Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa huwa wanazingua sana.
unakuta mtu yuko msibani anakomaa kumhoji mfiwa,mbaya zaidi anauliza" unajisikiaje"
mimi ntamjibu mtu najiskia kwa mbaaali.
Huyu naye balaa lingine kuna interview alifanya na Spora aisee ana majibu uyo 🤣Msanii mwingine ninayevutiwa na interview zake ni mnyama TID
Jamaa utasema anavujishiwa possible questions halafu anajiandaa kujibu 😀😀Huyu naye balaa lingine kuna interview alifanya na Spora aisee ana majibu uyo 🤣
Utasikia et tuna mama wa marehem atazungumuza , mama pole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa huwa wanazingua sana.
unakuta mtu yuko msibani anakomaa kumhoji mfiwa,mbaya zaidi anauliza" unajisikiaje"
mimi ntamjibu mtu najiskia kwa mbaaali.