Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uzebe...Tindikali zipo nyingi sana kwenye magereji humu mitaani. Come on chadema!
Kazi ianze sasa kila mwanaccm amwagiwe
Hali haziwezi kuwa "hizi".....Unawezaje hata kula kwa hali hizi?
Acha uzebe...
WanaCCM wanahusika na nini hapo?!!!
Bibi yangu ni mzee anakaanga karanga na kuziuza pale kwake naye ni mwanaCCM kindakindaki kutwa na Tshirt ya CCM...
Ujinga huo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Leo nimemkumbuka sana huyu jamaa, baada ya Mzee Kibao kupata haya majanga. Kuna muda hutamuelewa mtu, kwanini kafanya alichofanya, mpaka yakukute.
Wazanzibari wanatapatapa, nchi imewashinda wameanza ugaidiMwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amesema kwamba baada ya Uchunguzi wa Mwili wa Marehemu ulioshuhudiwa na Ndugu wa Marehemu pamoja na viongozi wa Chadema, Imebainika kwamba Ally Kibao ameuawa.
Zaidi ni kwamba amepigwa kupita kiasi na Pia alimwagiwa Tindikali ili aungue kabisa asitambulike.
Kwa maana hii sasa ni dhahiri kwamba kifo cha kinyama cha Mzee huyu SI KAZI YA MUNGU, Ni njama za watu waliotumwa.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho yake, Amina.
Soma Pia:
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
Kenya ni wa komonistiNdiyo kinachofanyika wakati wakiwa mafunzoni na huko kwenye vituo vyao.
Hakuna department ya police hapa Tanzania isiyofuata maelekezo ya CCM na serikali hata kama hiyo inakiuka demokrasia au haki za watu.
Na hii si Tanzania tu.
Nchi zote masikini au zile zinazoongozwa na vyama vinavyojinasibisha na ukomunisti, nchi zote zanamna polisi na mejeshi yake ni rushwa na uovu uliopindukia.
Hapa Tanzania polisi ni tawi ya chama kinachotawala.
Umenena ukweli. Kuna haja ya kufanyika uchunguzi wa kina. Shida kubwa, uchunguzi atafanya nani? Utekaji mara nyingi unafanywa na hao wanaoitwa task force, na kiutendaji, hiyo task force ipo chini ya ofisi ya Rais. Polisi wa kawaida hujiona wanyonge mbele ya hawa bwana.Uchunguzi ufanyike sheria ichukue mkondo wake,mambo haya ni kulaaniwa vikali na kila mmoja wetu!
Welcome back SisterAsante Saint Anne ,na mimi nimefurahi kukuona tena rafiki...
Huo ni ushahidi kuwa akina Soka hawako hai tena.Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amesema kwamba baada ya Uchunguzi wa Mwili wa Marehemu ulioshuhudiwa na Ndugu wa Marehemu pamoja na viongozi wa Chadema, Imebainika kwamba Ally Kibao ameuawa.
Zaidi ni kwamba amepigwa kupita kiasi na Pia alimwagiwa Tindikali ili aungue kabisa asitambulike.
Kwa maana hii sasa ni dhahiri kwamba kifo cha kinyama cha Mzee huyu SI KAZI YA MUNGU, Ni njama za watu waliotumwa.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho yake, Amina.
Soma Pia:
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
Nini kinachofuatia sasa?Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amesema kwamba baada ya Uchunguzi wa Mwili wa Marehemu ulioshuhudiwa na Ndugu wa Marehemu pamoja na viongozi wa Chadema, Imebainika kwamba Ally Kibao ameuawa.
Zaidi ni kwamba amepigwa kupita kiasi na Pia alimwagiwa Tindikali ili aungue kabisa asitambulike.
Kwa maana hii sasa ni dhahiri kwamba kifo cha kinyama cha Mzee huyu SI KAZI YA MUNGU, Ni njama za watu waliotumwa.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho yake, Amina.
Soma Pia:
- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ally Kibao
Too muchTindikali
Ova