BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,487
- 3,685
SI wanakuja na pesa yao?Kwa umaskini tulionao tunaweza kukataa kuwauzia?
Kweli Kenya Elimu Ipo
..hivyo tu basi? unaakili za hovyoHao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Sasa kama umesema watu kupigania haki zao Haina uhusiano na usomi wao wanapata wapi haki ya kutudharau kama alivyosema huyo Jamaa yao.Uchumi wao tu upo 107usd billion
Tz 83usd billion
Incase you dont know ndio the most edcuated country in east africa, is why tech companies kubwa dunian wanaweka hub zao kenya, akina meta, even baadhi ya AI
Tz wamekuja ? Nope
And for the record watu kupigania haki zao hakuna relationship na usomi wao. Ni kilelezo kuwa jamii iliyopo inatambua nafasi yao na haiko tayari kuburuzwa na viongoz
Kama wameweza kupamba hadi mswada gandamizi ukafutwa, basi ndio maana serikal yao haiji na mashauri ya kijanga. Raia wanajielewa na hawaogopi serikal. Na ndio inavyotakiwa
Acha kuish in the past, hatupo kwa wazee wetu tupo sasa, sasa mmepigania nini? Kila sheria inayoletwa ni ndio mzee? Mlishawahi kupinga sheria kandamiz na mbovu kupitishwa?Sasa kama umesema watu kupigania haki zao Haina uhusiano na usomi wao wanapata wapi haki ya kutudharau kama alivyosema huyo Jamaa yao.
Wazee wetu walipigana na mkoloni mwenye elimu na vifaa vya moto huko nyuma wao wakiwa hawana elimu wala vifaa,na mbona walifanikiwa.
Ukweli unabakia mmoja tu iwe unapenda kuusikia au haupendi.Toka zako uko nyie ndy chawa wenyewe
Hakuna tena meritocracy, zaidi ya wajinga kuunganishana wenyewe kwa wenyewe. Inasikitisha sana.Duh,
Inasikitisha sana,
Wananchi hawahusiki maana chaguzi zote ni bandia!
Sijui wanatumia vigezo gani kupeana hizo nafasi, sijui ni kujuana?!
Mkuu wabunge unaowadharau kwa kutegemea hizi story za mitaani ndio usimamizi wao wa serikali unaowezesha SGR kuelekea mwishoni.Ujinga hapo ni upi!!?
Kwani sio kweli kuwa wabunge wenu sifa kuu ni kujua kusoma na kuandika!!?
Kwani sio kweli kuwa wabungw badala ya kujadili report ya CAG, wao ndio wanamsulubisha CAG!!??
Kwani sio kweli kwamba wananchi wa Kenya na Tanzania hatuna ugomvi!!???
Nashukuru kuwa nawe umetuthibitishia hapa kwa kutoweza kujibu hoja zilizoainishwa bayana kwa uwazi na huyo Mkenya na umefanana kwa asilimia mia na wabunge wako.
Kama vile TZ HAIAGIZI CHOCHOTE KUTOKA KENYA...Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Wanakariri maisha pia, hao wakenya wanaishi na kuchanganyikiwa kwa muda mrefu.Shule muhimu wenzetu wapo vzr kichwani
Kwa Tanzania wenye Elimu na wasio na elimu hawana tofauti we si umeona Jerry muro alivyokuwa anajibu hoja za gwajimaMna watu kama hawa unatarajia nini?
View attachment 3347854
Kwa miaka yote huo ndo mtaji wa viongozi wa CCM na Serikali yake, Kutotaka kukosolewa...,]
Mwaka 1977 sio mbali Sana alibidi awe na maono Mwl Nyerere
Na kuhusu Mbunge kuwa na sifa ya kusoma na kuandika alikosea kwakuwa bunge Kazi yake ni kuisimamia Serikali , kuandaa miswada , kujadili bajeti ya nchi .
Kwa kuangalia tu majukumu ya bunge , Mtu akiwa na Elimu ya kusoma na kuandika tu hawezi kujadili mambo kwa ufanisi kwakuwa uelewa wake wa mambo utakuwa sio mzuri Sana .
Ikiwa yeye mwenyewe Nyerere katika Serikali kufika 1977 alikuwa anafanya kazi na wasomi sasa ilikuaje akishindwa kusimamia hilo katika bunge.
Katika matawi matatu ya Serikali
Executive ambayo IPO chini ya Rais
Judiciary ambayo IPO chini ya jaji Mkuu
Parliament ambayo IPO chini ya speaker na deputy wake .
Ukitazama utaona bunge ndo linalink na wananchi na ndo linaamua mambo ya msingi ya nchi .
Bajeti ya nchi
Maendeleo - Ku allocate pesa za maendeleo
Kujadili sheria na kutunga za nchi
Kumuondoa waziri Mkuu
Sasa iweje sehemu muhimu Kama hii iwe na watu incompetent wasio na maadili.
Jibu ni kuwa Nyerere na sisiemu walifanya hivi ili kuondoa mosiguano na kuogopa kukosolewa kwakuwa MTU asiye na maarifa hawezi kukosoa in positive way au Constructive criticism.
nitajie mkoa wowote ambao wazee wetu walifanikiwa kumtoa mkoloni kwa rungu na manati!Sasa kama umesema watu kupigania haki zao Haina uhusiano na usomi wao wanapata wapi haki ya kutudharau kama alivyosema huyo Jamaa yao.
Wazee wetu walipigana na mkoloni mwenye elimu na vifaa vya moto huko nyuma wao wakiwa hawana elimu wala vifaa,na mbona walifanikiwa.
Hiyo T inasimama badala ya nini nimewaza vitu vingi sana😀Nakuona kilaza mwenzao!