Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Hayati Ali Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali

Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Hayati Ali Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali

Nakuhakikishia asilimia +99% ya polisi wana support CCM.

Police ya Tanzania wako ideologically aligned na CCM na serikali.

Wanaona ni wajibu wao kulinda na kutetea interests za CCM na serikali.

Kule kambini wanapopata mafunzo, aina ya maisha yao wakipata kazi, vitu wanavyosisitizwa wakiwa kazini lengo ni moja kuharibu akili zao wafikirie upande wa serikali na chama tawala tu.

Chunguza.
kiuhalisia wanafundishwa kuwa wazalendo wa ccm kwanza
 
Inaumiza especially kwa familia yake lakinj huwezi kusema tuanze kushambuliana wenyewe kwa wenyewe ,hiyo siyo solution, maana mwanachama wa kawaida wa ccm ana makosa gani hadi aanze kuhukumiwa na kushambuliwa, two wrongs dont make it right
Solution ni nini mkuu?kuna watu wanaishi kila siku maisha ya panya,wanajificha wakihofia kutekwa.una solution kwaajili yao?
 
Yaani mjichunguze wenyewe halafu mtuletee taarifa sahihi ya uchunguzi.
Thubutuuu!!
Hata kama kuna wahuni ndani ya system ndiyo wamefanya hivyo ikijulikana baada ya uchunguzi lazima watachukuliwa hatua,hakuna aliye juu sheria! Tusubiri uchunguzi wa kina mchawi wetu lazima atajulikana tu, ni swala la muda tu!!
 
Solution ni nini mkuu?kuna watu wanaishi kila siku maisha ya panya,wanajificha wakihofia kutekwa.una solution kwaajili yao?
Solution ni kuishinikiza serikali itoe majibu ya haya yanayoendelea na kuwajibika kwa kushindwa kulinda uhai wa wananchi wake, through bunge, jumuia za kimataifa, mahakama na taasisi hata za haki za binaadamu
 
kiuhalisia wanafundishwa kuwa wazalendo wa ccm kwanza

Ndiyo kinachofanyika wakati wakiwa mafunzoni na huko kwenye vituo vyao.

Hakuna department ya police hapa Tanzania isiyofuata maelekezo ya CCM na serikali hata kama hiyo inakiuka demokrasia au haki za watu.

Na hii si Tanzania tu.

Nchi zote masikini au zile zinazoongozwa na vyama vinavyojinasibisha na ukomunisti, nchi zote zanamna polisi na mejeshi yake ni rushwa na uovu uliopindukia.

Hapa Tanzania polisi ni tawi ya chama kinachotawala.
 
Solution ni kuishinikiza serikali itoe majibu ya haya yanayoendelea na kuwajibika kwa kushindwa kulinda uhai wa wananchi wake, through bunge, jumuia za kimataifa, mahakama na taasisi hata za haki za binaadamu
Serikali imeshinikizwa sana. Zaidi ya miaka 10 sasa ,political violence inaongezeka nchi hii..wauaji wa Akwilina wako wapi?,je wauaji wa Mawazo ,Saanane nk. wako wapi.. Kiufupi wanatambua hawana tena nguvu ya hoja kilichobaki sasa ni nguvu tu
Nyoka anayenga'ta ni yule anayeogopa..
 
Chadema acheni kudandiadandia mambo, waacheni wataalamu na wenye mamlaka watoe taarifa ya postmortem.

Mmekaa kisharishari Sana nyie chadema mnakera Sana.

Postmortem inafanywa na wataalam na swala lilikuwa chini ya vyombo husika Kwanini wasiwaachie hao ndo watoe taarifa wanakimbilia wapi nn kipo nyuma ya huu uropokaji wa Mbowe?
 
Back
Top Bottom