Yani wewe uniwin mimi kisaikolojia?Tayari nimeshakuwin kisaikolojia na ndio hicho haswaaa nilichotaka na kusumbuka kutafuta
Alikufi###$$ra kabla hajafa Mana kakukaa kichwani kweliAfadhali mimi natamani hizo billion. Magu kachota na kulamba zaidi ya Trilliona 30 hadi master wake shetani kashangaa nakusema WTF. Ikabidi tu atwaliwe kuzimu kabla ya siku zake.
Tayari Nimeshakuwin kisaikolojia na ndio hicho nilikuwa naangaika kutafutaAlikufi###$$ra kabla hajafa Mana kakukaa kichwani kweli
aidha hakuelewa ujumbe na hakutaka kujipa muda wa kutafakari, au hajui yupo nafasi hiyo kwa ajili gani.""tukitaka yeye ndio aje kushughulikia bundles atafanya mangapi?
Nape anavyojibu kuwa sio kila kitu afanye Rais..wapi Batuli amemtaja rais amsaidie?Hivi ndivyo staa wa filamu, Batuli alivyotumia ukurasa wake wa Twitter kulalamika kuhusu bando lake la simu, kisha Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye akaingilia kati na kumpa ushauri wa kwenda TCRA.
=========
Ameandika Muigizaji Batuli
Hivi Kuna Mtu Mwingine Anapitia Hii Changamoto Kutoka Airtel Tanzania Au Ni Mm Tuโฆ!? Jana Na Leo Hiyo ๐๐ฝ Na Ukiwapigia Hawakupi Ushirikiano, Soma Ya Pili Hapo Uone Maajab. Hii Ni Siku Ya 4 Leo Nataabika Na Hili Kutoka Airtel Tanzania.
Hii Ilikuwa Monday, Imagine Wiki Haijaisha Leo Ni Alhamisi, Hapo Kwangu Natumia Wi-Fi Na Ofisini Natumia Wi-Fi Jana Nimewapigia Usiku Wamejivu Shit Sana Airtel Tanzania Huu Ni Unyama Na Dhulma Kwa Wateja
Nape Mnauye Amjibu Batuli
Ushauri wangu Batuli peleka kesi TCRA watachambua swala lako kitaalamu mbele yako na kukuonyesha mwenyewe, kama kuna wizi mahali tungefurahi kuchukua hatua. Rais ameweka watu kumsaidia na ndio maana inaitwa serikali, tukitaka yeye ndio aje kushughulikia bundles atafanya mangapi?
Batuli Amjibu Nape
Nitakwenda Jumatatu TCRA_Tz Kama Ulivyotoa Ushauri Mheshimiwa, Kiongozi Malalamiko Siyo Yng Tu, Hivi Watu Wote Hadi Wa Mikoani Huko Na Vijijini Wana Uwezo Wa Kwenda TCRAโฆ!? Tunaomba Utatuzi Wa Changamoto Hii Yenye Kutuumiza Wananchi
Pia soma: Nape: Kampuni za simu haziibi vifurushi vya intaneti vya wateja
TCRA anaiba bando la nini? Na bando linakuaje la TCRA? Lengo la kusema waende TCRa ni sababu wao ndio wenye mamlaka ya hizo kampuni za simu,Mlivyo viazi mnahisi magufuli alikuwa wa maaan. Ndungulile na magufuli ndio waliotengeneza sheria za bundle za simu ziwe under TCRA. Na wanaoiba bundle ni TCRA sio hayo makampuni ya simu.
Baada ya kuwin what next babyTayari Nimeshakuwin kisaikolojia na ndio hicho nilikuwa naangaika kutafuta
Mbrrrrr mbrrrrr mirror aiiiiiBaada ya kuwin what next baby
Sikia bwana mdogo,sio lazima mpaka uwe kama Nape,hata hiyo ofisi ndogo uliyopo kama utakuwa na akili kama hizi utaanza kuishi maisha ya wasiwasi na kuviziana.Ningekuwa Nape ningepiga hela ndefu sana kwa makampuni ya simu. Yani kila mwezi kila kampuni lazima ziniletee billion kumi kesh mezani. Natena nitazidai kwa fujo violently vitisho.
Njoo nkupe ukwaju nahisi una kiu mamaMbrrrrr mbrrrrr mirror aiiiii
Watoto waliokulia ushuani huwa hawataki kutanya kazi sijui ni uvivu au uzembe au ni uwezo mdogo wa kufikiri?
Nape angenyanyua simu na kumpigia mkurugenzi wa tcra na kumuamrisha atoe mmaelezo.
Sasa huyu mama Kama Yuko Babati atoke huko halafu aje Dar aanze kuzunguushwa Kama vile anakesi ya michongo.
Nnape pick up the phone and call the tcra director..