Majibu ya damu yagundua mwanaume ana matatizo ya ugumba akiwa kwenye ndoa na watoto wanne

Majibu ya damu yagundua mwanaume ana matatizo ya ugumba akiwa kwenye ndoa na watoto wanne

Hatuwez kujua tatizo la ugumba limempata kabla au baada ya hao watoto.

Lazima kuwepo na cautious &calculated moves unapodeal na matatizo makubwa ya wanandoa Kama hayo.

Ukijump directly into conclusion ukaanza kunyooshea watu flani vidole,

Utajikuta umesababisha utengano,maafa na maangamizi kwny familia ya watu.

TAHADHALI NI MUHIMU NA UCHUNGUZI WA KINA UFANYIKE
We mshkaji huwa nakukubali Sana hutakagi shida za maisha. Huwa una critical reasoning sio mambo ya kukurupuka tu kunuoshea mtu vidole
 
Wewe ushahidi was Ayo yote umeutoa wapi?

Alikiri makosa yake?
Alikusimulia uko saloon?
Alifumaniwa?

Wewe hizo conclusion zako twambie unazitoa wapi? Kwa ushahidi upi?
Hizi ni zile situations family zinapoomba ushauri katika mambo mazito na wakubwa mnahadhitiwa na kubaki midomo wazi.

Nilichojifunza ni kuwa hapa duniani hata uwe na pesa zote kuna changamoto utapitia. Hii ndiyo dunia hata Melinda Gate aliomba talaka kutoka kwa mwanaume ambao wadangaji wanamuota hata awe buzz la siku moja tu.

Diana aliolewa na hare to the throne lakini hajawahi kuwa na furaha katika ndoa. Huyu bibi kama alimpenda houseboy angekua muwazi si kwenda kumchuna jamaa alee watoto wako na ki toy boy chako.
 
Mtoa mada unataka kutuaminisha,
Kwamba uwepo wa uyo houseboy kwenye iyo nyumba kwa vizazi vyote vinne ndo kumechangia jamaa asiwe na uwezo wa kutungisha mimba?

Mtoa mada unataka kutuaminisha, kwamba kitendo Cha uyo mama kua anakwenda kwenye servant quarter ndiko kulikochangia kupatikana kwa
House boy ndo alifanya Jamaa apate ajali ili awe baba mwenye mjengo rasmi
 
We mshkaji huwa nakukubali Sana hutakagi shida za maisha. Huwa una critical reasoning sio mambo ya kukurupuka tu kunuoshea mtu vidole
[emoji4][emoji106]
Ishu za wanandoa Ni ngumu mno mkuu,

Hazihitaji mihemko kabisa maana madhara ya ushaur wowote usiozingatia tahadhari,

Huwa Ni makubwa Sana kwa wanandoa wenyewe,watoto, ukoo mpk kwa jamii nzima husika akiwemo uyo uyo mtoa ushauri mzuri au mpambe nuksi.
 
Hii ni chai kama chai zingine.
Mtu kapata ajali then Dr anasema na ya uzazi? Alienda kupima uwezo wa kuzalisha?.
hii ni chai
 
Hizi ni zile situations family zinapoomba ushauri katika mambo mazito na wakubwa mnahadhitiwa na kubaki midomo wazi.

Nilichojifunza ni kuwa hapa duniani hata uwe na pesa zote kuna changamoto utapitia. Hii ndiyo dunia hata Melinda Gate aliomba talaka kutoka kwa mwanaume ambao wadangaji wanamuota hata awe buzz la siku moja tu.

Diana aliolewa na hare to the throne lakini hajawahi kuwa na furaha katika ndoa. Huyu bibi kama alimpenda houseboy angekua muwazi si kwenda kumchuna jamaa alee watoto wako na ki toy boy chako.
Ya kuhadithiwa yahawez kukupeleka direct ktk conclusion kwamba flani na flani wamekosea.

Unajua always wanandoa wanapogombana, Lazima kila mtu aseme lake. Hasa watu wa nje
(Ndugu,majirani, marafiki n.k)

Na tambua ktk jamii yyt wapo wale watu wakisema Jambo fulani, hata Kama sio la kweli wataaminiwa kwasababu tu Ni mafundi wa ushawishi na kucheza na matukio.

LAZIMA UWE MAKINI NA HILO DADA SKY
 
[emoji4][emoji106]
Ishu za wanandoa Ni ngumu mno mkuu,

Hazihitaji mihemko kabisa maana madhara ya ushaur wowote usiozingatia tahadhari,

Huwa Ni makubwa Sana kwa wanandoa wenyewe,watoto, ukoo mpk kwa jamii nzima husika akiwemo uyo uyo mtoa ushauri mzuri au mpambe nuksi.
Kweli kabisa wakati mwingine huwa Ni vema kukaa kimya kwanza tatizo linapotokea baada ya muda ndo unaweza kufanya maamuzi.

Kukurupuka unaweza kuta unajivunjia heshima buree hata jamii ikakuona hufai.
 
Hii ni chai kama chai zingine.
Mtu kapata ajali then Dr anasema na ya uzazi? Alienda kupima uwezo wa kuzalisha?.
hii ni chai
Labda baada ya ajali kuna matone matone ya shahawa yalikutwa yamedondoka eneo la tukio.

Katika kupima pima ushahidi wa ajali,
Yakakutwa kumbe hayawezi kuzalisha long time sana[emoji1]
 
Kweli kabisa wakati mwingine huwa Ni vema kukaa kimya kwanza tatizo linapotokea baada ya muda ndo unaweza kufanya maamuzi.

Kukurupuka unaweza kuta unajivunjia heshima buree hata jamii ikakuona hufai.
Hakika usemacho Ni sahii[emoji106]
 
Aisee wanawake hupitisha wanaume sehemu ngumu basi tu wanaume ni wavumilivu lakini wanawake ni zaidi ya shetani.
 
Labda baada ya ajali kuna matone matone ya shahawa yalikutwa yamedondoka eneo la tukio.

Katika kupima pima ushahidi wa ajali,
Yakakutwa kumbe hayawezi kuzalisha long time sana[emoji1]
Wakati unapigania maisha kuna dawa ni lazima waangalie allergy reaction kabla hawajakupa na katika kupima wakakuta jamaa ana rare condition kwenye damu, walichoshangaa watu wenye matatizo hayo huwa ni wagumba.
 
Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume ilikua matawi ya juu.

Baada ya harusi mke alileta house boy nyumbani. Ni kijana mdogo ndiyo kwanza amemaliza kidato cha nne. Houseboy alipewa servants quarter na furniture zote alinunuliwa.

Kitu cha heshima alichofanya bibi yule ni kuto mruhusu houseboy kuingia kwenye matrimonial bedroom anayolala na mume wake. Lakini jamaa akiwa kwenye mihangaiko mama anakua kwenye servants quarter na houseboy. Lengo na madhumuni ni kupata watoto wenye sura nzuri kwani sura ya mume wake hakukubaliana nayo.

Mtoto wa kwanza alizaliwa na wa pili na watatu mpaka wakafika wanne. Katika kipindi chote hiki, mke alimhakikishia mume wake kuwa yeye ndiye Managing Director wa nyumbani kama alivyo mume katika biashara zake na wasiingiliane. Houseboy alifundishwa udereva na akawa anawapeleka watoto shule na kuwachukua. Jioni alicheza nao mpira na kuwafundisha shughuli nyingi kama kutunza bustani na kupanda maua na mboga mboga.

Maisha yalikua mazuri sana, ni zile familia ukiziona kwenye Range Rover yao ya 2021 unatamani maisha yao.

Mid term walipanga kwenda kupumzika Dubai, mume alikua na mkutano muhimu Morogoro, katika kukamilisha taratibu za uwekezaji huko. Alijijua asipofanya hima atachelewa ndege, hivyo kutoka Morogoro akiiimbiza Range, aliishia kupata ajali mbaya sana.

Mungu ni mwema alinusurika na kifo. Lakini wakati wa matibabu madaktari walichukua damu kwa vipimo vingi, ndipo walipogundua ana rare condition na wanaume wenye hii condition huwa ni wagumba sasa yeye ni baba wa watoto wa nne inakuwaje?

Uchunguzi ulianzia hapa, na wahenga walisema hakuna siri chini ya jua.
Sio kweli
 
Kila ndoa(familia) ina changamoto zake ni vile ninyi wahusika mtakavyo amua kuzichukulia ndivyo hatima yenu.

Aendelee tu kuwalea kama watoto wake
 
Back
Top Bottom