PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Wanatetea chama chao cha wezi na wanyanganyi.
 
Ni fedheha kwa Spika na Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Aisee!
 
Twende mbele turudi nyuma wabunge wa Tanzania 70% ni vilaza mbumbumbu hata ukiwatetea vipi hakuna wa kukuelewa
Wewe naona ni 'Funza' kwelikweli.
Hebu njoo tena tuonane.
 
Majibu ya mtu msomi anaejua ni nini kinatoka mdomoni mwake.

Embu tuwekee ka clip tafadhali
 
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Kenya wanatuzidi GDP na PER CAPITAL INCOME , lakini majority ya wananchi ni maskini kuliko wa TZ, wanainchi ni watazamaji wa mafanikio ya wachache (huge inequality)
 
Inachekesha watu vihiyo wanakuwa wabunge halafu mnaojihisi mko vizuri mnaishia kuishi kwa stress mitandaoni! Ahahahahaha!!!
Sasa sijui kama ni kwa bahati mbaya tu umeyaandika haya maneno, au ni kwamba umejitahidi kutumia akili ndogo iliyomo kichwani vizuri kwa mara moja kama hii.

Hivi hadi sasa hujui kwa nini hali ipo hivyo?
Ukimtazama Samia Suluhu Hassan, alipo hapo, unaweza kufikiri kuwa kweli huyo mama aliweza kufikia hapo kwa 'merit'; uwezo stahiki wa kushika nafasi hiyo?

Sasa fanya hivi: kama kweli unayo GPA nzuri kama unayo jigamba nayo, anzia hapa kujuwa hao watu wote vihiyo wameweza vipi kuwa walipo sasa! Na hii yote, ndiyo sababu nawe umo humu humu JF kwa kutafuta wigo wa kutumia njia hizo hizo za kilaghai kujiinua.
Baada ya kusema hayo, nikufahamishe tu kwamba usifikiri "ubunge" ni nafasi muhimu sana kwa watu wenye akili zao nzuri kichwani.
 
Kenya wanatuzidi GDP na PER CAPITAL INCOME , lakini majority ya wananchi ni maskini kuliko wa TZ, wanainchi ni watazamaji wa mafanikio ya wachache (huge inequality)
Sasa kama unakiri kuwa "per capita income" yao ni kubwa; hao "majority ya wananchi kuwa maskini kuliko waTz..." unaitoa wapi?
Hujui maana ya unacho andika?
 
Kwani huko kenya hayo hayafanyiki ? Mbona ww hujatekwa na kuuliwa? Tatizo watu wanakamdomo sana siku hizi kwa watawala waache yawakute

Kamdomo kako kinasababisha familia iishie kuitwa Yatima
Na wewe unaona sawa watu watekwe na kuuliwa kwa ajiri wameongea? hujitambui wewe bado una slave mentality na hujui haki zako na za wengine, badilika
 
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?

Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?

Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
100
 
Sasa sijui kama ni kwa bahati mbaya tu umeyaandika haya maneno, au ni kwamba umejitahidi kutumia akili ndogo iliyomo kichwani vizuri kwa mara moja kama hii.

Hivi hadi sasa hujui kwa nini hali ipo hivyo?
Ukimtazama Samia Suluhu Hassan, alipo hapo, unaweza kufikiri kuwa kweli huyo mama aliweza kufikia hapo kwa 'merit'; uwezo stahiki wa kushika nafasi hiyo?

Sasa fanya hivi: kama kweli unayo GPA nzuri kama unayo jigamba nayo, anzia hapa kujuwa hao watu wote vihiyo wameweza vipi kuwa walipo sasa! Na hii yote, ndiyo sababu nawe umo humu humu JF kwa kutafuta wigo wa kutumia njia hizo hizo za kilaghai kujiinua.
Baada ya kusema hayo, nikufahamishe tu kwamba usifikiri "ubunge" ni nafasi muhimu sana kwa watu wenye akili zao nzuri kichwani.
Mimi nipo JF na sina stress.
 
Sasa kama unakiri kuwa "per capita income" yao ni kubwa; hao "majority ya wananchi kuwa maskini kuliko waTz..." unaitoa wapi?
Hujui maana ya unacho andika?
While a rising per capita income can signal overall economic progress, it doesn't automatically guarantee a reduction in poverty or a better standard of living for the poorest segments of the population. High per capita income can be misleading if a small portion of the population holds a majority of the wealth, leaving many behind in poverty (case study in Kenya)
Poverty reduction in Tanzania has been driven by declines in rural poverty,
 
Kibajaji
Msukuma😂😂
Ccm Wanatudhalilisha sana 😂
 
Umeinakiri wapi taarifa hii; hata kuonyesha ulipo itoa hujui! Unataka tuamini kuwa haya ni maoni yako?
Pamoja na upungufu wako huo, taarifa yenyewe ni potofu!
Huelewi tofauti iliyopo kati ya 'GDP' na 'per capita income'.
'Per Capita Income' haichenjuliwi kutokana na kugawanya GDP na idadi ya watu wanaoishi ndani ya nchi husika.
 
Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?

Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule

Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Fikra zako zinaonyesha wewe ni mmoja wapo mnaotutia aibu huko Kenya.
 
Back
Top Bottom