Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
Huyu naye ni kama Yule oh chupi kimenibana. Kwa sasa mawaziri wa mchongo wanajulikana kwa majibu yao mepesi kama vile, je unashida na uwaziri wangu? Hivi utaweza kumuuliza tena au kuna mwingine atakayetaka aonekane anashida na uwaziri wa mtu fulani?
Nape kwanza ilibidi aeleze kwa kina ni lini alienda ofisini kwa makampuni ya mtandao au Tcra,lakini sio kwenda tu kama chooni kwamba Kila mwenje mkuki atapiga,aseme alikuwa na timu gani ambayo imebobea katika uchunguzi huo. Na alitakiwa aseme na uchunguzi mwingine wa kwa nn internet speed imepungua sana?
Nape hajawahi kuchunguza haya mambo bali amejijibia au amewajibia kwakuwa wao ndio wenye hisa huko na naamini majibu haya hata makampuni wasingejibu, wangekataa kwa kuwakata wateja wote,ila kuna makosa ya kimtandao na systems zao zinafanya,na wanaendelea kushughulikia ili yasijirudie tena. Nape naye ni yuleyule