Majibu ya nani mwenye mashabiki wengi kati ya Simba na Yanga

Hawaridhiki vipi waje na data zao
Wanalalamika kuwa kuna wanayanga na wanasimba wamelike page hizi za watani kaa ajili ya kupata taarifa

Je na wahesabiwe kama ni wanasimba au yanga?

Nimependekeza tujaribu kufuatilia usajiri wa mashabiki na wanachama katika app zao

Labda tutapata hesabu tofauti
 
Ila mm huwezi kukuta nimelike page za uto...any way ipo siku tutajua tuu..ila haiwezekani watu milioni 2.2 waende wakajaze page ya Simba wkt ni Yanga hahahaaa maaana wao wako 2.8m Simba over 5 milion
 
Ila mm huwezi kukuta nimelike page za uto...any way ipo siku tutajua tuu..ila haiwezekani watu milioni 2.2 waende wakajaze page ya Simba wkt ni Yanga hahahaaa maaana wao wako 2.8m Simba over 5 milion
Inafikirisha sana
 
Tff uwa wanatoa klabu zilizo ingiza mashabiki wengi katika msimu wa mashindano na miaka yote waliyo Tangaza Yanga waliongoza.

Kule Zanzibar kwenye mashindano ya mapinduzi mechi za Yanga uwa zinaongoza kwa kuingiza mashabiki wengi.
Uko mikoani Yanga imeshindikana, ndio maana KMC mechi na Yanga akiwa yeye mwenyeji ata ipeleka mkoani.
 
Hizo data zako ziweke kinyume chake.
Hao wanaowafuata simba kwenye mitandao ni yanga wanatafuta taarifa za simba.na hao wanaowafuata yanga ni simba wanatafuta taarifa za yanga.
 
Sawa,
Acha nifuatilie data kamili za tff nitazileta hapa
 
Hizo data zako ziweke kinyume chake.
Hao wanaowafuata simba kwenye mitandao ni yanga wanatafuta taarifa za simba.na hao wanaowafuata yanga ni simba wanatafuta taarifa za yanga.
Sawa
Nimekusoma mkuu
 
Yanga hatujawai kuhamasishana huko kweny kulike mapage nyie mlitumia nguvu kubwa kutembea mtaa kwamtaa kipind mnahamasishana kuchangia kujenga uwanja ambapo mwisho mmeishia kutapel mashabik wenu kwaumbumbumbu wao
 
Hata hivi vitoto vidogo mtaani wengi ni simba kwa asilimia kubwa kuna siku ali kamwe alipandisha kitoto jukwaani akakauliza maswali ya yanga lakini akajibu wachezaji wa simba na hao ndio taifa la kesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…