kama baba yako kikwete. Heshima ni kuheshimiana..ukiheshimu wenzako na wewe utaheshimiwa.ukileta ujuwaji kisa mtoto wa rais ambaye hakushinda huo urais tunakupa ngumi za uso.muwacheni mh.jj mnyika maana hana maneno na mtu.yuko busy kuwatumikia wananchi!!!!
nimekuelewa msomi, mnyika hana akili na wanawake wenye mimba automatically wanakuwa hawana akili na hata kama alikuwa anasoma bsc ya military science anahamishiwa bba. Na aliyekuwa mwaka wa tano pale mhimbili akisomea internal medicine akipata mimba anapelekwa bibi. Hongera sana msomi