Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

Sawa.... aseme Nchimbi anapatikana lini uandaliwe mtanange mwigine
 
ccm kukimbia midahalo hamjaanza leo, mchakato majimboni ccm mlikula winga kama alivyokula winga nchimbi,
Kwahi ndiyo sababu yako ya kutoa matusi? Kwanini unatukana matusi ya nguoni?
 
Kama hapa kuwa na udhibitisho wa ushiriki then mdahalo uliandaliwa kienyeji.
 
Naamini!.
 
Namsihi bwana Odemba aache kujiingiza kwenye siasa za maji taka. Chama Cha Mapinduzi siyo kikundi cha wahuni, Chama cha Mapinduzi ni Taasisi. Afuate utaratibu unaotakiwa.
Kuna uhuni zaidi ya kuwa taasisi ya majizi?
 
Ratiba ikiruhusu
Pia “…Katibu Mkuu asingeweza kuwapo katika mdahalo huo hata kama angekuwa amethibitisha awali…”

Hapo ndipo ukweli ulipo…
Hana uhakika wa kwenda kwenye mdahalo wowote hata akithibitisha sasa au siku za baadae…
 
sio matusi tuu unapaswa upigwe na kelebu la pua
Kwahiyo unashindwa kujadiliana kwa hoja unaanza kuandika matusi? Matusi ni dalili ya kushindwa hoja. Au wewe ni empty head.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…