Nina mashaka na ufahamu wa huyu waziri.
Mlalamikaji ambaye ni mtumiaji wa huduma hakumtaja Rais, anatambua wazi zipo mamlaka zinazoweza kutatua hili.
Kusema aidha hakuelewa ujumbe na hakutaka kujipa muda wa kutafakari, au hajui yupo nafasi hiyo kwa ajili gani.