Majibu ya Nape Nnauye kwa Batuli kuhusu malalamiko ya bando la simu

Majibu ya Nape Nnauye kwa Batuli kuhusu malalamiko ya bando la simu

Nina mashaka na ufahamu wa huyu waziri.
Mlalamikaji ambaye ni mtumiaji wa huduma hakumtaja Rais, anatambua wazi zipo mamlaka zinazoweza kutatua hili.

Kusema aidha hakuelewa ujumbe na hakutaka kujipa muda wa kutafakari, au hajui yupo nafasi hiyo kwa ajili gani.

Viongozi wana shida ya kutokujua majukumu yao. Alipaswa kutatua matatizo ya raia wote,kama alijua rais yupo alimjibu wa nini ? Na Batuli anajibu kiuoga uoga ? Kama hana uhakika na alichouliza. Ila uzuri ni kwamba utawafanya watu mazuzu, lakini si muda wote.
 
Back
Top Bottom