Supu ya Kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 5,283
- 9,609
Duh kanyonga henyewe.
Hiyo Nguvu yote ya kumwaga povu kisa kichapo walichopata hadi kurudishwa kwenye wheelchairs angeitumia kuirekebisha huku 👇 👇"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
kweli mkuu..For so long tz imekuwa ikjitahidi kuficha madhaifu yao, including viongozi. Sasa wamekuwa exposed , tumekuwa fools of east africa
Naam mkuu nimekupata kisawasawaWanafunzi wengi walio maliza shule za St Mary na nk walimu wao wengi walitoke Kenya, wakati nipo kijana mdogo miaka ya elf mbili Nyumba ya jirani yetu kulikua na wapangaji wawili mmoja Mtanzania na Mwingine Mkenya wote walikua ni wanawake, Huyu Mkenya alikua Mwalimu anafundisha East international school na huyu Mwingine alikua yupo yupo lakini kodi analipiwa na Mama yake, sasa kuna siku waligombana huyu Dada kutoka Kenya na huyu Dada yetu wa kibongo sasa huyu Dada wa kikenya akawa anaongea kiingereza tupu mimi na Mama tukawa tuna wasikiliza na atuabulii chochote, Sass huyu Dada yetu wa kibongo tukamsikia ana jibu kwa kiingereza na mwishoni akajibu ulijua mimi kiingereza mimi mwenyewe nisoma Nairobi akaangaza kuongea Kiingereza bila kupumzika, kumbe huyu Dada alisoma Kenya akaushia kidato cha pili baada ya kupata Ujauzito na kumbe Mama yake alikua Balozi nchi nje bila hivyo Mkenya angetamba nchini na ingetubidi tutafute mkalimani. Kwa kifupi waKenya wamekuja kutufundisha Kiingereza na tumeiga kwa mifumo ya Day care, Sisi tulikua na chekechea zetu ni kwenda kunywa uji na kusoma na kuandika tu,
Wewe ni muuwaji kama unashangilia mauwaji tofauti yako ni nini na kuuwa?. Zezeta wewe. Unafikili kila MTU anawaza matako kama wewe.Kwa hiyo mimi ni muuaji, nitake radhi brother. Kama na wewe unataka makofi kapige matako ya mkeo, au mwambie akupigie, aruke ruke akiwa amerelax mbona simple tu, utasikia makofi yakutosha tu 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
Hiyo ya kununua mazao Sio hoja,hata sisi hatutengenezi Magari, Tunanunua!Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Stuxnet, upo out of context. tunazungumzia Utawala bora na kujitambua bunge letu. Wewe unaleta mambo ya uchumi.Matajiri wanne nchini Kenya, utajiri wao unazidi karibu nusu ya wakenya wote(40%) wakichanganywa kwa pamoja. Matajiri hao wana utajiri unaofikia Ksh. bilioni 333( Tsh. trilioni 6.26).
Utafiti unaonesha ukuaji wa tofauti kati ya walio nacho na wasio nacho ambapo wakenya 130 matajiri zaidi wanamiliki mali sawa na 70% bajeti ya Kenya kwa mwaka. Matajiri watano zaidi nchini Kenya ni Merali, Shah, Bedi, Kenyatta na Mahendra wakiwa na utajiri wa jumla ya dola za kimarekani 3.2.Bil
Baada ya hapo ongeza na Manu Chandaria, Moi family, William Ruto & Associates
Wakenya wengi wanaishi chini ya dolla moja, pesa yao kuipata ni kazi. Karibu na Nairobi CBD kuna makazi ya slums 3 Kibera, Mathare na Makuru kwa Njenga ambazo zinaishi watu zaidi 2.5 Mil
Umaskini huu na tofauti ya kipato ndiyo unatia hasira kwa vijana mpaka hawafikiri mara 2 whether wachome bunge au magari ya Seikali.
Utajiri wa Kenya hauna uwiano kwa sababu haungusi mtu wa chini
Hizo siyo slums ni unplanned settlement. Shirikisha ubongo wako na teknolojia kisha andika kwenye google:Slums mbona Dar ndo mahali pake!?
Manzese, Buguruni, Vingunguti, Kigogo n.k
Haya msikilize hapa Ruto akiomba msmaha kwa Tanzania baada ya sakata la Wanaharakati wa Kenya waliokuja Tz.Stuxnet, upo out of context. tunazungumzia Utawala bora na kujitambua bunge letu. Wewe unaleta mambo ya uchumi.
Unajua exchange ya Kshs to Tshs. ipo vipi? Hatuwezi jilinganisha hata kidogo na majirani zetu hawa wa kaskazini. Ni league 2 tofauti.
We kweli unawaza kama wabunge wako je unafikili hao wa Kenya wasipo kuja kununua chakula chako je utakila chote yye kaongea kuhusu wabunge wapumbavu na si wanainchi mbona huelewi wwHao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Kajifunze kuandika kwanza. Huna uwezo wa kujenga hojaHAHHAA UNAJUA MKUU WA POLIC TANZANIA ANAE ELA KIASI GANI UNAJUA MAKONDA ANAYO ELA KIASI GANI UNAONGELEA WATU BINAFSI WAKENYA WENYE ELA WEWE UNAJUA VIONGOZI WAKO UNAOWACHUGUA WANAELA KIASI GANI?? UTAJIRI WETU NDIO HAUNA MUELEKEO NA UHIANO SASA NIKUULIZE SWALI KAMA UNAONA ELFU 2700 KUPATA SIO KAZI YEYE DOLLAR MOJA NI SHINGAPI KWAKE KIASI UNASEMA KUPATA DOLLAR MOJA NI KAZI
JOMBA WATANZANIA KIBAOO WANAISHI CHINI YA DOLLAR MOJA SEHEMU NYINGI TANZANIA HAZINA MADARAJA KAMA KIVUKO ANGALIA KWAKO UPAELEWE NDIO UMSEMEE JIRANI
Msikie Rais wao hapa:-Stuxnet, upo out of context. tunazungumzia Utawala bora na kujitambua bunge letu. Wewe unaleta mambo ya uchumi.
Unajua exchange ya Kshs to Tshs. ipo vipi? Hatuwezi jilinganisha hata kidogo na majirani zetu hawa wa kaskazini. Ni league 2 tofauti.
Noma sana!Upo sahii kabisa
Ila kumlaumu mwendazake pekee haitoshi pia lawama zimuendee huyu aliyepo alikua na muda mwingi wa kutosha kuyarekebisha haya na hii vita kaianzisha yeye kwa kutoka hadharani na kuwazungumzia wana harakati wa nje
Hatar sana bandugu zangu!"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Kaanzia Shule Ole na kamalizia Elimu hapo hapo Ole... 😄 😄Mna watu kama hawa unatarajia nini?
View attachment 3347854