Majibu ya Chid Benz kwenye "red carpet" ya Mahaba Ndi Ndi Ndi

Utapenda jinsi Chid benz alivyokua akiulizwa maswali na mtangazaji pale mlimani city, Siku ya wapendanao wakiwa Red carpet usku wa mahaba ndi ndi ndi

Mtangazaji: Nakuona umevaa umependeza

CHID BENZ : Nalijua hilo

Mtangazaji: Hatujawahi kukuona na mtoto mzuri kama huyu

CHID BENZ: Huyu sio mtoto

Mtangazaji: Kuna tofauti gani kati ya Valentine zilizopita na hii hapa na hii ya leo?

CHID BENZ: Zile zimepita na hii ni ya leo.

Mtangazaji: Unatarajia kuona vitu gani kwenye event hii ya leo

CHID BENZ: Ngoja tuingie ndo tutaona

Mtangazaji: Chidy kwanini unakonda

CHID BENZ: Kwasababu sinenepi

Jamiiforums
Geita vijijini

View attachment 2122017
Sema chidi akili kubwa sana huyu jamaa. Huwa ana focus fln hv ambayo wasanii wengi hawana wakati wa mahojiano au interview kwenye media, nadhan focus yake ndo inamfanya ajibu maswali kama yanavyoulizwa, short n clear
 
shua
 
Haha ha utasikia kama mnavyoona ni msiba mkubwa watu wanalia sana tazama marehem amelala kwa huzuni lakini tunae kaka yake hapa hebu tuelezee habari ya kifo cha mdogo wako ulipata wapi?
Wanaudhi akiyanani hawa waadishi wa michongo
 
Haha ha utasikia kama mnavyoona ni msiba mkubwa watu wanalia sana tazama marehem amelala kwa huzuni lakini tunae kaka yake hapa hebu tuelezee habari ya kifo cha mdogo wako ulipata wapi?
Huwa nakereka sana nikisikia maswali ya namna hiyo!
 
Sema chidi akili kubwa sana huyu jamaa. Huwa ana focus fln hv ambayo wasanii wengi hawana wakati wa mahojiano au interview kwenye media, nadhan focus yake ndo inamfanya ajibu maswali kama yanavyoulizwa, short n clear
Unga ule sema focus fuatilia wasanii waliokua wanakula unga na interview zao mfan lord eyes,rayc na huyu dg conboi nina mashaka kama ali sembe
 
Utapenda jinsi Chid benz alivyokua akiulizwa maswali na mtangazaji pale mlimani city, Siku ya wapendanao wakiwa Red carpet usku wa mahaba ndi ndi ndi

Mtangazaji: Nakuona umevaa umependeza

CHID BENZ : Nalijua hilo

Mtangazaji: Hatujawahi kukuona na mtoto mzuri kama huyu

CHID BENZ: Huyu sio mtoto

Mtangazaji: Kuna tofauti gani kati ya Valentine zilizopita na hii hapa na hii ya leo?

CHID BENZ: Zile zimepita na hii ni ya leo.

Mtangazaji: Unatarajia kuona vitu gani kwenye event hii ya leo

CHID BENZ: Ngoja tuingie ndo tutaona

Mtangazaji: Chidy kwanini unakonda

CHID BENZ: Kwasababu sinenepi

Jamiiforums
Geita vijijini

View attachment 2122017
Mimi nakubali sana majibu yakesiku zote
 
"chawa ni wadudu wanaotokana na uchafu, unakuwa na chawa sabb unauchafu"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa nakereka sana nikisikia maswali ya namna hiyo!
Radio one wanaongoza kwa kuuliza maswali ya kijinga, ukute tukio limetokea halafu anahojiwa polisi kile kipindi chao cha nipashe saa kumi na mbili na nusu asubuhi, utazima redio sheikh wangu
 
Utapenda jinsi Chid benz alivyokua akiulizwa maswali na mtangazaji pale mlimani city, Siku ya wapendanao wakiwa Red carpet usku wa mahaba ndi ndi ndi

Mtangazaji: Nakuona umevaa umependeza

CHID BENZ : Nalijua hilo

Mtangazaji: Hatujawahi kukuona na mtoto mzuri kama huyu

CHID BENZ: Huyu sio mtoto

Mtangazaji: Kuna tofauti gani kati ya Valentine zilizopita na hii hapa na hii ya leo?

CHID BENZ: Zile zimepita na hii ni ya leo.

Mtangazaji: Unatarajia kuona vitu gani kwenye event hii ya leo

CHID BENZ: Ngoja tuingie ndo tutaona

Mtangazaji: Chidy kwanini unakonda

CHID BENZ: Kwasababu sinenepi

Jamiiforums
Geita vijijini

View attachment 2122017
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mihadarati sio ya kucheza nayo unaweza kumkuta mama yako mzazi ukaanza kumkaripia mbona anazeeka na haolewi na hajazaa yupo kihasara hasara tu 😂😂😂unaambulia laana ya uzeeni wallah tena 😂
 
Back
Top Bottom