Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa
kiuhalisia wanafundishwa kuwa wazalendo wa ccm kwanzaNakuhakikishia asilimia +99% ya polisi wana support CCM.
Police ya Tanzania wako ideologically aligned na CCM na serikali.
Wanaona ni wajibu wao kulinda na kutetea interests za CCM na serikali.
Kule kambini wanapopata mafunzo, aina ya maisha yao wakipata kazi, vitu wanavyosisitizwa wakiwa kazini lengo ni moja kuharibu akili zao wafikirie upande wa serikali na chama tawala tu.
Chunguza.
Inaumiza especially kwa familia yake lakinj huwezi kusema tuanze kushambuliana wenyewe kwa wenyewe ,hiyo siyo solution, maana mwanachama wa kawaida wa ccm ana makosa gani hadi aanze kuhukumiwa na kushambuliwa, two wrongs dont make it rightUtulivu mpka lini?
Huyu ndiye MZALENDO NA SHUJAA.
Solution ni nini mkuu?kuna watu wanaishi kila siku maisha ya panya,wanajificha wakihofia kutekwa.una solution kwaajili yao?Inaumiza especially kwa familia yake lakinj huwezi kusema tuanze kushambuliana wenyewe kwa wenyewe ,hiyo siyo solution, maana mwanachama wa kawaida wa ccm ana makosa gani hadi aanze kuhukumiwa na kushambuliwa, two wrongs dont make it right
Dah welcome back from the long ban.Jamani,yule mzee kamkosea nini mtu namna hio mpk kufa kifo cha kinyama hivyo?!
Hata kama kuna wahuni ndani ya system ndiyo wamefanya hivyo ikijulikana baada ya uchunguzi lazima watachukuliwa hatua,hakuna aliye juu sheria! Tusubiri uchunguzi wa kina mchawi wetu lazima atajulikana tu, ni swala la muda tu!!Yaani mjichunguze wenyewe halafu mtuletee taarifa sahihi ya uchunguzi.
Thubutuuu!!
Umejufunza eeh kuhusu mihemko kupitia Hamas?Hapana huo ni uchochezi na kuhamasisha ghasia , kwa sababu si wana ccm wote wanahusika ,hivi vitu vinahitaji utulivu sio mihemuko
Solution ni kuishinikiza serikali itoe majibu ya haya yanayoendelea na kuwajibika kwa kushindwa kulinda uhai wa wananchi wake, through bunge, jumuia za kimataifa, mahakama na taasisi hata za haki za binaadamuSolution ni nini mkuu?kuna watu wanaishi kila siku maisha ya panya,wanajificha wakihofia kutekwa.una solution kwaajili yao?
kiuhalisia wanafundishwa kuwa wazalendo wa ccm kwanza
Serikali imeshinikizwa sana. Zaidi ya miaka 10 sasa ,political violence inaongezeka nchi hii..wauaji wa Akwilina wako wapi?,je wauaji wa Mawazo ,Saanane nk. wako wapi.. Kiufupi wanatambua hawana tena nguvu ya hoja kilichobaki sasa ni nguvu tuSolution ni kuishinikiza serikali itoe majibu ya haya yanayoendelea na kuwajibika kwa kushindwa kulinda uhai wa wananchi wake, through bunge, jumuia za kimataifa, mahakama na taasisi hata za haki za binaadamu
Nje ya madaI agree, mtu aliyesababisha haya ni mtu mwenye authority...
Asante Saint Anne ,na mimi nimefurahi kukuona tena rafiki...Nje ya mada
Nimefurahi sana kukuona tena jukwaani wewe dada