Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Hayati Ali Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali

Tindikali zipo nyingi sana kwenye magereji humu mitaani. Come on chadema!

Kazi ianze sasa kila mwanaccm amwagiwe
Acha uzebe...

WanaCCM wanahusika na nini hapo?!!!

Bibi yangu ni mzee anakaanga karanga na kuziuza pale kwake naye ni mwanaCCM kindakindaki kutwa na Tshirt ya CCM...

Ujinga huo

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wazanzibari wanatapatapa, nchi imewashinda wameanza ugaidi
 
Kenya ni wa komonisti
 
Uchunguzi ufanyike sheria ichukue mkondo wake,mambo haya ni kulaaniwa vikali na kila mmoja wetu!
Umenena ukweli. Kuna haja ya kufanyika uchunguzi wa kina. Shida kubwa, uchunguzi atafanya nani? Utekaji mara nyingi unafanywa na hao wanaoitwa task force, na kiutendaji, hiyo task force ipo chini ya ofisi ya Rais. Polisi wa kawaida hujiona wanyonge mbele ya hawa bwana.
 
Huo ni ushahidi kuwa akina Soka hawako hai tena.
 
Wauaji chinjeni ng'ombe ameshakufa MTU wenu.

Muishi milele nyinyi hamtakufa Mungu ni wenu peke yenu
 
Kipindi cha awamu ya Tano Mambo Mengi sana yalizungumzwa kuwa My late President anateka na kuua watu na mambo meengi sana yalizungumzwa haya leo hayupo utekaji umekua kwa kiasi kikubwa serikali ipo kimya je ni nani huyo anayewaua na kuteka watu ? Ni Magufuli ama?
Mufugufuli always will be in My heart roho yangu inauma saana kwa haya yanayoendelea
 
Nini kinachofuatia sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…