PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Yupo sahihi.
Uliona wapi bunge ambalo ndio sautu ya wananchi likaacha majukumu yake ya kuwasemea likafanya kazi ya uchawa kwa serikali?
Yaani kazi ya mbunge ikawa kujipendekeza kwa serikali badala ya kuisimamia?
Hilo ni tatizo la wanawake walio shindwa,
 
Kwa nini msihamishwe nyinyi kwanza mnaoharibu taswira ya nchi!
Na hiyo GPA mbovu huwezi kuelewa kitu. Watu kama wewe ndio tatizo analolisema huyo Seneta.

Mtu umehitimu chuo kikuu, bado ufikiri wako unakuwa wa kitoto kama unao uonyesha humu jamvini. Wewe na hao wabunge vihio mnatofauti gani; pamoja na kwamba wao hawadai kuwa wamehitimu chuo kikuu! Elimu zao ni za kuunga unga tu huko chini.
Inachekesha watu vihiyo wanakuwa wabunge halafu mnaojihisi mko vizuri mnaishia kuishi kwa stress mitandaoni! Ahahahahaha!!!
 
Mna uhakika huyu ni mbunge au askofu wa kikatoliki? Mbona amenyoka namna hiyo
😂😁😄🤣😄😂😁😂🤣🤣😄😂😁😁😂😂😂😂Amepiga Kama Jiwe Alivyomwambia Kassim Nitawafukuza Wabunge Wa Kusini Wote Halafu Bunge Litaendelea
Pia Nitapiga Shangazi Zako Wote
Sitaki Mchezo Kabisa
 
Haa BUNGE La CCM Bora Likae Kimya Lisimjibu Seneta Litaabika Mara Dufu Ya Sasa
Inachekesha watu vihiyo wanakuwa wabunge halafu mnaojihisi mko vizuri mnaishia kuishi kwa stress mitandaoni! Ahahahahaha!!!
 
Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?

Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule

Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Nani kakwambia bwana, last year i was there na gari nimelaza nje, kula bata vibaya mno na nikalikuta salama.
Na hapo ni nairobi tu, mombasa ndio kabisa

so story yako haiko relevant
 
Kuna mbunge wetu anasema natoa onyo kwa majirani zetu.. nkasema nhiiiii
 
Jibu hoja zake kama ni za uongo kuhusu wabunge wa bunge la Tanzania,hapa umeweka taarabu na kukata mauno kuonyesha unajua na kusoma tu
Hicho nilichojibu hapo ni nini? Huyo si kujisemesha Kwa chuki na maumivu?

Nimeandika mambo 5 hapo Sasa hizo sio hoja ni nini labda?

Bunge la Tanzania limefanya nini?
 
Akili siyo kusoma na kuwa na PhD, akili na elimu inaendana na vitendo.

Kenya Ina nguvu Gani ya kutuita sisi maskini ili Hali wao wamefikia hadi hatua ya kutokopesheka?wamekopa hadi wanashindwa kuendesha uchumi wao.

Pili watu wenye elimu na akili hawawezi kufikia hatua ya kumwagana damu wenyewe kwa wenyewe kwa kugombanishwa kwa tofauti za ukabila ili Hali wao wote ni TAIFA moja.
 
Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?

Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule

Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Kununua Chakula cha ziada kwa Jirani ubaya uko wapi? Hatuwapi bure wanakuja kuongezea Wakulima wetu Kipato. Hata Tz tulishanunua Mahindi Malawi nà Zimbabwe. Hamtaki kaeni nayo muwape Mifugo wataenda Uganda na Ethiopia kununua au wataimport toka USA. "Money speaks"
 
Kwanza Tanzania siyo nchi masikini sasa hivi tupo uchumi wa kati kama wao tu. Hata ukiangalia hali ya taifa kiafya tupo vizuri kuliko wa Kenya. So waache dharau. Wametuchokoza wao wenyewe na bado wanaendelea kutubagaza huu ni wendawazimu kabisa. Sisi hatujawahi waingilia kwenye issue zao. Mbona wana kimbelembele sana. Fucken kabisaa
Hamko uchumi wakati, mlikuwapo kipindi cha jpm tu. Mko lower middle income, chini

Wakati kenya wako middle income with gdp ya 107.9 billion
Wkt bongo mko gdp ya 83usd Billion

Na currency wamewazidi, ndio maana pesa yao ina dhamani kuliko ya tz

Eti kiafya mko vizuri? Based on data zipi?

Jifunzeni kuupokea ukweli
 
Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?

Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule

Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Lakini si wanatoa pesa au wanakujakuomba msaada?

CCM mna ugonjwa wa akili.
 
Akili siyo kusoma na kuwa na PhD, akili na elimu inaendana na vitendo.

Kenya Ina nguvu Gani ya kutuita sisi maskini ili Hali wao wamefikia hadi hatua ya kutokopesheka?wamekopa hadi wanashindwa kuendesha uchumi wao.

Pili watu wenye elimu na akili hawawezi kufikia hatua ya kumwagana damu wenyewe kwa wenyewe kwa kugombanishwa kwa tofauti za ukabila ili Hali wao wote ni TAIFA moja.
Uchumi wao tu upo 107usd billion
Tz 83usd billion
Incase you dont know ndio the most edcuated country in east africa, is why tech companies kubwa dunian wanaweka hub zao kenya, akina meta, even baadhi ya AI

Tz wamekuja ? Nope

And for the record watu kupigania haki zao hakuna relationship na usomi wao. Ni kilelezo kuwa jamii iliyopo inatambua nafasi yao na haiko tayari kuburuzwa na viongoz

Kama wameweza kupamba hadi mswada gandamizi ukafutwa, basi ndio maana serikal yao haiji na mashauri ya kijanga. Raia wanajielewa na hawaogopi serikal. Na ndio inavyotakiwa
 
Akili siyo kusoma na kuwa na PhD, akili na elimu inaendana na vitendo.

Kenya Ina nguvu Gani ya kutuita sisi maskini ili Hali wao wamefikia hadi hatua ya kutokopesheka?wamekopa hadi wanashindwa kuendesha uchumi wao.

Pili watu wenye elimu na akili hawawezi kufikia hatua ya kumwagana damu wenyewe kwa wenyewe kwa kugombanishwa kwa tofauti za ukabila ili Hali wao wote ni TAIFA moja.
Si ndiyo wamesema mkajibishane na Mabaraza ya Vitongoji na Mitaa siyo saizi yenu. Mwenye Elimu hawezi kujibu hoja kwa njia za Mipasho. Hoja vs Hoja. Mnaita watu Kenge why? Professor Muhongo anaweza hivyo au Dr Mwakyembe? Elimu muhimu kwa Wabunge.
 
Ukweli unauma n ndio ukweli wenyewe.
Jitu linauza bandari yetu kisa Dalali mkuu.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Sawa hela wanayo na njaa pia wanayo
Yaani wangekuwa na njaa halafu mnawapa bure Hawana pesa sawa
Lkn maisha ndo hivi we teseka kulima wao Wana pesa
Na huwezi sema Wana njaa wakati Wana pesa ,so Wana uwezo wa kununua popote sio lzm Tz
 
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
jamaa kaua sisimizi kwa nyundo wameyataka wakina msukuma
 
Ametuchana ukweli watanzania na yote hayo ni kwa sababu ya kuendelea kutumia katiba iliyopitwa na wakati
 
Back
Top Bottom