PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Siyo hovyo tu linawafaa ni ushetani tu tunaongozwa na mashetani .mijitu kazi ni kuvizia na kunyakua watu gizani na kupotea nao eti nayo yanaachia sura kwenye jamii za kimataifa.
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho hata makaburu Iddy Amin, Elibashiri, mabutu, Bokasa, Chiluba, na wakatili madikiteta wote walikuwa Kama ccm ya sasa, leo hii wapo wapi? Mwisho wa ubaya ni Aibu kubwa
 
We are becoming top uncivilised society on the globe kwa ajili ya hiyo mijusi ya kijani. Sikuaahi kuwaza kama nitajichukia hivi
ccm kwa sasa inachukiwa na Dunia nzima hakuna mtu mwenye Akili Timamu anayemuogopa mungu atasimama upande wa ccm, mungu yupo na sasa bunge la America wanajiandaa kuwandama ccm na kuwatumia drone za kutosha hadi wakome kabsa
 
Sasa nikukumbushe kidogo kuhusu wakenya kununua mazao km mahind, ngwara/ fiwi Tz ni msaada mkubwa kwetu, nmefanya biashara na wakenya enz naishi mikoa y kaskazn, watu wetu wanategemea soko Kenya pekee, ilkuwa ikitokea mipaka kufungwa mahind yalshuka had elf 30 kwa gunia la debe 6. Na wale kinachowasumbua ni Hali y hewa kwao sehemu kubwa ni semi derset! Mwendazake ilkuwa akiwazngua wanafata mahind nch zngne km Zambia, Malawi nk ko bado tunawategemea Sana!
N:B Zile nyimbo za Africa ni moja saiv kwa viongoz wetu zimetoweka imebaki kukomalia wakosoaji ili wachache wale cake ya nchi na maskin abebeshwe mzgo mzto abak alvyo au awe maskin zaid, hata kusema Mungu ibarki Africa ni Bora tukaacha.
 
Hivi Seriously...waliotunga hii katiba walifikiria nini hadi kuamua kuweka kigezo cha kujua kusoma na kuandika kama qualification ya kuwa Mtunga Sheria wa TAIFA, msimamizi wa serikali na mwakilishi wa wananchi katika chombo kikubwa cha Bunge la kitaifa?
 
Watu wanatekwa na kuuliwa mbuzi wewe usiyejielewa
Kwani huko kenya hayo hayafanyiki ? Mbona ww hujatekwa na kuuliwa? Tatizo watu wanakamdomo sana siku hizi kwa watawala waache yawakute

Kamdomo kako kinasababisha familia iishie kuitwa Yatima
 
Aisee wewe una akili fupi mno hakika shule za kata ni janga mno
 
We malaya umeleta huo upumbavu huku ili iweje? Ingawa huyo amevimbiwa, ungefurahia mtu kutukana familia yako kuwa kwa kuwa ni maskini haipaswi kujadiliwa? We ni mpumbavu mpk chenji inabaki, uzalendo kwa nchi yako uko wapi, ndio maana hao wenye midomo mirefu watakuwa wanawatukana. Wakenya pamoja na tofauti zao hawajawahi kushirikiana na watu wengine kuitukana nchi yao. Pili Kenya na Tanzania hazijatofautiana sana kiuchumi. Africa Kenya ni km nchi ya 7 na Tanzania tuko wa 9 mpk 10. Hiyo tofauti iko wapi, sababu ya Kenya kutuzidi ni ya kihistoria, kinachoisumbua Kenya sahivi ni hofu kubwa Tanzania baada ya muda tena kwa sera nzuri km ya huyu Rais wetu Kenya tutaiacha mbali sana. Nchi yetu ilitumis rasilimali zake kuzisaidia nchi za kusini mwa Africa kupata uhuru wao. Siasa ya Ujamaa na Kuijitegemea hasa utaifishaji wa mali za watu kupitia azimio la Arusha 1967 ilikuwa kosa kubwa sana, leo Tanzania ingekuwa mbali sana kiviwanda, lingine km nchi vita na Iddi Amini imechangia sn kuturudisha nyuma. Hasa nationalization ilirudisha nyuma nchi yetu. Hao wenye midomo mirefu itakatika ndani ya muda mfupi. Tanzania is a greater nation kulinganisha na Kenya hilo liko wazi. Huyo mbunge anasumbuliwa na husda tu, cha kushangaza mtanzania km huyu kibwengo anamshabikia, limtu la hovyo kabisa.
 
Mtu wa std 7 ndiye akutungie heria
 
Labda ndio maana na wao wanabishana na Gen zedi badala ya wabunge wenzao.
 
Sasa ndio umesema nini??? Kwani Dubai wanalima nini?? Ndio hayo aliosema huyo Mbunge.
 
Khaaa! Maneno mazito kabisa haya
 
Uchumi wa kati wa nyoko
 
Mnapo ambiwa CCM ina watu wezi watupu wanao tumia mgongo wa chama kuifilisi nchi muwe mnaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…