MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 8,974
- 12,662
Sawa.... aseme Nchimbi anapatikana lini uandaliwe mtanange mwigine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ccm kukimbia midahalo hamjaanza leo, mchakato majimboni ccm mlikula winga kama alivyokula winga nchimbi,Andika maneno ya hekima. Acha matusi, Ukizidiwa hoja unaanza kutoa matusi. Ebo!!
Kwahi ndiyo sababu yako ya kutoa matusi? Kwanini unatukana matusi ya nguoni?ccm kukimbia midahalo hamjaanza leo, mchakato majimboni ccm mlikula winga kama alivyokula winga nchimbi,
Naamini!.Huyo Nchimbi na sisiem hata wakipewa wao nafasi ya kupanga ratiba ya mdahalo bado wataukimbia tu.
Hivi unaenda kwenye mdahalo kuwakilisha kambi ya mashetani yenye kila aina ya uovu, unategemea uongee nini zaidi ya kujiaibisha? Wasitufanye sie maboya, Nchimbi kafanya calculations kaona anaenda kujivua nguo mwenyewe akala kona, over.
Ninachemka bila mfuniko na Mimi!!Kuna mchungaji mmoja alikuwa anaitwa KATO anlikuwa anapenda kusema: "Ninachemka bila mfuniko" ni ndugu yako?
Basi sawa.Ninachemka bila mfuniko na Mimi!!
Hapana mkuu coincidence tu!
Kuna uhuni zaidi ya kuwa taasisi ya majizi?Namsihi bwana Odemba aache kujiingiza kwenye siasa za maji taka. Chama Cha Mapinduzi siyo kikundi cha wahuni, Chama cha Mapinduzi ni Taasisi. Afuate utaratibu unaotakiwa.
Msitukanane plzzz hii nji ni yetu sote wakuuKwahi ndiyo sababu yako ya kutoa matusi? Kwanini unatukana matusi ya nguoni?
Mkimbie nyie kisha aombe msamaha yeye? Au asipoomba mtamteka?Kama Odemba ni muungwana auombe msamaha umma wa watanzania
Anaililia Tanzania inayoongozwa na maguruwe yasiyo na uchungu na nchiOdemba alikuwa analia nini kwani?
Pia “…Katibu Mkuu asingeweza kuwapo katika mdahalo huo hata kama angekuwa amethibitisha awali…”Ratiba ikiruhusu
Odemba kajishushia heshima sana.Mkimbie nyie kisha aombe msamaha yeye? Au asipoomba mtamteka?
Ha haaaa hii nchi ina vituko sana. Dah eti machozi kabisaAnaililia Tanzania inayoongozwa na maguruwe yasiyo na uchungu na nchi
Hata kusema kwako wewe ni ccm🤣Ha haaaa hii nchi ina vituko sana. Dah eti machozi kabisa
sio matusi tuu unapaswa upigwe na kelebu la puaKwahi ndiyo sababu yako ya kutoa matusi? Kwanini unatukana matusi ya nguoni?
Kwahiyo unashindwa kujadiliana kwa hoja unaanza kuandika matusi? Matusi ni dalili ya kushindwa hoja. Au wewe ni empty head.sio matusi tuu unapaswa upigwe na kelebu la pua
Mimi sio CCM wala upinzani...nipo hapo kati nimening"iniaHata kusema kwako wewe ni ccm🤣
Umeona sasa..Ndugu Odemba alibubujikwa machozi kama Lucas Mwashambwa 🐒
Hadi Erythrocyte akatikisika😎Ndugu Odemba alibubujikwa machozi kama Lucas Mwashambwa 🐒