Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawaridhiki vipi waje na data zaoAahaaaaa
Wadau bado hawajaridhika
Wanalalamika kuwa kuna wanayanga na wanasimba wamelike page hizi za watani kaa ajili ya kupata taarifaHawaridhiki vipi waje na data zao
Ila mm huwezi kukuta nimelike page za uto...any way ipo siku tutajua tuu..ila haiwezekani watu milioni 2.2 waende wakajaze page ya Simba wkt ni Yanga hahahaaa maaana wao wako 2.8m Simba over 5 milionWanalalamika kuwa kuna wanayanga na wanasimba wamelike page hizi za watani kaa ajili ya kupata taarifa
Je na wahesabiwe kama ni wanasimba au yanga?
Nimependekeza tujaribu kufuatilia usajiri wa mashabiki na wanachama katika app zao
Labda tutapata hesabu tofauti
Sawa,Tff uwa wanatoa klabu zilizo ingiza mashabiki wengi katika msimu wa mashindano na miaka yote waliyo Tangaza Yanga waliongoza.
Kule Zanzibar kwenye mashindani ya mapinduzi mechi za Yanga uwa zinaongoza kwa kuingiza mashabiki wengi.
Uko mikoani Yanga imeshindikana, ndio maana KMC mechi na Yanga akiwa yeye mwenyeji ata ipeleka mkoani.
Simba mashabik wao wengi nibodaboda wanavibe hao hatarSimba ni kama walokole,wana vibe na timu yao
Yanga ni kama Roman Catholics,hawana kelele wala mbwembwe
Here we goSimba ni kama walokole,wana vibe na timu yao
Yanga ni kama Roman Catholics,hawana kelele wala mbwembwe
Hata hivi vitoto vidogo mtaani wengi ni simba kwa asilimia kubwa kuna siku ali kamwe alipandisha kitoto jukwaani akakauliza maswali ya yanga lakini akajibu wachezaji wa simba na hao ndio taifa la kesho.Kuna member ameuliza swali la nani kati ya Simba na Yanga ana mashabiki wengi. Uchunguzi wangu ulijikita katika takwimu za mitandaoni (online) ambazo ni rahisi kuzipata. Next time nitajitahidi kuleta takwimu za mitaani kupitia sensa ya mtu kwa mtu.
Baada ya kuzurura katika mitandao ya X, Insta, na Facebook katika akaunti rasmi za timu hizi, hizo ndio data zilizopatikana:
Instagram, Simba ana followers 5.4m huku Yanga ana 2.8m, Facebook, Simba ana follower/likes 1.9m huku Yanga 1.3m na kwenye mtandao wa X Simba ana followers 1.4m huku Yanga ana 274k.
Nimepanga kufuatilia apps za timu hizi mbili ili nione wanachama na mashabiki walionao.
Mkuu Bertha Kakete huu ndio utafiti wangu. Hongera mnyama, umetisha sana
Hii namba inarelect hata maudhurio yenu vibanda umiza, mechi za Simba huwa zina maudhurio mengi. Mechi hizi huleta maokoto mengi, we chunguza mwenyewe utaniambia. Waulize wamiliki wa vibanda umiza watashibitisha hili.
Sijazungumzia maudhurio ya uwanjani na kwenye harambee. Ushauri tu kwa Wanalunyasi namba hizi, reflect mpira wenu uwanjani hasa ile tarehe 20/10/2023.
View attachment 2779219View attachment 2779220View attachment 2779221View attachment 2779222View attachment 2779223namba hizi View attachment 2779223View attachment 2779224
Kama kuna mtu ana data zingine alete hapa kunikosoa, kunirekebisha au kuongezea nyama.
#Mpira Bila Mbereko inawezekana
Na mi shabiki wa simba situmii Facebook Instagram wala Twitter wala jf na mimi unanihesabu vpMe shabiki wa yanga ila situmii Facebook, Instagram, wala Twitter
Hapo unanihesabu vp
Sent using Jamii Forums mobile app
Magazeti hayafiki MisriMagazeti ni sample space nzuri