Hilo ni tatizo la wanawake walio shindwa,Yupo sahihi.
Uliona wapi bunge ambalo ndio sautu ya wananchi likaacha majukumu yake ya kuwasemea likafanya kazi ya uchawa kwa serikali?
Yaani kazi ya mbunge ikawa kujipendekeza kwa serikali badala ya kuisimamia?
Kwahiyo wewe ni shoga unayejitambua?We ni shoga lisilojitambua
Haya. Kazana!Yupo Tanzania mpaka wabunge vilaza mbumbumbu wasomewe Alibadiri wafutike kwenye ulingo wa siasa
Inachekesha watu vihiyo wanakuwa wabunge halafu mnaojihisi mko vizuri mnaishia kuishi kwa stress mitandaoni! Ahahahahaha!!!Kwa nini msihamishwe nyinyi kwanza mnaoharibu taswira ya nchi!
Na hiyo GPA mbovu huwezi kuelewa kitu. Watu kama wewe ndio tatizo analolisema huyo Seneta.
Mtu umehitimu chuo kikuu, bado ufikiri wako unakuwa wa kitoto kama unao uonyesha humu jamvini. Wewe na hao wabunge vihio mnatofauti gani; pamoja na kwamba wao hawadai kuwa wamehitimu chuo kikuu! Elimu zao ni za kuunga unga tu huko chini.
😂😁😄🤣😄😂😁😂🤣🤣😄😂😁😁😂😂😂😂Amepiga Kama Jiwe Alivyomwambia Kassim Nitawafukuza Wabunge Wa Kusini Wote Halafu Bunge LitaendeleaMna uhakika huyu ni mbunge au askofu wa kikatoliki? Mbona amenyoka namna hiyo
Inachekesha watu vihiyo wanakuwa wabunge halafu mnaojihisi mko vizuri mnaishia kuishi kwa stress mitandaoni! Ahahahahaha!!!
Nani kakwambia bwana, last year i was there na gari nimelaza nje, kula bata vibaya mno na nikalikuta salama.Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Hicho nilichojibu hapo ni nini? Huyo si kujisemesha Kwa chuki na maumivu?Jibu hoja zake kama ni za uongo kuhusu wabunge wa bunge la Tanzania,hapa umeweka taarabu na kukata mauno kuonyesha unajua na kusoma tu
Kununua Chakula cha ziada kwa Jirani ubaya uko wapi? Hatuwapi bure wanakuja kuongezea Wakulima wetu Kipato. Hata Tz tulishanunua Mahindi Malawi nà Zimbabwe. Hamtaki kaeni nayo muwape Mifugo wataenda Uganda na Ethiopia kununua au wataimport toka USA. "Money speaks"Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Hamko uchumi wakati, mlikuwapo kipindi cha jpm tu. Mko lower middle income, chiniKwanza Tanzania siyo nchi masikini sasa hivi tupo uchumi wa kati kama wao tu. Hata ukiangalia hali ya taifa kiafya tupo vizuri kuliko wa Kenya. So waache dharau. Wametuchokoza wao wenyewe na bado wanaendelea kutubagaza huu ni wendawazimu kabisa. Sisi hatujawahi waingilia kwenye issue zao. Mbona wana kimbelembele sana. Fucken kabisaa
Lakini si wanatoa pesa au wanakujakuomba msaada?Hao wakenya si ndo wanokuja kununua chakula TZ?
Kenya huwezi kutembea usiku kama Tz amani imejaa
Mm hpa kwetu gari tunalaza nje kabisaaa tena bila ya mlinzi yyte yule
Saivi ni masika msimu wa kiangazi tunasubiri kuziona fuso za kenya zikija kununua mazao Tz
Uchumi wao tu upo 107usd billionAkili siyo kusoma na kuwa na PhD, akili na elimu inaendana na vitendo.
Kenya Ina nguvu Gani ya kutuita sisi maskini ili Hali wao wamefikia hadi hatua ya kutokopesheka?wamekopa hadi wanashindwa kuendesha uchumi wao.
Pili watu wenye elimu na akili hawawezi kufikia hatua ya kumwagana damu wenyewe kwa wenyewe kwa kugombanishwa kwa tofauti za ukabila ili Hali wao wote ni TAIFA moja.
Si ndiyo wamesema mkajibishane na Mabaraza ya Vitongoji na Mitaa siyo saizi yenu. Mwenye Elimu hawezi kujibu hoja kwa njia za Mipasho. Hoja vs Hoja. Mnaita watu Kenge why? Professor Muhongo anaweza hivyo au Dr Mwakyembe? Elimu muhimu kwa Wabunge.Akili siyo kusoma na kuwa na PhD, akili na elimu inaendana na vitendo.
Kenya Ina nguvu Gani ya kutuita sisi maskini ili Hali wao wamefikia hadi hatua ya kutokopesheka?wamekopa hadi wanashindwa kuendesha uchumi wao.
Pili watu wenye elimu na akili hawawezi kufikia hatua ya kumwagana damu wenyewe kwa wenyewe kwa kugombanishwa kwa tofauti za ukabila ili Hali wao wote ni TAIFA moja.
Yaani wangekuwa na njaa halafu mnawapa bure Hawana pesa sawaSawa hela wanayo na njaa pia wanayo
For so long tz imekuwa ikjitahidi kuficha madhaifu yao, including viongozi. Sasa wamekuwa exposed , tumekuwa fools of east africaIla Tanzania hivi sasa imedharaulika sana sana.. hii ni wake up call..
Kinachouma zaidi, wanachozungumza ni kweli 100%..
jamaa kaua sisimizi kwa nyundo wameyataka wakina msukuma"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?
Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao?
Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.!"
Ametuchana ukweli watanzania na yote hayo ni kwa sababu ya kuendelea kutumia katiba iliyopitwa na wakati"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi ambacho haipaswi kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana?